maisha

  1. JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli ya maisha yangu

    Kisa cha kweli kilichompata rafiki yangu. SEHEMU YA KWANZA Umasikini ulikua chanzo cha mimi kugundua mapema kabisa tofauti iliyokuepo kati ya baba na mama yangu, Nililala na baba na mama yangu chumba kimoja hadi nilipoanza darasa la kwanza hapo ndipo uhalisia ukauzidi nguvu ukimya wa kuzuga...
  2. JamiiForums Tanzania TCRA rungu lao lingekuwa linafika Kenya, wangeifungia Citizen maisha

    Hawa ndugu zetu Wakenya naona wameamua kuishika Serikali yetu sharubu kwa kutuita “Hamnazo”
  3. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Niliwahi kutembea kwa mguu kutoka Posta mpaka Goba baada ya kukosa nauli

    Hakika maisha yana changamoto. Miaka 6 nyuma nikiwa katika harakati za kutafuta kazi Dar es salaam nikitokea mkoa nakumbuka nimewahi kuswaga mguu Posta- Goba baada ya mfuko kukosa mia 4 ya daladala. Hii ilijitokeza mara nyingi tu. Unatembea mpaka unajiona huna akili au hauko katika hesabu ya...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi apoteza maisha baada ya kupigwa kichwani na Mwalimu

    Wazazi waliokuwa na hamaka walivamia shule ya msingi ya Gitithia eneo bunge la Lari wakitaka kukamatwa na kuzuiliwa kwa mwalimu aliyemtandika mwanafunzi ambaye baadaye aliaga dunia. Mwanafunzi huyo aliyetambuliwa tu kama Wambui anasemekana alipigwa kichwani na mmoja wa walimu wakati alikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

    Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao! Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Tuliowapa dhamana ya kulinda maisha yetu wameyaweka rehani?

    Unapata taarifa kuwa Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania ataongea na waandishi wa habari mbele ya luninga. Kinachofuata unashuhudia Waziri na naibu wake wakijifukiza na kisha kushushia na Nircamf amabayo inawakereketa kohoni Hii yote ni baada ya Maalim Seif (Rip) ambae anaweka...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Musa Rajabu Mfinanga afariki dunia baada ya kupata Changamoto ya Upumuaji

    By Mchambuzi kupitia Twitter: TANZIA 👉Wapendwa nasikitika kutangaza kwamba rafiki yangu wakili msomi Musa Rajabu Mfinanga ameaga dunia leo kwa changamoto ileile Tafadhali tuchukueni hatua. Poleni wanasheria wote na mhimili wa mahakama.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Haya Maisha nyie acheni tu, Mzungu mwenyewe hapa alichoka kabisa

    Unajua sisi tumekua katika mazingira ambayo kuna vitu huwa tunaona vya kawaida kumbe sivyo. Yaani tunaamini ndio ilivyo kwa watu wote. Yale maisha mfano watu walikuwa wanalalamika kuwa bei ya sukari kuna kipindi imepanda nikawashauri badala ya kununua sukari wawe wananunua Asali ndo nzuri...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, kweli tangu awamu ya tano iingie madarakani gharama za maisha hazijapanda? Kuwa na huruma kwa Watumishi wa Umma

    Ndugu zangu wana JF, majibu ya PM Kassim Majaliwa yanashangaza sana na kutia ukakasi. Majibu aliyotoa kwa mbunge wa Konde kuwa kuongeza mishahara huongez gharama za maisha ni fedheha kubwa kwa watumishi wa umma. Hivi PM Majaliwa tokea umekuwa waziri mkuu wa Tanzania unataka kusema kuwa gharama...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwa karne hii, je ni bado elimu ni ufunguo wa maisha

    Habari wanabodi! Bado najiuliza maswali mengi kuhusu elimu yetu na majibu sipati. Nahisi wazee wa zamani waliturocha Leo hii namkumbuka Mr Yebo alishawahi "kuimba wazeee wa zamani mna......." "Wazee wazamani mli tu............" Je bado elimu ni ufunguo wa maisha,au pesa ndio imebaki kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Tunaboresha maslahi ya Wafanyakazi, sio lazima tuseme hadharani

