maisha

  1. JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kesi ya Mbowe. Nini kutiliwa maanani?

    Wanabodi, Wanao fuatilia kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe lazima wana fahamu kwamba kuna kushinda na kushindwa. Kushinda kuna ashiria mambo mengi lakini kubwa kuliko lote ni kwamba serikali inafanya kila kilicho ndani ya uwezo wao kuzuia mikutano ya wapinzani ikiwemo mbinu wanazo...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Deni la milioni 10, halafu maisha hayana formula

    Maisha yako kasi sana na kila kitu kipo ndani ya muda unaweza kulala mchana ukashtuka ni usiku,ukalala usiku ukajashtuka jioni ya siku ya pili yaani dunia inazunguka kwa kasi ukizubaa inakuacha kama ambavyo wasomi wanapishana na MAFANIKIO YA NDOTO ZAO kwa jina la MAISHA HAYANA FORMULAR,huzuni...
  3. 4

    JamiiForums Tanzania Ni hatari Sana KWa mwenye pumzi jitoa hufaham,kisa maisha na anasa za Dunia,Mtajuta siku

    Wakuu Mungu awe pamoja nanyi, Kwenye mada moja kwa moja Tz tupo wazee,vijana wa kike na kiume , ila Kama nguvu KAZI ya Taifa hili ,tumebaki tu, capacity yetu ya kushauri, kuelimisha imebaki tu, tupo Kama mariboti, tumekalia majungu , ubinafsi wa familia zetu ,ndugu ,matumbo yetu badala ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hili bata la leo Dar ni kweli maisha magumu Tanzania?

    Ukiingia Mitandao leo ni full bata Dar karibu yote.. Waliokusanyika bar za nje uwanja wa Taifa Na maeneo mbali mbali leo kusherehekea Simba day ..beer zimeanza asubuhi.. Na Vijana mostly under 30 wamejaza bar karibu zote leo Dar wakitazama kwa TV Na kuanza kunywa beer kuanzia asubuhi .. Hizi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukitaka kupiga hatua katika maisha lazima uwe sugu na mwenye msimamo

    Naomba nitambulike hivi hivi kama Mzee wa Old School. Story nitakayo waeleza hapo chini ni ya kweli hivyo ni vizuri ndugu unaesoma usiishie kusisimkwa, kuhuzunika ama kucheka, bali fanyia kazi ili kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha kwa sababu siku zote 'maisha ni vita' kimwili...
  6. JamiiForums Tanzania Maisha hayako fair, kuna muda unakutana na mwanamke ana sifa zote unazotaka lakini Single Mother

    Kuna mambo yanaumiza sana moyo, unakutana na mdada unajisemea huyu ndiye niliyekuwa namuota siku zote, sifa zote unazopenda anazo pengine unamueleza hisia zako naye anakuelewa. Lakini kinachotokea unakuta kashazalishwa na mbaya zaidi baba mtoto bado yupo hai😃😃 Kuna muda mpaka unatamani ubebe...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Maisha na formula zake

    Kumekuwepo na motivation speaker wengi kuhusu maisha yanapaswa kuendeshwaje? Mbinu za utafutaji na mengine mengi lakini ukweli ni kuwa Kila mtu ana mbinu na mtazamo tofauti ya utafutaji ndo maana biashara nyingi zinazo anzishwa kwa ushabiki ufa muda si mrefu.kilichonora ni kujituma na kumuomba...
  8. JamiiForums Tanzania Taarifa ni software ya maisha

    Tunapokea taarifa nyingi maishani mwetu: masomo shuleni stori kijiweni habari magazetini mahubiri ibadani nk. Hizo zote ndizo software zinazoendesha hardware - ambayo ni mimi na wewe. Tunachosikia, kitaamua tutakachotenda. Kama taarifa ni ya kweli; ni sahihi - tutatenda kwa namna...
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mtindo wa Maisha unavyoathiri Afya ya Uzazi kwa Mwanaume

    Nini maana ya tatizo la nguvu za kiume? Hili ni tatizo linalohusisha hali tofauti kwa wanaume ambalo linaweza kuathiri njia ya mkojo na uzazi kwa mwanaume. - wanaume wengi wamekuwa wakipata hofu na aibu kwa sababu tatizo hili linahusisha sehemu za siri. Je ni Nini chanzo cha tatizo la...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwaheri Kapteni Zacharia Hans Poppe: Tuna mengi ya kujifunza kuhusu maisha yako

    Leo jumatano ya tarehe 15 Septemba 2021 mwili wa Kapteni wa zamani wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Zacharia Hans Poppe utapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele mjini Iringa mahali ambako pia baba yake Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi Hans Poppe alizikwa tarehe 26 Mei 1979. Hans...
  11. JamiiForums Tanzania Mliowahi kupata ajali mliwezaje kurudi kwenye maisha yenu ya kawaida bila kuweweseka usiku?

