Ila sasa hivi hauwezi kudanganya vijana kama ulivyofanya miaka ya 70, 80, 90 na early 2000s
SAsa hivi wanajionea ukweli wenyewe katika TV kubwa iitwayo globalization.
Tulidanganywa mengi, tukafichwwa historia za maana ili tuwe wahanga wa system ambayo haikufanya kazi kiuchumi na maendeleo...
Video inayosambaa mitandaoni ikionyesha wanaume watatu wakimvamia na kumpora mwanaume katika eneo la 6th Avenue, Parklands, Nairobi, imezua wasiwasi kuhusu usalama wa wananchi katika maeneo ya umma.
Tukio hilo linalodaiwa kunaswa mchana kweupe linaibua maswali kuhusu hatua zinazochukuliwa na...
Wazazi wakali wanataka asome CBG, wakiwa na malengo wampeleke pharmacy baadae Kisha wamfungulie duka la dawa ajitegemee (kwakuwa ajira ni changamoto). Uwezo wa mtoto huko upo kwenye Geography tu (ni A au B tu Kila mtihani au jaribio). Chemistry na biology haizidi C.
Dogo ana amani zaidi kwenye...
Rúben Amorim: Nimekuja hapa kuwa Meneja wa Manchester United, si kuwa kocha. Kila Idara, ya Kusaka Vipaji, Mkurugenzi wa Michezo, wafanye kazi zao. Nitafanya yangu kwa Miezi 18 iliyosalia."
Kilichofuatwa ~ ALIFUKUZWA
Cristiano Ronaldo: Wamiliki wa klabu, Familia ya Glazers haijali... Hawajali...
Yakiendeshwa na ukuaji wa haraka wa nishati mpya na utengenezaji wa hali ya juu, madini kama vile madini adimu, lithiamu, na kobalti yamekuwa karata muhimu katika ushindani wa kimataifa. Bara la Afrika lenye utajiri wa madini linaonyesha hali tata: nchi zenye uchumi mkubwa zinaimarisha msimamo...
Wakazi wa Magadi, Kaunti ya Kajiado, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi, hali inayowalazimu baadhi yao kusafiri hadi kilomita 45 kutafuta huduma hiyo muhimu.
Kwa mujibu wa taarifa katika video, wakazi hao wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji, huku gharama ya kununua maji...
Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney, ameeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya nahodha wa timu hiyo, Bruno Fernandes, akisema kuwa huenda kukawa na mvutano kati yake na benchi la ufundi iwapo matokeo mabaya ya timu hiyo yataendelea.
Manchester United imekuwa na mwanzo usioridhisha...
Sijui Palestinians walimkosea nini Mungu hadi aruhusu wakutwe na wapatwe na yanayopitia.
Sauli aliambiwa awauwe Wapalestina wote na mali zao zote na vitu vyao vizuri vyote, Sauli akabakiza wanyama wanono na wanawake wazuri. Mungu akakasirika sana akamfuta kazi Sauli na kumpa ufalme Daudi.
Je...
Tunaofanya biashara ya saluni, utaratibu wa kupata leseni ni kulipia kwanza kibali cha BASATA kupitia tovuti yao, kisha kuomba leseni ya biashara kwa Shilingi 40,000 kwa mwaka. Hata hivyo, wafanyabiashara wengi hatufahamu utaratibu wa kulipa service levy kupitia mfumo wa Tausi wa halmashauri...
Anonymous
Thread
biashara
biashara ya saluni
elimu
hatuna
kuhusu
malipo
service
service levy
wadogo
wafanyabiashara
wafanyabiashara wadogo
Mbunge wa Nyando, Jared Okello, ametaka uchunguzi ufanywe kuhusu uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kununua vifaa vipya vya uchaguzi kila baada ya miaka mitano badala ya kukarabati au kuboresha vilivyotumika awali.
Akizungumza na kituo cha runinga Jumanne, Oktoba 13, 2026, Okello...
Karibu mwaka mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Maurice Ogeta, mlinzi na msaidizi wake wa miaka 29, amefunguka kuhusu matukio mazito aliyodai kuyashuhudia akiwa pembeni ya mwanasiasa huyo, kuanzia tukio aliloamini lingemgharimu maisha Raila hadi kutekwa kwake mwenyewe...
Kwanini wachungaji na wainjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kupitia DAYOSISI ZAO, wanaostaafu baada ya kulitumikia Kanisa na jamii kwa miaka mingi wanaonekana kukabiliwa na changamoto za mafao ya uzeeni?
Je, viongozi hawa wanapokea mishahara? Kama wanalipwa, je, kuna...
Kuna fumbo kuhusu maisha yetu ambalo sijui kama tutakuja kulielewa kikamilifu… 🤐
Wakuu, kuna mambo huwa nayatafakari kimya kimya na kila nikiyafikiria, najikuta na maswali mengi kuliko majibu.
Fikiria hivi…
Kuna kipindi ambacho hukuwa na kumbukumbu yoyote ya maisha yako. Leo upo hapa...
Wakuu, Hope Mko Poa....
Nafahamu kwamba Mahari ni Mila na Desturi za Makabila Mengi, Lakini Binafsi Naona si Sawa, Kitendo cha kutoa Pesa Ni kama Namnunua Hivii....
Vilevile Naonaga hili Linachangia Sana Wanawake kunyanyasika Kwenye Ndoa Zao, Ndo ile Unakuta Mtu Anaambulia Vipigo, Manyanyaso...
Mheshimiwa Waziri wa Madini,
Kuna maswali mazito yanayohitaji majibu kuhusu uendeshaji na uhalali wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA).
Inadaiwa kuwa FEMATA inaendeshwa bila Katiba inayotambulika na wanachama wake, huku uhalali wa uongozi wake wa...
Moja kwa moja...
Msukumo wa kuandika mada hii nimeupata baada ya kuona mara kwa mara member wa Jf Echolima1 na wengineo baadhi wanaojinasibisha na Imani ya kikirsto kukashifu vibaya ufugaji wa ndevu kisa Waislamu ndio sehemu yao ya dini na ni jambo wanalopenda sana , imefikia hatua ya kutoa...
Kama mwanamke ni mbinafsi usiingie kwenye ndoa
Kama mwanamke ni kiburi usiingie kwenye ndoa
Kama mwanamke huridhiki na mwanaume mmoja usiingie kwenye ndoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.