maisha

  1. JamiiForums Tanzania Naombeni usahauri nifanye nini kujikwamua kimaisha, najihisi kuwa kero kwa wazazi

    Habari ndugu zangu wa huku wakubwa kwa wadogo, kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25, pia nimuhitimu wa chuo kikuu fulani fani ni usimamizi na uongozi(Public administration and Management) Diploma (2019) pamoja na Computer Application. Nimekuja...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Maisha ya UBUNTU na Kanuni zake 4

    Filosofiasoko pekee Afrika inayokamilishana na UBUNTU kutegua kitendawili mama cha familia za waAfrika tangu mataifa ya Afrika tuanze kupata uhuru (Libya 1951) zaidi ya nusu karne iliyopita . "Jinsi ya kupunguza ugumu wa maisha na kuongeza amani na furaha ya familia za waAfrika kwa kupata mfumo...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Tambua Nyakati: Usibaki unapotakiwa kuondoka

    Ukweli ni kwamba, ni jambo kubwa sana kutambua NYAKATI, ni muhimu kujua muda gani ufanye Nini? Uwe wapi? na hatima au matokeo ni Nini? Habari yako Mpenzi msomaji. Leo napenda kukuepusha na hatari ya kutotambua nyakati katika MAHUSIANO YA KIMAPENZI. Watu wengi wanapoteza muda kubaki na wenza...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Jiongeze zaidi

    "Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake",msemo huu uliobeba maana,yamkini unatumiwa na waswahili kufikisha ujumbe kwa watu kua watu wanatakiwa kuishi kulingana na uwezo wao wa kimaisha ulipoishia,lakini kwa upande mwingine tunapaswa kukubaliana kua matumizi ya msemo huu ni sahihi kwa asilimia zote...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi zawadi za shindano la Stories of Change zinavyoweza kubadili maisha ya washindi

    Uongozi wa mtandao maarufu wa Jamii Forums (JF) umebuni shindano la Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change) kwa wanachama wake. Awamu ya kwanza ya shindano hili itaanza Julai 14 hadi Septemba 15, 2021. Zawadi zilizotangazwa kutolewa ni kama zinavyoonekana kwenye kielelezo...
  6. JamiiForums Tanzania Ni aina gani ya gari zuri kwa kuvimba nalo hapa mjini?

    Habari wadau. Ebu tupeane ushauri ni aina gari ya gari ambayo nikiwa nayo nitavimba hapa mjini?
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Naamka nikiwa na miaka 40, Mke wangu amekuwa msaada

    Nina miaka 40 sasa lakini ndio naamka nashtuka kuona kwamba nilipoteza sana muda, pesa na sikuutumia vizuri ujana wangu. Ningewaza haya mapema ningekuwa mbali sana kimaendeleo hata kama si kwa pesa nyingi lakini ningekuwa nimepiga hatua kubwa. NINI KILINIPONZA? 1. UVIVU NA NJIA MKATO Shule ya...
  8. JamiiForums Tanzania Je, COVID-19 imeathiri vipi maisha yako ikiwemo mahusiano yako na unaowapenda?

    Habari gani ndugu zangu wanaJamvi pendwa la Hoja Mchanganyiko. Natumaini mnaendelea vyema kabisa na mihangaiko ya kila siku na mapambano ya UVIKO-19. Niende kwenye maada moja kwa moja. Binafs, huu ugonjwa umeniathiri sana katika mahusiano yangu na watu ninao wapenda. Tuanzie hapa, Mwezi June...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ukizingatia njia hizi sahihi utafanikiwa katika maisha

    Na Chu Joe Habari za muda huu Watanzania wenzangu natumaini nyote mko salama, leo napanda jukwaani nikieleza kwa uchache mambo unayotakiwa kuyafanya kijana ili uweze kutimiza ndoto zako au malengo yako iwe ni katika biashara, kazi, nasomo, nk. 1. Muombe Mungu na umshirikishe unachotaka...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha ya mwanaume...

