maisha

  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

    Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...
  2. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Ukishainuka kimaisha basi usiiname na ukiinama basi usikae kabisaa!

    Huwezi ishi maisha mazuri siku zote kama hauna mipango mizuri, katika kila unachofanya. Kama umebahatika kufika mbali kimaisha yaani sio choka mbaya au fukara basi hakikisha hauwi fukara tena wala choka mbaya(yaani ikitokea umekuwa fukara na hauna roho ngumu unaweza kufa kifo kibaya kwa sababu...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Hadi sasa wafuasi 13 wa ACT-Wazalendo wamepoteza maisha kwa vurugu za uchaguzi

    Kwa upande wetu @ACTwazalendo na kutokana na Taarifa tulizokusanya mpaka sasa: Wananchi 13 wameuawa kwa kupigwa risasi na mabomu katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar, Watu 130 Wamejeruhiwa, Watu 120 Wamekamatwa na Polisi, mtu Mmoja Amebakwa na Watu 14 Wametekwa Akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Chama...
  4. venchwa

    JamiiForums Tanzania Niko na mtoto wa mtu tunakula maisha hapa Nairobi Kempisk hotel Westland

    Ni Toto moja la kimasai nimelipata sehem moja maeneo ya Kimara ,kwao geti kali sana,.juzi tukapanda pipa hadi arusha kwao then tukapanda Noah za namanga, tukafika mpakani wakasema lazima turudi arusha kupata Covid 19 certificate, tukakomaa kuhonga 500 ya Kenya wakatupa za kufoji, Tukaanza...
  5. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Wito kwa ACT-Wazalendo na CHADEMA juu ya maisha baada ya uchaguzi

    Baada ya vituko vya tume za NEC na ZEC ,sasa wamekuja na mtego wakutaka kutushirikisha kuhalalisha wizi wao Naomba vyama hivi viwili na wakimjumuisha rungwe (Chauma) na NLD sio mbaya wafanye yafuatayo 1.Wasikubali kushirikishwa kwenye serikali ya muafaka wa kitaifa kule Zanzibar na pia...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Simulizi la Bibi, maisha ya Da es Salaam ya Tanganyika

    Dar es Salaam ya Tanganyika ilikuwa na fursa nyingi sana za kazi kwa vijana. Vijana wakitoka mikoani na walipata ajira na kuendesha maisha yao. Ajira nyingi zilikuwa Bandarini kazi ya ukuli, hii ilikuwa ni nguvu yako tu, wengi walikua ni vibarua wa siku. Kulikua na kazi za Reli, kung’oa...
  7. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mahali kilipo Chuo cha Marian yapoje?

    Anayejua anipe taarifa maana kuna dogo kachaguliwa hapo, na vip kuhusu upatikanaji wa nyumba za kupanga ukoje? Karibuni wadau
  8. TOHATO

    JamiiForums Tanzania Maisha bila Social Media yatawezekana?

    Tangu tarehe 27/10/2020 Kilichokuwa kinaendelea ni kuminywa (kufungwa) kwa mitandao ya kijamii. Swala ambalo limehusishwa na uchaguzi kwa namna moja au nyingine. Ila chaajabu ni kwamba hawajafungia Internet, maana yake ni kuwa waeza kutumia bando lako kwenye maswala mengine ila sio Social...
  9. GODZILLA

    JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi, maisha yarejee

    Jamanii eeh, uchaguzi umeshamalizika salama, hongera kwa walioshinda na pole kwa walioshindwa. Wajipange wakati mwingine. Mitandao ifunguliwe na shughuli ziendelee. Hatuwezi kuendelea kuwa watumwa wa uchaguzi. Mambo yameshakamilika, maisha yarejee kwenye mstari wake. Wanaohusika na...
  10. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

    Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri. Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo. Tuachieni hii miaka mitano ili tujionee wenyewe. Msihangaike kwenda mahakamani maana huko mtapoteza fedha na muda wenu bure...
  11. Kesiman9

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maisha yanatakiwa yaendelee baada ya uchaguzi, lakini tuambiane tu ukweli!

    Hivi Ndugai au yeyote yule atakaye kuwa spika wa bunge atajisikiaje pale atakapoangalia kila upande bungeni hamuoni Mbowe, Sugu, Zitto, Lema, Heche na wapinzani wengine machachari? Hakika watawamiss sana na ndipo mtagundua kosa mlilofanya sasa kama tu bunge lilimkosa Lissu likapoa, je likikosa...
  12. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

    Hii ndio Demokrasia ya Tanzania🇹🇿. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini. Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China. Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa. Tupige marufuku...
  13. Magazetini

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  14. introvert

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maisha Baada ya Uchaguzi: CCM won the Battle and lost the War

    Hakuna aliyetegemea uchaguzi uwe wa huru na haki. Lakini hakuna aliyetegemea wizi uwe wa wazi na wa kijinga hivi. Chama Cha Mapinduzi, kama chama kikongwe barani Afrika, kimethihirisha hakipo tayari kuachia madaraka kwa njia ya sanduku la kura. Si Bara wala si Visiwani. CCM si chama cha siasa...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CCM mnaposhangilia ushindi mkumbuke kuwa kuna kipindi kigumu cha maisha kinakuja mbele yetu

    Habari, Kuna watu wanajua ila wanajisahaulisha kuwa nchi za Magharibi ndizo zinazotusogeza mbele au kutusapoti kwenye sekta ya Afya na Elimu kwa kiasi kikubwa. Hii iko wazi miaka na miaka. Watu wa Magharibi hakuna kitu wanajali kama Demokrasia ambayo imeminywa kwa miaka 5 yote ya Magufuli...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maisha baada ya uchaguzi yameanza

    Wana JF, Tunashukuru Mungu uchaguzi wetu umekuwa huru na haki. Sasa maisha baada ya uchaguzi yameanza rasmi. Neno linalotamkwatamkwa sana katika kipindi hiki cha maisha baada ya uchaguzi ni "mawakala". Napenda kuwakumbusha wanasiasa na vyama vya siasa kutambua yafuatayo kwa ajili ya chaguzi...
  17. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    Wasalaam, Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah! Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii😂😂😂 toka jana hama insta😂, gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Hamasishaneni mkapige kura kesho. Ukimaliza rudi nyumbani ili kuitunza tunu ya amani na mshikamano tulionao

    RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho. Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti uliojengwa katika Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma, aliwataka Watanzania kuhamasishana kwenda kupiga...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

    Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu. Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Mjadala mzuri wa uchaguzi 2020 unaendelea sasa hivi DW/ BBC inaonekana miundombinu haina mashiko kwa Wananchi wengi, kilio ugumu wa maisha chatawala

    Ndio yanayojadiliwa sasa na vyombo vya habari vya nje vikiwahoji watu mbalimbali nchini, ni mjadala wenye usawa na haki sio kama ule wa TBC fuatilia kwenye redio kupitia DW sasa. Inaonekana watu wamechoka na sera zilezile za miundombinu.
Back
Top Bottom