maisha

  1. J

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kutia nia Ubunge

    Hakika maisha baada ya kutia nia ubunge, yatakuwa magumu sana kwa watia nia wengi ehee Mungu wasaidie watia nia wote maana wengine maisha yao yatabadilika kutoka uchumi wa kati hadi umaskini totoro
  2. G

    JamiiForums Tanzania Haya maisha haya! Acheni tu

    Mwaka juzi nilichaguliwa Chuo cha Mwenge kule Moshi lkn sikufanikiwa kwenda kutokana na hali ngumu ya kiuchumi. Sikuwa na hela hata kidogo na wakati huo ndo nilikua nimetoka form six. Home wazazi ni hohehahe wa kutupwa hawana mbele Wala nyuma. Sikupata mkopo hata ASILIMIA sifuri hivyo nikaamua...
  3. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kuyaanza upya Maisha yako jambo gani ungelibadilisha?

    Mimi kwakweli ningetaka kwanza nirudi shuleni kuanza chekechea mpaka darasa la saba, nategea ikifika 2009 nakuwa Msanii najiita Diamond Platnumz 😜😜🤣🤦natunga kamwambie ndio naanza nao maana si ndio uliomtoa🤣 sianzi na ile sijui jisachi, maana sitatoka ntapigika kitaa. Ewe Mwenzangu na mimi...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM. Adskofu Gwajima pia amewahi kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (Doctor of philosopy in Theology...PhD), ambayo ameisomea katika Chuo cha Omega Global University...
  5. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli: Ubunge umekuwa rahisi na usiotisha tena. Kuna wa kulaumiwa au kupongezwa?

    Mimi si mtu mzima sana ingawa nami najongea miaka ya kuweza kugombea Urais wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa(miaka 40). Hatahivyo, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na mambo ya kinchi tangu nikiwa mdogo. Leo, nitalizungumzia Bunge kama Mhimili mmojawapo wa dola. Mingine, wengi...
  6. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Uislam sio ugaidi na waislam sio magaidi: Sheikh Najih Shaker Al-Baldawi ni shujaa wa Iraq aliyemkumbatia "Suicide Bomber" kisha kuokoa maisha ya watu

    UISLAM SIO UGAIDI NA WAISLAM SIO MAGAIDI: Sheikh Najih Shaker Al-Baldawi ni shujaa wa Iraq aliyemkumbatia "Suicide Bomber" kisha kuokoa maisha ya wenzake. UTANGULIZI: Kwa msio nifahamu mimi Infantry Soldier ni mkristo ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na wala waislamu si magaidi...
  7. geniusMe

    JamiiForums Tanzania Kufika kileleni, kupiga bao na kufanya masterbation kunaharibu maisha yako

    Moja kwa moja kwenye mada Kama unatabia ya kujipongeza kwa kufanya ngona bila stahiki acha mara moja unajiharibu kufanya ngono ni kuzuri, kuna faida nyingi katika mwili wa binadamu lakini kuna mipaka yake, unatakiwa kufanya ngono inapobidi yani ufanye ngono kwa sababu, kama hauna sababu ya...
  8. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

    Maisha haya wamejaa mambo mengi sana hasa ya utafutaji. Je, umeshawahi kupotezana na ndugu yako wa tumbo moja, binamu yako, Baba Mkubwa au Baba Mdogo, Shangazi, Mama au Baba, Bibi au Babu, Mpwa, rafiki yako au hata jirani yako, Baba Mkwe au Mama Mkwe unawasikia sikia tu wapo mahali fulani...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: Dawa za kuokoa maisha ya wagonjwa wa Covid-19 zauzwa kwa magendo India

    Uchunguzi wa BBC umebaini kuwa aina mbili za dawa ambazo zilitumika kutibu wagonjwa wa corona nchini India - remdesivir na tocilizumab - zimekuwa zikiuzwa katika soko la magendo kwa bei ya juu ndio maana kuna upungufu mkubwa sana wa dawa hizo.Mwandishi wa BBC, Pandey anaripoti kutoka mji mkuu wa...
  10. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Zipo tabia zinazoashiria kwamba mhusika hataishi maisha marefu. Je, wewe uko kwenye kundi hilo?

