Kama mwanamke ni mbinafsi usiingie kwenye ndoa
Kama mwanamke ni kiburi usiingie kwenye ndoa
Kama mwanamke huridhiki na mwanaume mmoja usiingie kwenye ndoa
Tumeona kwa mbowe na CHADEMA.
Wengine tutaki kabisa mazoea na mikoa ya kaskazini swala la biashara na mali.
Jambo lengine katika watu ambao wana kesi za kuua kwa ajili ya mali au kukumaliza silent ni watu wa visiwani znz.
Hawa wa znz wana uwezo wa kukufanya chochote ndio maana hata raisi na...
Je ni mtazamo TU au ni kweli wanawake wa kichaga Hasa wamachame wanaamini katika Mali, nimezaa na mwanamke wa kichaga mtoto Mmoja, naona yupo poa TU Hana noma zile au ni mtego kuwa niweke ndani aje anizingue
Inanipa ukakakasi Sana familia nyingi zenye mama wa kichaga , unashuhudia baba Hana...
Wadau wa JamiiForums, hamjambo!
Leo katika kufanya kwangu upembuzi yakinifu wa namna teknolojia ya akili mnemba (AI) na mitambo ya utafutaji (Search Engines) inavyochambua mienendo ya kisiasa na kijamii nchini Tanzania, nimeamua kuifanyia majaribio injini ya Google. Niliiuliza swali rahisi...
Dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa ambaye anaitwa Bella Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam...
Habari za wakati wanaJF watukufu.
Mimi ni kijana umri 24 kamili. Sijaoa wala sina lengo la kuoa kwa sasa kutokana na sababu binafsi, kiufupi ni kwamba; sina majukumu ya kijamji. Naomba ushauri kwenu wahenga,
Yapata miezi miwili sasa tangu nimefungua biashara yangu kijiji flani apa, ninamshukuru...
Nchi yetu barabara kuu km za
1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001)
2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002)
3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4 magari yasipishane.
Badala yake angalia vipaumbele vya hovyo vya Magufuli;
1. Uwanja wa ndege wa...
Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika.
Taarifa ya Ufafanuzi Kuhusu Usaidizi wa Wajumbe Katika LCOY Tanzania 2026
Imetolewa na: Kamati ya Maandalizi ya LCOY Tanzania...
Profesa Palamagamba Kabudi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) nchini Tanzania, tangu 02 April 2026
KIhistoria, Tanzania ni Taifa linalojumuisha dola mbili za Tanganyika na Zanzibar, tangu mwaka 1964.
Jumla ya eneo la Tanzania ni kilomita za mraba...
Matukio ya kuanzia mwaka 2022-2026 yamebadilisha sana akili za watu wengi duniani. Propaganda na ulaghai vimekuwa vikipwaya kila siku dhidi ya ukweli na uhalisia wa mambo. Kumekubwa na maswali mengi mazito ambayo hata wenye akili wanashindwa kuyatolea majawabu ya moja kwa moja:
Mosi, Israeli na...
Jeshi la IDF lilichapisha data kuhusu kumbukumbu ya miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7.
● Wanajeshi 970 wameanguka katika hali ya uendeshaji vitani tangu Oktoba 7, 2023.
● 70% ya wanajeshi waliojeruhiwa vitani wamerejea kazini.
● Jeshi la IDF limeshambulia takriban malengo 100,000 katika...
Hili neno maana yake kubwa ni hali ya kupata furaha, raha au kuridhika mara moja bila kusubiri kwa faida ya baadae......
Kwenye maisha yetu ya kila siku tunaweza kuwa tunapitia hii hali.....
Mifano ipo mingi sana kama vile mtu anayetaka kutumia pesa badala ya kuweka akiba kwa ajili ya kesho...
Leo kwenye pitapita zangu za mtandaoni, nimekutana na hili kwenye ukurasa rasmi wa NIDA, nikabaki nashangaa.
Kwenye comments, inaonekana baadhi ya wananchi wanaelekezwa kuwasilisha ushahidi wa kushiriki katika zoezi la kumpigia kura mshiriki wa Miss Grand ili waweze kupata “Special Treatment”...
Habarini za wakati huu wanajamii forum.
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 23.Nimekuja hapa kuomba ushauri nasaha juu la tatizo la kiafya linalosumbua kwa muda wa miaka mitano sasa .
HISTORIA YA TATIZO (Nahisi ndiyo chanzo lakini madaktari huwa wanakataa wakidai havina uhusiano)
Mwaka 2020...
Wakuu
Binafsi nimeona kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya wanawake wa kichaga na kasikazini kwa ujumla wakishambuliwa na kutukanwa kwa tabia zao kwanza sio wote wenye tabia hizo na kwa ujumla tu mimi binafsi niseme tu wanawake wakichaga ni pisi kali acha tu zituue
Dar es Salaam. Tanzania imefungua rasmi Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi, unaolenga kujadili hatua za pamoja za kulinda mazingira ya bahari na maeneo ya pwani katika ukanda wa Bahari ya Hindi Magharibi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 6, 2026, Waziri wa Nchi...
Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia.
Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa...
Habari wadau,
Naomba nipate uzi wa yule jamaa aliepata changamoto ya ajali akivunjika uti wa mgongo akiwa Chuo Mweka Moshi jina lake simfahamu msaada wakuu niupate ule uzi niweze kusoma msaada nilishia katikati sijaumaliza Admin JF nisaidie...
Habari ndugu zangu, naomba msaada kidogo.
Nimesajili kampuni na sasa nataka kupata leseni ya biashara kwa jina la kampuni. Tatizo ni kwamba nikitumia portal ya TAUSI, naona option ya kuomba leseni ya biashara kwa jina langu binafsi, lakini sioni sehemu ya kuomba leseni kwa jina la kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.