kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sijui kama mambo yamebadirika ila nakumbuka zaman shulen tulikuwa tunalishwa matango pori kuhusu ujamaa na ukomunist na jinsi gani ubepari ni ushetani

    Ila sasa hivi hauwezi kudanganya vijana kama ulivyofanya miaka ya 70, 80, 90 na early 2000s SAsa hivi wanajionea ukweli wenyewe katika TV kubwa iitwayo globalization. Tulidanganywa mengi, tukafichwwa historia za maana ili tuwe wahanga wa system ambayo haikufanya kazi kiuchumi na maendeleo...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Parklands: Video Yaonyesha Mwanaume Akiporwa Mchana, Maswali Yafufuka Kuhusu Usalama Nairobi

    Video inayosambaa mitandaoni ikionyesha wanaume watatu wakimvamia na kumpora mwanaume katika eneo la 6th Avenue, Parklands, Nairobi, imezua wasiwasi kuhusu usalama wa wananchi katika maeneo ya umma. Tukio hilo linalodaiwa kunaswa mchana kweupe linaibua maswali kuhusu hatua zinazochukuliwa na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto haambiliki kuhusu kombi ya HGK, nini future ya hii kombi?!!!

    Wazazi wakali wanataka asome CBG, wakiwa na malengo wampeleke pharmacy baadae Kisha wamfungulie duka la dawa ajitegemee (kwakuwa ajira ni changamoto). Uwezo wa mtoto huko upo kwenye Geography tu (ni A au B tu Kila mtihani au jaribio). Chemistry na biology haizidi C. Dogo ana amani zaidi kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Wote walioukosoa Uongozi wakiwa Man U kilichowakuta walisepeshwa, vipi kuhusu Lisandro Martínez?

    Rúben Amorim: Nimekuja hapa kuwa Meneja wa Manchester United, si kuwa kocha. Kila Idara, ya Kusaka Vipaji, Mkurugenzi wa Michezo, wafanye kazi zao. Nitafanya yangu kwa Miezi 18 iliyosalia." Kilichofuatwa ~ ALIFUKUZWA Cristiano Ronaldo: Wamiliki wa klabu, Familia ya Glazers haijali... Hawajali...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    Ushauri, Wakuu naomba ushauri kuhusu rangi ya bati ya chengachenga vikae ambayo haipauki haraka
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kadri ushindani kuhusu madini ya Afrika unavyozidi kuimarika, ni njia gani sahihi ya ushirikiano inayohitajika?

    Yakiendeshwa na ukuaji wa haraka wa nishati mpya na utengenezaji wa hali ya juu, madini kama vile madini adimu, lithiamu, na kobalti yamekuwa karata muhimu katika ushindani wa kimataifa. Bara la Afrika lenye utajiri wa madini linaonyesha hali tata: nchi zenye uchumi mkubwa zinaimarisha msimamo...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakazi wa Magadi Wasafiri Kilomita 45 Kutafuta Maji

    Wakazi wa Magadi, Kaunti ya Kajiado, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi, hali inayowalazimu baadhi yao kusafiri hadi kilomita 45 kutafuta huduma hiyo muhimu. Kwa mujibu wa taarifa katika video, wakazi hao wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji, huku gharama ya kununua maji...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wayne Rooney aeleza wasiwasi kuhusu mustakabali wa Bruno Fernandes Manchester United

    Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney, ameeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya nahodha wa timu hiyo, Bruno Fernandes, akisema kuwa huenda kukawa na mvutano kati yake na benchi la ufundi iwapo matokeo mabaya ya timu hiyo yataendelea. Manchester United imekuwa na mwanzo usioridhisha...
  9. JamiiForums Tanzania Nikilitafakari taifa la Palestine, najiuliza maswali mengi sana kuhusu Mungu na uweza wake. Je, ni Mungu mwenye chuki au ni Mungu wa upendo?

