maisha

  1. Maisha ya kweli ni kuwa na " peace of Mind"

    Ukiwaweka wanasiasa hawa wawli , Tundu Lisu na Samia ukawaangalia vzr KWA jicho la kiroho au hata kawaida ,utagundua kitu , Samia anaishi na kulala nyumba nzuri na godoro la nchi 1000, anawalizi kila kona, anakula chakula cha kifalme, still hana amani kabisa,nuru haipo ,hata angepaka make up...
  2. Maswali ambayo huwa najiuliza kuhusu maisha, destiny na “Kwa nini mimi?”

    Kuna wakati nimejikuta nikifikiria sana kuhusu maisha ya mwanadamu na jinsi ambavyo kila mmoja wetu amekuja kuwa yeye. Kwa nini mimi nimekuwa mimi? Kwa nini wewe umekuwa wewe? Na kama mambo machache tu yangekuwa tofauti, je, tungekuwa watu gani leo? Kwa mfano: Kwa nini Seran asingekuwa Ephe...
  3. Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini

    Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini Watanzania wanadai kuwa Mwl Nyerere ndiye raisi wa mfano kuigwa kuishi maisha duni ya kimasikini na kuwataka viongozi wote waishi maisha sawa na yake...
  4. Filamu ya Maisha ya Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Mchapishaji huyo, baada ya kuuona mswada (manuscript) wa kitabu cha historia ya harakati za uhuru ambacho Mohamed Said alikuwa amekiandika, alimwambia: "...unajua kama wewe umekalia neno la tumia alisema gold m yaani umekalia mgodi wa dhahabu". Maelezo ya ziada kuhusu nukuu hii ni kama...
  5. L

    Itatuchukua Miaka Mingi saana Kumpata Rais Mchapakazi Aina ya Samia Anayeshinda na Kukesha Akifanya Kazi. Maisha Yake Ni Sadaka Kwa Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Anachofanya na kukifanya Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa Sasa ni Zaidi ya Uwajibikaji ,Ni Zaidi ya Kujitolea, ni zaidi ya kutimiza Majukumu yake ,ni zaidi ya kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba ,ni zaidi ya kutumikia nafasi ya...
  6. Kwa uzoefu wako juu ya Maisha toa maoni yako kuhusu msemo huu

    Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake. Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA" Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie unavyouelewa.
  7. Ni vigumu kuenjoy maisha bila mwanamke, inawezekana lakini ni vigumu

    Kikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao. Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
  8. Mazingira Bora, maisha safi

    Kuhusu Sisi MACDEGAMO Company Limited ni kampuni ya kitaalamu inayotoa huduma za matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, upandaji na utunzaji wa bustani (garden & landscaping), pamoja na house molding. Tunalenga kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, kwa wakati na kwa...
  9. L

    Rais Samia Ametendea Haki Hatima Ya Maisha ya watanzania Kiuchumi. Hali ya Maisha ni Ya Kutia Matumaini na Nuru

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako. Maana yake ni Kuwa usalama...
  10. Zaharani - Maisha na mashairi

    ZAHARANI - MAISHA NA MASHAIRI. Verse..1. Hizi mbio sio za Baiskeri , Haiwezi kabiri Kasi/ Tahadhari usije Ukaferi , Mbuzi Amzindi Farasi/ Usiwambie Watu watakucheka/ 😄 🤣 "hahaha " Wengi wameishia Sakafuni/ Chunga usipige mweleka , Usafi wa Nafsi sio Sabuni/ Unapozungumzia Hip hop , Lazima...
  11. Ukweli wa Saikolojia ya Wanadamu kwenye maisha ya kila siku

    Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa thamani na watu unaoamini ni wa karibu kwako. Hapa kuna kanuni 5 za kisaikolojia kuhusu wanadamu ambazo...
  12. Good morning chitchat

    Jibu kwa ufahamu ama uzoefu wako tuu.. Hakuna kutumia AI
  13. Maisha Yamenifundisha Jambo Moja: Usisubiri Mtu Akuokoe

    Kuna kipindi nilikuwa naamini ipo siku mtu atakuja abadilishe maisha yangu. Nilisubiri nafasi, nilisubiri bahati, nilisubiri msaada. Lakini kadiri miaka ilivyopita, nikagundua kuwa muda ndio ulikuwa unapita, si matatizo. Maisha hayana huruma kwa anayesubiri sana. Yanamheshimu anayechukua...
  14. Tajiri wa Katoro ana akili ya kutafuta Pesa lakini hana akili ya maisha

    Tajiri wa Katoro amejaliwa akili ya kutafuta pesa lakini amekosa akili ya maisha https://www.instagram.com/reel/Dbk70AViBE9/?igsh=MWN4cjllM2VtaWt3Yw==
  15. Maisha yamenifundisha

    Maisha yamenifundisha jambo moja. Mtoto asiyetembea husema mama yake ndiye mpishi bora. Vivyo hivyo kwenye maisha. Ukikaa sehemu moja kwa muda mrefu, ukafanya kazi ile ile kwa miaka mingi, ukazungukwa na watu wa kiwango kile kile, ni rahisi kuamini kwamba tayari unajua kila kitu. Lakini...
  16. Maisha yapo complicated Sana unakuta mabinti wanakukataa ila wake za watu wanakushobokea

    Unakuta unatongoza hata manzi kumi ila zote zinakukazia ila wake za watu wanaanza kukutongoza wenyewe huku si kutafutana ubaya
  17. Maisha bila kuroga muda mwingine hayaendi. Tupeane connections za mafundi

    Hakuna namna ni mwendo wa kuumizana kama unaona mdaiwa wako analeta ujinga Kumfundisha adabu tu.
  18. MAISHA BAADA YA KESI NIMEFIRISIKA YAMEKUWA MAGUMU SANA

    HAbari ndugu zangu nahisi kuchanganyikiwa jumatano
  19. Acha kujidhulumu kumbuka tunaishi mara moja, Ishi kikamilifu

    Ninaumia sana kila ninapokumbuka kuwa "nikitolewa kila kitu nilichojifunza na kufundishwa ninayebakia ni Mimi" kauli hii inanifanya nijione kama nimejidhulumu sana katika maisha yangu. Ulishawahi na wewe kujiuliza swali kama hili? Kama ndivyo basi huenda na wewe ukahisi jambo fulani umekuwa...
  20. Hivi AI inaleta urahisi au ugumu wa maisha?

    Kuna movie 🎦 nimetoka kucheki inaitwa trancedence (2014)... Kwenye hiyo movie jamaa Wali tumia nano technology ku implant human consciousness kwenye sever za internet kwa kutumia quantum computers.. Issue walobugi ni kuwa ile consciousness ilikuwa ni ya mtu mmoja pekee na kingine haikuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…