maisha

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha yalivyokua kabla ya Miamala

    Miaka ile ilikua ni habari za mdomo tu, unafahamishwa wafanya biashara wenye huduma ya kutuma pesa. Wengi walikua Kariakoo. Walifanya huduma hii katika mikoa yenye biashara zao. Ukifika pale unatoa maelekezo ya ndugu yako aliye Arusha, jina lake na namba yake ya simu. Wanaandika katika...
  2. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Sisi vijana wa Kusini mwa jangwa la Sahara tuwe na nidhamu (self discipline) kwenye maisha

    Kwa utafiti ambao sio rasmi unaonyesha vijana wa kusini mwa jangwa la Sahara wanaongoza kuishi maisha yasiyo ya ndoto zao binafsi naunga mkono hoja hiyo nikiwa Mimi na marafiki zangu Kama mifano halisi. Katika maisha yangu nilitamani siku moja kuwa mhandisi wa mitambo lakini sasa ni mlinzi...
  3. Mirr

    JamiiForums Tanzania Waheshimu wazazi uchelewe kufa na upate baraka za maisha

    Habari wana jukwaa! Binti mmoja alimuaga mama yake anaenda kutembelea maeneo ya kihistoria na marafiki zake. Mama yake alimjibu "safari njema mwanangu na Mungu awe nanyi" Mtoto alimjibu mama yake "Mungu hawezi kuwa na sisi tumeshajaa tayari kwenye gari labda akae kwenye buti" Huyo mtoto...
  4. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Visa vya Bima: Wenye magari wanayachoma moto ili walipwe

    Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
  5. Tujisahihishe Tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nijikimu kimaisha

    Wadau kwema. Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya.. Kazi nazoweza kufanya Kazi ya sales Storekeeper Kusaidia fundi. Kazi ya kusimamia mradi Kazi ya usafi Na kazi nyinginezo...
  6. Underthesea

    JamiiForums Tanzania Maisha ndani ya Manga Kissa: Internet Café za ajabu nchini Japan

    Manga ni riwaya picha (Kwa Kiingereza comics au graphic novels) zenye mtindo wake wa kipekee kutokea nchini Japan. Manga ni maarufu sana nchini humo kiasi kwamba kuna mamia ya maktaba zilizojaa Manga tu. Maktaba hizi huitwa Manga Kissa Manga Kissa nyingi ziko karibu na vituo vya treni...
  7. Reen tz

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotaka kuanza maisha mbali na wazazi

    Siyo kwamba huwezi kufanikiwa ukiwa nyumbani, unaweza sana, ila kwa wengi inakuwa kikwazo kikubwa kwa sababu mbalimbali. Kubwa ikiwa ni mazoea na uhakika wa maisha hata mtu ukishindwa. Kwa kuwa unajua upo nyumbani, huhofii sana kushindwa. Wazazi na watu wa karibu watakuzuia usiondoke nyumbani...
  8. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Badili mtazamo wako juu yako na utaona mabadiliko kwenye maisha yako

    Waelewe watu usiwahukumu watu Binadamu hufanya maamuzi kwa hisia alizonazo kwa wakati huo Akiongea maneno mazuri au mabaya anafanya hivyo kwa sababu ya hisia zake kwa wakati huo sio kwa sababu yako Hisia zake zikibadilika na matendo yake hubadilika Kila kitu huanza kwenye fikra na ikiwa mtu...
  9. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kama tutayapuuza mazingira yetu, tutayaharibu maisha yetu

    Watu waliostaarabika kimaadili na mienendo huhifadhi mazingira yao kwa kutambua kuwa kufanya hivyo ndio kuhifadhi maisha yao. maana sahihi ya neno mazingira, ni kila kitu kinachomzunguka mwanadamu pale anapoishi. Mazingira hujumuisha mazingira ya nchi kavu, mazingira ya angani na mazingira ya...
  10. LellozWho

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya umaskini ujanani

    “COMFORT ZONE” sijui niiweke vipi hii kwa kiswahili katika neno moja na likaleta maana. “Anga/wigo/dunia ya mridhiko” (Kama sijakosea). kama hujawahi Kijiuliza Kama ulipo panakutosheleza Au la Basi upo ndani ya “comfort zone” kama unataka maendeleo binafsi na unakwepa mabadiliko basi upo...
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anaishi maisha na kazi ya ndoto yake hapa Tanzania

