maisha

  1. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Unapitia Maisha magumu ebu jifunze kwa huyu kiumbe

  2. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yana nguvu ya kubadilisha maisha na kila kitu. Sikiliza hii

    LOVE HAS POWER TO CHANGE LIFE AND IMPOSSIBLE. Being engaged in Love stress and depression can run away and you be come relaxed. . This animated video song #POWER OF LOVE# is for showing True Love in Society and between Couples, enjoy it by watching now.
  3. fungi06

    JamiiForums Tanzania Mambo niliyojifunza kuhusu maisha nikiwa nimeshachelewa

    Nazani mimi sio mtu pekee kukaa na kujua kua nimekosea baada ya kosa kujitokeza. Lakini mimi kabla sijaendelea kosea us long am not dead man kuna baazi ya vitu nilikosea na kujua nimekosea nikiwa nimechelewa kwa namna moja au ingini ikiwa. 1. Wengi tunatumia miaka 20 kuofia kua tunafwatiliwa...
  4. kidochi og

    JamiiForums Tanzania Aslay na Mario nawakubali sana, pamoja na ustaa wao wanaishi maisha ya kawaida sana

    Ni wasanii wa bongo freva ambao ukiachilia mbali mond, kiba, konde. Wana wafuasi wengi Sana kwenye mitandao ya kijamii. Hiyo inaashilia ukubwa wao na ni kiashirio cha kwamba wanakubalika sana mtaani. Pia ni wasanii ambao hawategemei kiki au promo yeyote ile ili wasogeze muziki wao. Kutokana...
  5. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Maisha ya Don Nalimison Kiko njiani!!!

  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi. ===== LIVE FEED: MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA...
  7. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano?

    Hope mpo good mapopo wenzangu Kulingana na maisha yako ya mahusiano nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano Binafsi "cry no more" ya breezy ndo inanifariji kidogo Pia nyimbo ya Khalid "bad luck"
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nahisi hii ni moja ya sababu ya sisi vijana kulalamika kuhusu ugumu wa maisha humu mtandaoni

    Nina imani wengi wetu humu JamiiForums tumetoka kwenye familia za kawaida, nikimaanisha kuwa tumeishi na wazazi wetu kwenye nyumba za tofali hata kama zilikua za kupanga, tumekua tukiwa na uhakika wa Milo mitatu kwa siku, kila siku, na ada ya shule haikusumbua sana wazazi. Vijana wengi tumeishi...
  9. Restitius Respicius

    JamiiForums Tanzania Changamoto haikimbiwi, inakabiliwa

    Kila changamoto inapokuja kwenye maisha huwa inakuja kwa sababu maalumu na siyo kwa bahati mbaya, kwa hiyo hutakiwi kuikimbia changamoto inayokukabili na badala yake unapaswa kuikabili changamoto yako kwa akili, hekima na utashi wa hali ya juu sana kwa sababu; 1. Kila changamoto inakuja...
  10. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Maisha yangekuwa rahisi sana kama wenye nyumba wangekuwa wanatulipisha pango per day

    Mfano unalipa chumba elfu 30 kwa mwezi. Inafika mwisho wa mwezi umejibana bana katika kipato/mshahara wako umebaki na tsh 20000(kuna watu wamecheka hapa)... Unafika kwa landlord anakuzingua anataka yote full ,atafoka, atajaza watu nk.. si kudhalilika huku Ila wakikubali kila siku kupokea buku...
  11. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Ukweli kabisa maisha ni magumu

    Kuficha kusema ukweli ni ujinga na unafki. Ndani ya miaka hii 5 maisha yamekuwa magumu kupita kiasi kwa sababu ya serikali ya CCM. Wao wamehodhi madaraka wanalipana mishahara mizuri na marupurupu na kupandishana vyeo tu, pesa hakuna wamewabana watumishi wa umma hawawaongezei mishahara na...
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanadamu: Ukitaka kupima kiwango cha juu cha uvumilivu wa mtu yeyote, basi mpokonye kile anachokipenda sana