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imejifunza kuwa inapotangaza hadharani kuhusu kupandishwa mishahara, kumekuwa kunatengeneza gharama kubwa na kusababisha ugumu wa maisha ya wengine. Ameeleza hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Konde (ACT-Wazalendo) Khatib Haji aliyehoji ni lini...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi acheni utani wa maisha ya raia wenu, chukueni hatua za haraka kabla nchi haijageuka kuwa graveyard

    Mwaka jana tuliishinda corona kwa sababu zifuafazo: 1. Serikali ilikuwa mstari wa mbele kusimamia mapambano ya corona 2. Kulikuwa na taskforce inayoshughulika na wagonjwa wa corona. Kama mgonjwa yuko nyumbani mlikuwa hamruhusiwi kumsafirisha ila mnapiga simu anafuatwa nyumbani ili kuepusha...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha magumu mpaka nataka kuwa mshirikina

    Maisha magumu sana mpaka nataka kujaribu ushirikina watu wananishauri huenda nyota yangu imefifishwa maana kila jambo linaishia njiani na kuharibika kabla halijafanyika. Nimeshaahidiwa kazi hata humu JF na baadhi ya members lakini ghafla ukungu unaingia mtu anaingia uzito hatimaye ananipotezea...
  14. JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu katika maisha; niliyoyaona katika Mahakama za Mwanzo yanatisha

    Wasalam, Leo nimependa kushare nanyi baadhi ya mambo ya kusikitisha yanayoendelea katika mahakama za mwanzo na si kwamba yanafanywa na mahakimu wote la hasha bali wachache wenye nia ovu. Naandika haya si kuwa nimesimuliwa hapana ila ni mambo yaliyonitokea miaka ya nyuma kipindi biashara yangu...
  15. JamiiForums Tanzania Je, kwa maono yako unaionaje dunia mwaka 2100 (Maisha, Teknolojua, Mazingira, Imani, n.K)

    Kwangu naona dunia kwa mwaka 2100 wengi humu tutakuwa tupo kwenye makazi yetu ya kudumu. Naiona dunia hapa kwetu tutaanza utaratibu wa mazishi kwa kuchomwa moto kwasababu ya changamoto ya ardhi. Naiona dunia miaka hio, mambo ya ushoga, usagaji, kubadili jinsia yatakuwa katika kiwango cha juu...
  16. JamiiForums Tanzania Kisa cha maisha yangu:- Mchungaji ndie aliyesababisha nighairi kuoa na amenifanya kanisani nikuone mbali

    Unajua kwanini HUWA SIKUBALIANI NA KUOA KABISAAA... Sababu ni hiii 👇👇 Mwaka 2015 nilikutana na binti wa kichaga Facebook. Tulianza urafiki na baada ya muda mrefu tukaingia uchumba. Nilimuahidi kumuoa na kuthibitisha hili nikawa close na familia yake. Alikua anaishi na dada ake mjini Dsm...
  17. JamiiForums Tanzania Tuliopitia maisha ya "Saidia Fundi" tukutane hapa

    Hii mikazi sidhani kama kuna mtu anapenda kuifanya ila kuna stage ilitubidi wengine tufanye ili tusukume siku. Wapo ambao zimewatoa, na tupo ambao hazikututoa. Niliacha hii mikazi kipindi hicho napambana life baada ya braza mmoja aliyekuwa ameshika kazi, akishachukua mpunga kwa bosi basi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda kinauzwa cha kizamani kinafaa kwa shambaboy au anayeanza maisha

    Habari Kitanda cha kizamani 4*6 mninga na godoro lake naviuza kwa pamoja elfu 70. Kipo Kigamboni mbele ya Kibada. Godoro halijachoka lipo safi. Nimeambatanisha na picha. Mawasiliano 0622 426120.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

    Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa. (Samahani mimi sio mwandishi mzuri wa story) Kuna mwenzangu tulisoma naye O level, mimi niliendelea A level na yeye akaenda DIT kipindi hicho ikiitwa Dar Tech, hatukuonana miaka mingi sana na sikujua yupo wapi. Kwa bahati tu nikawa...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu gharama za maisha ndani ya Jiji la Tanga

    Habari za wakati huu, Ningependa kufahamu kuhusu mji wa Tanga na gharama za maisha. Baadhi ya mambo ningependa kufahamu ni pamoja na maeneo mazuri ya kuishi kwa watu wa kipato cha chini au cha kati, Gharama za kupangisha nyumba, chumba. Gharama za chakula na malazi katika lodges na guest...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…