    Sijui Palestinians walimkosea nini Mungu hadi aruhusu wakutwe na wapatwe na yanayopitia. Sauli aliambiwa awauwe Wapalestina wote na mali zao zote na vitu vyao vizuri vyote, Sauli akabakiza wanyama wanono na wanawake wazuri. Mungu akakasirika sana akamfuta kazi Sauli na kumpa ufalme Daudi. Je...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaofanya biashara ya Saluni hatuna Elimu Kuhusu malipo ya Service Levy

    Tunaofanya biashara ya saluni, utaratibu wa kupata leseni ni kulipia kwanza kibali cha BASATA kupitia tovuti yao, kisha kuomba leseni ya biashara kwa Shilingi 40,000 kwa mwaka. Hata hivyo, wafanyabiashara wengi hatufahamu utaratibu wa kulipa service levy kupitia mfumo wa Tausi wa halmashauri...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Jared Okello Ataka Uchunguzi Kuhusu IEBC Kununua Vifaa Vipya vya Uchaguzi Kila Uchaguzi

    Mbunge wa Nyando, Jared Okello, ametaka uchunguzi ufanywe kuhusu uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kununua vifaa vipya vya uchaguzi kila baada ya miaka mitano badala ya kukarabati au kuboresha vilivyotumika awali. Akizungumza na kituo cha runinga Jumanne, Oktoba 13, 2026, Okello...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Je, Serikali imefikia wapi kuhusu suala la bei ya Saruji? Maana ni kimya sasa

    Je serikali imefikia wapi kuhusu suala la cement? Mana ni kimya sasa
  13. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hii ndoto

    Nimeota zaidi ya Mala tano kwamba nimekufa,hii ndoto inanipa mawazo sana naomba ushauri wenu,je ina maana gani?@mshana
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maurice Ogeta - Mlinzi Wa Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga Afunguka Mazito Kuhusu Maisha Yake na Baba

    Karibu mwaka mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Maurice Ogeta, mlinzi na msaidizi wake wa miaka 29, amefunguka kuhusu matukio mazito aliyodai kuyashuhudia akiwa pembeni ya mwanasiasa huyo, kuanzia tukio aliloamini lingemgharimu maisha Raila hadi kutekwa kwake mwenyewe...
  15. JamiiForums Tanzania KERO KERO: NSSF & Dayosisi zote, tunaomba majibu kuhusu mafao ya Wachungaji na Wainjilisti wa KKKT walioko kwenye Dayosisi zao! Yanalipwa LINI na NA NANI?

    Kwanini wachungaji na wainjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kupitia DAYOSISI ZAO, wanaostaafu baada ya kulitumikia Kanisa na jamii kwa miaka mingi wanaonekana kukabiliwa na changamoto za mafao ya uzeeni? Je, viongozi hawa wanapokea mishahara? Kama wanalipwa, je, kuna...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna jambo moja la ajabu kuhusu maisha ambalo sijawahi kulielewa vizuri… 🤐

    Kuna fumbo kuhusu maisha yetu ambalo sijui kama tutakuja kulielewa kikamilifu… 🤐 Wakuu, kuna mambo huwa nayatafakari kimya kimya na kila nikiyafikiria, najikuta na maswali mengi kuliko majibu. Fikiria hivi… Kuna kipindi ambacho hukuwa na kumbukumbu yoyote ya maisha yako. Leo upo hapa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nafahamu kwamba Mahari ni Mila na Desturi za Makabila Mengi, Lakini Binafsi Naona si Sawa

    Wakuu, Hope Mko Poa.... Nafahamu kwamba Mahari ni Mila na Desturi za Makabila Mengi, Lakini Binafsi Naona si Sawa, Kitendo cha kutoa Pesa Ni kama Namnunua Hivii.... Vilevile Naonaga hili Linachangia Sana Wanawake kunyanyasika Kwenye Ndoa Zao, Ndo ile Unakuta Mtu Anaambulia Vipigo, Manyanyaso...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa madini, tunaomba ufafanuzi kuhusu uhalali wa uongozi wa FEMATA! Ukizingatia kuwa FEMATA haina katiba

    Mheshimiwa Waziri wa Madini, Kuna maswali mazito yanayohitaji majibu kuhusu uendeshaji na uhalali wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA). Inadaiwa kuwa FEMATA inaendeshwa bila Katiba inayotambulika na wanachama wake, huku uhalali wa uongozi wake wa...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

    Moja kwa moja... Msukumo wa kuandika mada hii nimeupata baada ya kuona mara kwa mara member wa Jf Echolima1 na wengineo baadhi wanaojinasibisha na Imani ya kikirsto kukashifu vibaya ufugaji wa ndevu kisa Waislamu ndio sehemu yao ya dini na ni jambo wanalopenda sana , imefikia hatua ya kutoa...
  20. JamiiForums Tanzania Maoni ya kawaida kuhusu madhira ya Jane na Kweka; ubinafsi unatumaliza

    Kama mwanamke ni mbinafsi usiingie kwenye ndoa Kama mwanamke ni kiburi usiingie kwenye ndoa Kama mwanamke huridhiki na mwanaume mmoja usiingie kwenye ndoa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…