    Je, ni kweli kwamba, ukitaka kupima kiwango cha juu cha uvumilivu wa mtu yeyote, basi mpokonye kile anachokipenda zaidi? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uminywaji wa Habari na ugumu wa maisha ndio kaburi la Chama Changu CCM

    Siyo tu kwamba wananchi wametuchoka, bali wanatuchora na wengi kimya kimya hadi wana CCM wenzangu wanatumia njia mbadala kutafuta habari. Wananchi wako Facebook, Instagram, Youtube, google, telegram, signal na Whatsaap wakimtafuta yule tusiyempenda na pale wanapozipata habari zake...
  14. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Nape CCM Ni sawa na maisha ya digidigi porini

    Nape inabidi aishi kwa kujipeneekeza tu ndani ya CCM. Akina Nape na vijana wengine hawawezi maisha nje ya CCM. Ni watu dhaifu sana.kwa kifupi sana,maisha ya Nape yako hivi. Hajiamini,hajui anatakaga kufanya Nini CCM. Alijaribu kumbugudhi fisadi Lowassa,Katibu Mkuu wa CCM wakati huo Makamba...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania R Kelly atuhumiwa kuwatishia maisha wanawake waliomshtaki kwa unyanyasaji wa kijinsia

    WATU watatu wamekamatwa na kushitakiwa kutokana na kuhusika kujaribu kuwapa rushwa na kuwatishia maisha wanawake ambao walimshitaki R. KELLY kwenye kesi yake inayomkabili ya unyanyasaji wa kijinsia. Kwa mujibu wa NBC News New York, watu hao wanaohisiwa kuwa na ukaribu na nguli huyo wa R&B...
  16. waterproof

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kumuoa ili tusaidiane maisha maana ni magumu peke yangu

    Katika vitabu vya dini mbali mbali na misemo ya mababu zetu inasema ya kwamba 1. Mwanaume bila mke hajakamilika 2. Wenye akili wote wameoa 3. Ndoa ni kipimo cha akili n.k Yapo mengi mno ambayo hata Mimi siyafahamu na wewe waweza kuwa unafahamu mengine. Niingie moja kwa moja kwenye pointi ya...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Zawadi ni Silaha ya Maisha

    ZAWADI NI SILAHA YA MAISHA Na, Robert Heriel Maandishi ya Robert Heriel Kwa Lugha ya Kiswahili. Haki zote zimehifadhiwa. Katika ulimwengu wa viumbe wenye utashi, zawadi ni moja ya nyenzo ya maisha. Zawadi hutolewa kwa viumbe wenye akili, utambuzi na tafakuri. Zawadi haitambuliki katika...
  18. mserekale

    JamiiForums Tanzania Mtanzania kuichagua CCM ni kubariki maisha uliyonayo

    Ni mwaka mwingine wa uchaguzi na kwa desturi ya hapa kwetu Tanzania, uchaguzi hutoa fursa kwa Wananchi kuamua hatma ya maisha yao kwa kuchagua viongozi wa kuwaongoza kila baada ya miaka mitano, ikiisha kiongozi anayekuwa madarakani anaomba ridhaa nyingine ya miaka mitano kukamilisha ungwe ya...
  19. Bin Shaib

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimeanza maisha ya geto

    Bwana Yesu asifiwe,, Assaalam alykum wapendwa,,natumai hamjambo nyote kama kuna wenye udhaifu Mungu Baba atawarehemu. Maada : Hatimae nimejitegemea kigeto kama nilivyo waambia kwenye uzi niliouleta kipindi cha nyuma @Nimekukuwa, nataka kujitegemea. Nimeishi kwa mjomba kwa mwaka na miezi...
  20. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Maisha haya basi tu: Nimelishwa yai la Mbuni bila kutegemea

    Wakuu Habari! hapa nipo mbio mbio nataka nimeze dawa za tumbo nitulie tu. Kwa machache tu niseme tu leo Nimepatikana nimelishwa na visivyolika na bila kutegemea kwamba ntakuja kuvila. Inshu ipo hivi nimeenda kwa jamaa yangu kumtembelea nikamkuta yupo na Kimwana wake, ile nimefika tu sijui...
Back
Top Bottom