    Kwa kawaida maisha ya binadamu mwisho wake huwa ni kufa,kwa hiyo kila mwenye pumzi ni lazima siku moja ataonja mauti.Hata hivyo wapo watu wengi wanaokufa mapema na kijinga kabla ya muda aliopanga Mungu. Kuna tabia au viashiria fulani ambavyo huweza kuonyesha kwamba watu fulani huenda...
  11. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema atema cheche dhidi ya CCM na serikali yake

    Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema, Hemed Ally, ametema zake cheche hizo mbele ya wananchi huko Bagamoyo. Msikilize....
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Maisha ya huku Kijijini nchini Rwanda yananifanya niwe mbali kwa muda sasa na wana JamiiForums na kiukweli nimewamisi mno

    Pokeeni Salamu zenu nyingi kabisa kutoka hapa Nyumbani Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Nashindwa kuwa nanyi mara kwa mara kwakuwa huku Kijijini ( Shambani ) nilipo kuna muda Mtandao haukamati kabisa. Za huko Tanzania Marafiki zangu. Vipi Rais JPM anaendeleaje? Klabu yangu pendwa ya Simba...
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Habibu B. Anga (The Bold) Mungu akupe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate your writings brother. All the best

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu Watanzania huyu Habibu B. Anga (The Bold) Mungu ampe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Natamani kuanza maisha serious ila sina wa kuanza naye

    Ni mara kaadha nimekua nikiskia baadhi ya shuhuda kwa baadhi ya wanandoa walionza kupambana na maisha wakiwa hawana kitu au walionza from zero mpaka wakawa na vibiashara na miradi kadhaa. Leo hi kila nikipiga hesabu na mimi natamani kuanza maisha ila wa kuanza naye sina. Kipato changu kwa mwezi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jamani nyinyi mliopo maofisini msijione mmewini maisha kwani maisha yanabadilika

    Ni juzi nilienda katika ofisi moja ya kampuni kubwa hapo Njombe, ila nilichokutana nacho ni shidaa of course nilienda kuomba nafasi ya kufanyia field ila daaah! Kuna watu wanaona wamewin kuliko sisi yule jamaa wakati mim namweleza shida yangu yeye alikua na sim akichati utadhani anaongea na...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurudi bila dereva wake, maisha yake yako shakani

    *TUNDU LISSU KURUDI BILA DEREVA WAKE* - *Ni yule aliyekuwa naye wakati anashambuliwa Dodoma* - *Chadema walimtorosha akiwa Dar baada ya kuhitajika na Afande Mroto kwa mahojiano* - *Chadema walimtorosha kwa gari yao walioifunga bendera ya CCM hadi mpakani Namanga* - *Haijulikani ni kwa nini...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

    Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Kwa alichokiongea Vanessa Mdee, inawezekana Diamond Platnumz naye anafeki maisha?

    Vanessa alisema sababu ya yeye kuacha mziki ni kuwa haukuwa unampa hela, halafu alikuwa akilazimika kuishi maisha ya juu ili kuwafurahisha mashabiki, wakati kiuhalisia hana uwezo huo Inawezekana zile V8 zilizopo kwenye parking ya Diamond Platnumz, sio zake, na ile nyumba yake ya ghorofa...
  19. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Monica maisha yakuwa sehemu yake alipambana lakini alizidiwa na saikolojia .

    Story ni ndefu lakini itakufundisha Wiki mbili zilizopita nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu mmoja...hii ilikuwa ni tofauti kidogo kutokana na ukweli kwamba tulikaa muda mrefu bila kuwasiliana. Ni rafiki yangu wa shule ,tulisoma nae shule moja na alikuwa mrembo tangu nikiwa mdogo nilimuona...
Back
Top Bottom