    Ni kutafuta kilakitu.... Utafute mke, pesa, amani, usingizi na bado utafute ufalme wa mbinguni. Hakika tutaingia mbinguni tukiwa tumechoka sana wallah..😎
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Mbinu bora na Maridhawa kwa Kuinua Maisha ya Watanzania kufikia mwaka 2040

    Watanzania wengi wanasumbuliwa Sana na ukombozi wa kifikra, Changamoto nyingi Sana za Maisha zinaielemea Jamii kwa sababu ya Elimu Mbovu na Mijiundo ya kiutawala tuliorithi kwa wakoloni! Hii imekua ni dhana mbovu Sana katika kuikwamua jamii katika lindi la umasikini wa fikra, mitazamo na Maisha...
  12. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wasafiri wawili

    ISMAIL MAYUMBA Watu wawili wakiwa wameianza safari ya baharini, wakiwa kwenye jahazi na safari yao ikigharimu miaka yao tisa katika kuishi. Sio kama awali bali saivi bahari ina machafuko na vimbunga vya kila aina na mawimbi yanayotisha. Ikafika kipindi wakaanza kusikia njaa na kwa bahati...
  13. JamiiForums Tanzania Karibuni Dar es Salaam wageni mnaokuja kutafuta maisha na kufanya biashara

    Dar ni jiji ninalolifananisha na Jikoni kwa Tanzania hii, nadhani wote tunajua sifa ya jiko ni mahali panapoandaliwa na kupikwa vyakula vyote tunavyovipenda na tusivyovipenda. Dar ni mkoa ambao naupa heshima ya kupafananisha na jiko kwasababu ni mkoa ambao ni chanzo cha kila kitu. Ukitaka ma...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo ya kuzingatia kabla ya kuhamia Dar es Salaam

    Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya latitudo nyuzi 6 hadi 7 na longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa magharibi, Kusini mwa ikweta na upande wa magharibi, Kusini na Kaskazini. Jiji linapakana na Mkoa wa Pwani, upande wa Mashariki linapaka na Bahari ya Hindi. Jiji...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Hekima: Ufunguo Halisi wa Utajiri

    Dunia inatangaziwa kutatokea mafuriko baada ya siku tano. Dalai Lama anawaambia waumini wa Kibudha inatakiwa wafanye tahajudi (meditation) na wasubiri kuzaliwa upya (reincarnation). Papa anawaambia waumini wa Kikatoliki duniani kutubu dhambi zao na kuomba. Lakini Mwalimu wa Kiyahudi (Rabbi)...
  16. JamiiForums Tanzania Poleni vijana mnaofikiria kuwa na pesa utapata mapenzi ya kweli

    "Kijana tafuta pesa" ndio kauli utasikia vijana wengi wakishauriana.... Na pia wanawake mkiona nyuzi humu vijana wanapigizana kelele watafute pesa ili wawapate mnajiona mpo juu....lakini ukweli ni kwamba.... Wanaume wenye pesa wengi wao wanatumia nguvu ya pesa na wanakinai papuchi haraka...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira, ugumu wa maisha na Katiba Mpya ndio vitakavyoiondoa CCM madarakani

    CCM wafanye yote wanayofanya ikiwemo kutumia propaganda na dola kubaki madarakani, ila waeleze tatizo la ajira na ugumu wa maisha pamoja na Katiba hii mbovu tulionayo, ndio vitu vitavyokuja kuwaondoa madarakani. Hata hivyo, ili yatimie, lazima kwanza litokee jambo ambalo litatumika kama...
  18. JamiiForums Tanzania Kilio Cha tozo za miamala ni ushahidi kuwa wananchi wanakaribia kuzisahau tofauti zao za kisiasa dhidi ya maisha Yao.

    Wanasiasa someni alama za nyakati, kaeni chonjo saa mbaya. Tozo kubwa kwenye miamala ya simu imekwenda kufuta mstari muhimu sana kwa wanasiasa unaowatenganisha watanzania kwenye itikadi za vyama vyao vya siasa. Hakuna wanaCCM wala wapinzani kwenye tozo za miamala ya simu. Hii sio ishara njema...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania SoC01 Biashara na mafanikio katika maisha

    1.BIASHARA. 2.MAFANIKIO KATIKA MAISHA. 3.HITIMISHO 1.0.BIASHARA. Kuna aina mbalimbali za biashara na aina ya ufanyaji biashara zinazoweza kukukuza kiuchumu. Katika andiko hili litakuonyesha ni nini ufanye ili biashara yako iwe na mafanikio makubwa. 1.1. Kupata soko la biashara yako. Watu wengi...
  20. JamiiForums Tanzania Je,Ni kweli kuwa matajiri Wengi hawa enjoy maisha?

    Niliwahi kusikia mahali kwamba heri masikini na watumwa wao ndo hawanaga stress kama boss eti kwamba matajiri wanateseka sana japo wana hela lakini haziwasaidii kupata furaha Wala kupata usingizi mzuri wala kuwa na amani ya moyo naombeni tu kujua kama ni kweli au ndo zetu maskini kujipaga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…