    Miaka miwili iliyopita nilisababisha ajali ya barabarani maeneo ya Gairo iliyogharimu uhai wa mmasai mmoja na ng'ombe zake watatu.ila mpaka leo naweweseka sana usiku silali ndoto na reflection za ile ajali bado zinanitesa, mliowahi kukutana na changamoto kama hii mliwezaje kurudi sawa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itwambie ukweli kuhusu inflation na thamani halisi ya pesa. Gharama za maisha zimepanda sana

    Siku hizi ukiwa na shilingi elfu 10, inayoyoma kama upepo, thsmani ya pesa haipo kabisa Maisha ya wananchi yanazidi kuwa juu na magumu. Wakati serikali haikuongeza stahiki za wafanyakazi kwa miaka Sita sasa, lakini imewazunguuka na kuwaongezea TOZO lukuki na kodi Lukuki na hivyo kuifanya...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanza na wakazi wake

    Napenda sana kusafiri kujifunza maisha na watu wapoje. Ila nimejifunza kuhusu maisha ya Mwanza. Mwanza ni mji ambao kama umechelewa kidogo japo ni mji.unazidi kuongezeka na idadi ya watu kuwa wengi sana. Kuna maeneo kipindi cha miaka 9 iliyopita ni ngumu kukuta watu,makazi,sehemu za starehee...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kukabiliana na changamoto za maisha ya kila siku kwa Viziwi

    Utangulizi Uziwi ni hali ya upotevu wa usikivu. Hali hii hutokana na sababu mbalimbali kama vile magonjwa,ajali,uziwi wa kuzaliwa nao,kuishi sehemu yenye baridi sana na uchafu wa masikio. Kwa nchi ya ulimwengu wa tatu kama Tanzania Viziwi na walemavu kwa ujumla ni watu waliosahaulika. Ni watu...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Mitandao ya simu itumie Mifumo ya Tozo kwa hiari kwa wateja wake kuwainua kimaisha

    Nawasalimu kwa jina la JMT Nimekaa nikawaza, kumbe kupitia mitandao ya simu Kama vile Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel, nk inaweza ikachochea maendeleo ya moja kwa moja kwa wateja wake bila shuruti, hii inawezekana kupitia mfumo TOZO Kama ilivyoanzishwa na serikali. Tunajua kwamba, vijana wengi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Shutuma Kubwa walizonazo sioni akina Sabaya na Mbowe wakikwepa kuyaanza Maisha yao mapya na rasmi Gerezani

    Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa. Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani. Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Hali duni ya maisha inaweza athiri afya na kupelekea kifo

    Nidhahiri Hali duni ya kimaisha, hasa pale mtu anapougua na hali ya kipato chake cha maisha ni duni. Hii huweza kupelekea kukosa matibabu sahihi kwa wakati na hatimaye kupelekea kupoteza maisha. Vituo vya afya vya Serikali unaambiwa lipa kwanza upewe huduma, wakati huo mchana MTu hajui atakula...
  18. JamiiForums Tanzania Tusikusanye tu tozo, tufikirie pia jinsi ya kuwaboreshea maisha hasa makazi na maji safi na salama.

  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ni silaha muhimu, lakini Maisha huanza kwa kuthubutu

    Habari wanaJF, Mimi ni kijana niliyehitimu shahada ya bsc in math and ICT kutoka chuo kikuu Cha Mzumbe Morogoro mwaka 2018. Kipindi nipo chuo mtazamo wangu nilikuwa nawaza nisome nimalize chuo then niajiriwe, kwakweli nilijitahd sana kusoma kwa bidii na namshukuru sana Mungu nilifanikiwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanadamu katika dunia ya digitali yamekua usanii na rahisi sana

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…