    Hivi kwa Africa kweli kuna mtu anaishi kwenye ndoto zake yaani kama ulikuwa unatamani kuwa pilot ukawa pailot. Sijui hii ipo kweli mimi nilikuwa nandoto kuwa kapteni wa meli daah nikikumbuka hii ndoto wakati namuona mjomba zamani akija nyumbani basi nikawa nasema mimi nitakuwa kama wewe...
  12. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya njema ni nguzo ya Kwanza ya Mitaji ya Mafanikio Katika Maisha

    1. Utangulizi Tuko katika kizazi chenye kudhani kuwa kuishi vizuri ni kuwa na fedha. Fedha inaonekana ni kila kitu. Tunadhani kuwa ni fedha ndizo hutufanya tununue nyumba, gari, nguo, chakula na maisha mazuri kwa ujumla, na wengine kwenda mbali zaidi na kupata jeuri ya kujiona wanaweza hata...
  13. SAKA25

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maisha baada ya kuhitimu Chuo Kikuu

    Habari wana JF,Kwanza Tumshukuru Mungu kwa neema ya uhai anayoendelea kutujalia hapa Pili niwashukuru watendaji wa JF Kwa kutuletea changamoto hii, tatu niende moja kwa moja kwenye story challenge yangu inayohusu Maisha baada ya kuhitimu Chuo kikuu. Vijana wengi baada ya kuhitimu vyuo vikuu...
  14. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani Dar affordable kuanzisha maisha ukiwa na familia yako?

    Wanandugu ninataka wa kuanzisha maisha nikiwa na familia yangu nikiwa na mke wangu na pamoja na mtoto wangu Hivyo ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar kuanzisha maisha ambapo ninaweza kupanga vyumba viwili at affordable price na eneo nitakaloishi lisiwe la gharama hivyo naomba kufahamu...
  15. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Maisha ya soka ya Leonel Messi

    Lionel Andrés Messi alizaliwa 24 Juni 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina anayecheza katika klabu ya Barcelona F.C. iliyopo nchini Hispania na timu ya taifa ya Argentina. Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora wa muda wote, Messi kafanikiwa kuchukua tuzo za Ballon d’Or mara...
  16. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Maisha ya soka ya Cristiano Ronaldo

    Cristiano Ronaldo na mkewe Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro alizaliwa kwenye kisiwa cha Madeira, Ureno, 5 Februari 1985) ni mchezajisoka wa Ureno. Nafasi yake ni ushambuliaji; kwa sasa anacheza nchini Italia katika klabu ya Juventus na timu yake ya taifa. Mara nyingi huchukuliwa kuwa...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watu 72 wamepoteza maisha nchini Afrika Kusini kufuatia ghasia zinazoendelea

    Watu 72 wamepoteza maisha nchini Afrika Kusini kufuatia ghasia zinazoendelea kushuhudiwa kati ya wafuasi wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma na maafisa wa usalama. Kwa siku zipatazo tano, wafuasi wa Zuma ambaye anaendelea kutumikia kifungo chake cha miezi 15 jela, wamekuwa wakiandamana...
  18. Juandeglo

    JamiiForums Tanzania Urafiki katika maisha yetu

    Hello friends. Leo katika story na sista wangu, nikagundua kuna shida ya mahusiano yabkirafiki inayopata wengi. Akanieleza jinsi ambavyo amekuwa hana bahati ya marafiki wa kweli, kqamba kila rafiki wa kike anayempata wanakuwa masnitch, wanafiki, wana wivu and all the like. Akanieleza jinsi...
  19. Kukudume2013

    JamiiForums Tanzania Nimebutua maisha je, Nimepata au nimepatikana?

    Katika pita pita zangu katika mitandao mbali mbali ya duniani kama vile tagged, tinder. badoo hatimae leo nimepata demu mzungu ambaye kwao ni CANADA. Alianza yeye kuchati na mm baada tu ya kumjibu ndio nikaanza kupokea mualiko kwamba eti huyu demu anataka mm niende kwao nikaishi nayeye je hili...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

    Habari Wakuu, Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini. Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
Back
Top Bottom