Mkurugenzi Kondoa apinga upotoshaji kuhusu miundombinu shule ya msingi Hurumbi
Na MWANDISHI WETU, KONDOA
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa, Said Majaliwa, amepinga taarifa iliyosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa chombo cha habari cha Mwanahabari, ikidai kuwa Shule ya Msingi...
Mwaka 2025 nilifungua madai ya mafao ya kukosa ajira NSSF wakanipa 33.3% mwisho ikawa ni mwezi wa 11 kuingiziwa sasa Januari 2026 nilifanya kazi kwenye taasisi Fulani na mwezi wa Tano nilimalizana nao (yaani nimefanya kazi kwa muda wa Miezi mitano) sasa kwa mujibu wa Taratibu za NSSF mpya...
Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi.
Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
Anonymous (29d6)
Thread
admin
habari
kuhusu
suala
udsm
ufafanuzi
veta
waajiriwa
Baada ya Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Selemani Msindi "Afande Sele" kutoa maoni yake kuhusu ratiba ya treni ya SGR kutokea Mkoano Morogoro kuelekea Dar es Salaam. ufafanuzi umetolewa na Shirika la Reli Tanzania (SGR).
Alichokisema Afande Sele kipo hapa ~ Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa...
Jana wakati natoka Manyara kuelekea Tanga nikapita Arusha, sasa nikakutana na matangazo kuwa mkutano wa 153 wa IPU unafanyika kuanzia kesho jumatatu tarehe 5 mpaka tarehe 9 Oktona, pale katika ukumbi wa AICC Arusha na baadhi ya wabunge wawakilishi kutoka nchi washiriki wamekwisha kuwasili jijini...
Habari Wana JF
Leo nilikuwa natafakari ni jinsi gani watu wa DRC walivyomuua Waziri Mkuu wao wa Zamani Patrice Lumumba mwaka 1961. Ukiangalia zile picha za video wakati Lumumba anakamatwa utashangaa sana. Kwanza, Lumumba aliwaomba jeshi wasimpige wamkamate tu, ila akatokea mwanajeshi Mmoja...
Wakati mwingine kile kinachopaswa kuondoka maishani mwako kinatoshea kwenye punje moja ya kitunguu saumu 🧄
Fuata mtiririko huu
Tupa punje ya kitunguu saumu kwenye choo kisha utazame ni nini kinachoanza kuondoka maishani mwako:
Kitunguu saumu ni moja kati ya vitu vyenye nguvu zaidi vya...
Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja zaidi ya 60 zilizowasilishwa na wananchi 22 kwa Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa...
Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000.
Sasa nashangaa, hivi gharama ya kutengeneza hicho kifaa ni kubwa kiasi hicho? Ninaamini tulitakiwa kusaidiwa kwa gharama...
Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee
Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu
Anyways...
https://www.jamiiforums.com/threads/kanuni-mpya-za-kodi-zinawataka-wafanyabiashara-mtandaoni-kuweka-taarifa-za-tin-kwenye-page-zao.2461782/
Baada ya kukutana na uzi ambao nimeutanguliza hapo , leo nimefanikiwa kukutana na idara ya elimu tra na kuhitaji ufafanuzi. Nimeona nami niweze share na...
Wale wajuzi karibuni kudadavua
https://www.instagram.com/reel/Dd7PDTCjMJP/?stkn=MXBwZzl0cGFtaGRvdw==
=====
Mfanyabiashara maarufu nchini Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mkewe Lucy “Lulu” Muteke, wamefariki dunia baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika eneo la Marondera Rural...
Umemaliza kusoma diploma ya clinical medicine miaka walau mitatu iliyopita. Ukapiga kazi ukiwa na ndoto ya kuongeza elimu. Ila serikali wakarudisha advanced diploma of clinical medicine (AMO). Je, utachagua kwenda kusoma MD 5 years au AMO 2 years!?
Na ukijaribu kufuatilia maslahi unaambiwa AMO...
Wadau,
Nimekaa chini nikafikiria sana kuhusu jinsi dunia ilivyo, na nikaona niwaambie ukweli mgumu. Kama ukweli usiofurahisha unakukwaza haraka na hupendi kusikiliza, basi pita tu. Huu ujumbe si kwa ajili yako.
Ukweli ni huu:
Dunia ni katili.
Utakataliwa. Utapoteza watu uliowapenda. Utafanya...
UMEKUWA UKILIPA KODI MAISHA YAKO YOTE. JE, UNAJUA NANI ALIYEVUMBUA MFUMO HUU NA KWANINI?
Kabla ya kuwepo kwa fedha, benki, serikali, au katiba... tayari kulikuwa na mtu aliyesimama mlangoni kwako akipiga hesabu ya kile unachopaswa kumpa.
Kodi ya kwanza kabisa duniani ilikusanywa miaka 5,000...
AI yafika Polisi, wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji Misime
Hapo awali walitoa tangazo la kukanusha posta ya kugushi iliyokuwa ikisema Msemaji wao Kafariki.
Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
Tunduru – Mwananchi wa Kijiji cha Mkwajuni, Tunduru Kaskazini amemweleza Mbunge wake Ado Shaibu Ado kwa undani kero ya ng’ombe kuharibu mashamba, huku akirejelea sana ahadi ya Waziri Mkuu.
Katika mkutano huo uliofanyika tarehe 28 September 2026 katika Kijiji cha Mkwajuni, mwananchi huyo alisema...
YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026
Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA.
Ndugu Viongozi,
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waajiriwa wapya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.