Inabidi sasa tukubaliane na uhalisia, kwa sababu ndio ukweli uliopo sasa hivi ya kwamba tunaishi katika kizazi ambacho watu wana maisha ya aina 2.
Kuna maisha halisi ya mtaani na maisha ya mtandaoni.
- Unaweza kuwa mtu wa kawaida sana mtaani ila huku mitandaoni unaheshimika
- Unaweza kuwa huna...
Mfanyakazi wa nyumbani, Magige Thomas (21), mkazi wa Mtaa wa Rebu, Tarime mjini mkoani Mara, amehukumiwa kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 5.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya...
BENARD MORRISON KUMALIZA 'MASINEMA' YAKE NA YANGA
Shirikisho la kabumbu nchini Tanzania (TFF) limesema hukumu ya madai ya kughushi saini ya mchezaji Bernard Morrison itatolewa Agosti 10 baada ya kazi ya uchunguzi iliyofanywa na Jeshi la Polisi kumalizika.
Kiungo huyo mshambuliaji kutoka nchini...
Wajumbe mambo vipi? Naomba mtia wenu msinikate katika kula za maoni nikaambulia kura yangu mimi peke angu🤦😂
Duniani Maisha mengi haya tunayoishi huwa tunategemeana kwa vitu flani na ndo tunayaishi hayo hayo Maisha, Mimi namtegemea Mwenyezi MUNGU anipe kila siku anipe Afya njema...
Baada ya kumaliza kidato cha nne nilibahatika kumiliki smartphone yangu ya Kwanza. Nilikuwa so excited kujua Jamiiforums inafananaje hii ilitokana na baba yangu kuwa msomaji Sana wa magazeti ya Raia Mwema na Mwanahalisi na mara nyingi wachambuzi wa magazeti hayo walikuwa wanafanya reference zao...
Tunapokula huwa hatulishi tumbo bali tunalisha selihai.
Unapoamka asubuhi Cell hai nazo huwa zinanjaa. So njaa ya ugali nyama bali virutubisho muhimu.
Habari mbaya ni kuwa hata usipolisha selihai hizo vitu sahihi muda huo , zenyewe zitatafuta popote mwilini mibadala kupata hicho kinachotakiwa...
Viongozi wengi walioko madarakani wanajifanya kumuenzi Nyerere lakini ni uongo mtupu, kila siku wanajidai kuwa magorofa yameongezeka posta na ni maendeleo lkn wanasahau kuwa maendeleo ni watu na sio vitu, naomba.ujumbe huu umfikie mwingulu
Maendeleo ni watu, siyo vitu
NUKUU YA MOJA KWA MOJA...
WINDA MAISHA YAKO; MBINU KABAMBE.
Na, Robert Heriel
Maandishi ya Robert Heriel, Kwa Lugha ya Kiswahili.
Haki zote zimehifadhiwa.
Moja ya mambo niliyokuwa nikiyafanya kwa ufanisi mkubwa enzi nikiwa mdogo, na hapa ni chini ya miaka 13 ni pamoja na uwindaji wa ndege. Nilikuwa moja ya watoto wenye...
zamani mida kama hii ningekuwa nimeshapokea mahotipoti kama matatu ya pilau na vitoweo mbalimbali vya iddi kutoka kwa ndugu na majirani wanaosherekea sikukuu hii.
leo hadi sasa bila bila sijajua tatizo ni nini?
Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu Askofu Gervas Nyaisonga, amesema kitendo Hayati Benjamin Mkapa kukiri mambo aliyowahi kukosea wakati wa uongozi wake akiwa Mkuu wa nchi katika kitabu chake cha ‘My life My Purpose’ ni ishara ya unyenyekevu na kumpenda Mungu.
Askofu...
Lissi kafanyiwa mahojiano(kwa lugha ya kingereza) huko Ubelgiji(probably leo) kuhusu swala zima la kama tutarajie uchaguzi huru na wa haki, ila alivyojibu,ni wazi mwenzetu huyu sUala la kutegemea uchaguzi huru na wa haki, kwake halipo kabisa kwani ameonyesha wazi hatarajii hilo kutokea, ila...
Nina maswali mengi najiuliza bado sijapata jibu sawa sawa, nilikutana na wasichana 3 tofauti kwa muda, miezi na siku tofauti, wasichana hao umri umeenda, walikuwa wakilalama kuhusu yanayo wasibu na kupoteza matumaini, maisha magumu hawana kazi na wanaume wamekuwa kama wamewapa kisogo pamoja na...
Hii ishanitokea kwa wadada watatu tofauti, mdada anakutafta yeye mwenyewe, anakuja yeye mwenyewe, sio kwamba umemfata, na bando lake la simu anatumia kukupigia, tena mtu hauko sehem ya biashara, uko zako gheto, anakuomba muongee dili halafu anakupa ofa ya tsh laki 3, laki 5 au laki 2 kwenye dili...
Kutokana na ' Uchunguzi ' wangu mdogo tu nilioufanya ndani na nje ya Tanzania nimegundua ya kwamba kumbe huku Kukimbilia kuandika Historia yako ya Maisha na kuyaweka katika Kitabu na ' Kukizindua ' kwa ' Mikogo ' yote huwa hakupokelewi vyema na ' Israeli Mtoa Roho ' ambapo huwa ' hakukawizi '...
It goes without saying that the reason Africa will face the worst of Covid-19 last is because we are very poorly connected to the rest of the world.
We do very little business with the rest of the world, which spared us the initial hit.
Probably more people move from China to the US in a week...
SOMO LA MAISHA: Mambo kumi (10) muhimu yatakayokufanya uonekane kuwa ni mtu aliyestaarabika sana mbele za watu.
Ten Rules of Common Courtesy.
(1) Show respect for others.
When appropriate, say please, thank you and excuse me. After you receive a gift, make sure you write a thank you note or...
Wakuu, sina hata haja ya kuelezea sana! Wote tunafahamu maisha ya viongozi wakuu wa nchi akiongozwa na rais wa nchi!
Sijatumia neno “wanyonge”, kwasababu huo unyonge ndo umetumika kuwafanya wananchi wazidi kuwa masikini wa kutupwa!
Nimetumia neno masikini, kwasababu wako wengi pamoja na...
Majina ya vijana wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya JKT yametangazwa.
Kutangazwa kwa majina haya kumezirudisha nyuma kumbu kumbu zangu yapata miaka miwili sasa.
Tulikuwa Range(Mazoezi ya ulengaji shabaha).Taratibu zote zilizingatiwa kwa umakini wa hali ya juu sana lakin ilipofika zamu yetu...
Hakika maisha baada ya kutia nia ubunge, yatakuwa magumu sana kwa watia nia wengi ehee Mungu wasaidie watia nia wote maana wengine maisha yao yatabadilika kutoka uchumi wa kati hadi umaskini totoro
Mwaka juzi nilichaguliwa Chuo cha Mwenge kule Moshi lkn sikufanikiwa kwenda kutokana na hali ngumu ya kiuchumi. Sikuwa na hela hata kidogo na wakati huo ndo nilikua nimetoka form six. Home wazazi ni hohehahe wa kutupwa hawana mbele Wala nyuma.
Sikupata mkopo hata ASILIMIA sifuri hivyo nikaamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.