kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Mfumo wa e-ardhi unavyofanya kazi kutoka wizara ya ardhi

    https://youtu.be/hOY_UYsoqiI?si=dlv7lgmJRF0hxHfw
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa IT mbobezi nataka tufanye kazi

    Awe kijana na mwenye uwezo mkubwa wa kutumia Computer anicheck DM tufanye kazi maana nimepewa kazi halafu sijampata mpka sasa mtaalamu
  3. JamiiForums Tanzania Ibenge alikuja Azam kujiharibia CV yake

    Ibenge ni Coach wa hadhi ya juu barani Africa alifanya makubwa akiwa na As Vita akaenda Al Hilal akacheza semi final ya CAFCL Kwa CV ya Ibenge haikufaa kuja kufundisha Azam Leo yupo Azam kujimaliza, timu haina uelekeo Leo Azam wamenikera mno Naheshimu maamzi yake labda alifata fedha
  4. JamiiForums Tanzania Nimechoka kuishi tanzania kazi gani inalipa ulaya nitafute cheti!

    List of Professions Doctor Nurse Pharmacist Dentist Teacher Professor Lawyer Accountant Engineer Architect Software developer Data scientist Graphic designer Journalist Writer Photographer Pilot Air traffic controller Police officer Firefighter Soldier Electrician Plumber Carpenter Mechanic...
  5. JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi Ya Kazi - Kuuza Hardware

    Tafadhali Soma Kipeprushi na uombe kama una vigezi vilivyoainishwa.
  6. JamiiForums Tanzania Hivi hizi Ngoma kwenye minara huwa za kazi gani?

    Wajuzi wa mambo naombeni nifahamisheni kuhusu haya mangoma kwenye minara huwa za kazi gani?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mchome ni pandikizi la CCM, fukuza liende CCM lifanye kazi ya Uuaji .

    Kuwa na mali si hoja issue ni mali amezipataje? Kuwa na mahusiano na wafanyabisashara si hoja, issue ni wafanyabiashara wa namna gani. Hii ni critical moment tunapigania uhai na uhuru wa Lisu, lipandikizi linaleta mvurugano. Fukuza hili CCM au lifuasi la Mbowe. @)@$ heche hakuna makamu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO City Institute (Ilala Dar) wafanyakazi na walimu hatujalipwa stahiki zetu. Ukilalamika unafukuzwa kazi

    City institute ilala dsm wafanyakazi na walimu hatujalipwa stahiki zetu ukilalamika unafukuzwa kazi
  9. G

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi sehemu mbalimbali na connection ya kazi

    Habari, naomba nianze kwa kuomba radhi kwa usumbufu. Ningependa kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye uhusiano wa kikazi au mtandao unaoweza kunisaidia. Naomba msaada wenu, wakuu. Nina miaka 23, na nina elimu ya chuo kikuu
  10. JamiiForums Tanzania Kajala; Madaktari wameniambia nakaribia kupalalaizi mishipa haifanyi kazi

    "Kwa Sasa kuna muda naamka asubuhi nime vimba kichwa, mara naamka upande mmoja wa mwili wangu hauna nguvu, nimeenda hospital dakitari kaniambia nina dalili zote za Kupalalaiz Kuna mishipa haifanyi kazi, namuwaza sana mwanangu nitamuachaje. Lakini watu hawajali napitia nini wananihukumu tu Kila...
  11. JamiiForums Tanzania Kumtetea Dumbya ni kazi wazee

    Toka amekuja tuliamini ni international striker ambaye atatoa quality ambayo huwezi kuipata Kwa local players matokeo yake imekua ni tofauti Kapewa muda,katiwa moyo na mashabiki alipelekewa mpaka kuku + mabango ya kwamba tuko pamoja lakini wapi goli ambalo katengenezewa leo kakosa ambalo...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi hata kuuza duka nimesomea ufundi mitambo (mechanical engineering) mkoa wa dar es salaam

    Naomba kazi yoyote halali, nipo mkoa wa dar es salaam
  13. JamiiForums Tanzania Umechapwa na maisha si kwa sababu huna elimu, bro umekosa connection. Kazi zipo nyingi

    Kama huna connection lazima ubebeshwe vyombo na wale wahuni wanaoweka matangazo ya kazi kwenye nguzo za umeme. Hivi umewahi kujiuliza mwonja chakula cha Rais kasomea kozi gani na ana elimu gani? Kama huna connection subiri matangazo ya kazi ya SEKRETERIETI YA AJIRA, na hicho Kiingereza chako...
  14. JamiiForums Tanzania Je kwa hili imani inasemaje kabla haya ya Eda kuisha? Ni sahihi au kwa wakubwa hizi imani hazifanyi kazi?

    Kumbato kama hili tena na eda haijaisha hapa si ni kuharibu imani au kuingiza uzungu? Je ni halal?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Uchawà kazi kweli kweli.

    Hivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
  16. JamiiForums Tanzania Serikali inasubiri nini kumfukuza kazi daktari aliyempiga Trafiki?

    Nchi hii ina wasomi wengi sasa. Zamani ukiwa Daktari au Daktari bingwa unaweza kuchagua uajiriwe na taasisi gani na unaweza kuwaringia kuwa kazi utaanza muda unaoutaka wewe. Nakumbuka zamani ukiwa na degree ya afya ukiingia tu JWTZ moja kwa moja unaenda kwenye kozi ya uafisa Monduli na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi ya Kujitolea: Wahariri na Waandishi Wakuu wa Habari (Editorial Volunteers) - Global Primegates Limited

    .
  18. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua , ile miujiza ya mwamposa inafanyakaje kazi na anaitoa wapi?

    Karibuni
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari wakuu Mimi ni kijanaa mwenyewe umri wa miaka 28 mkazi wa chalinze . Nina uzoefu katika nyanja za Sales and marketing, Security, waiter na kuprint. Naombeni sana sana wakuu wajukwaa mnisaidie kazi , nipo willing kufanya kazi yeyote na mahali popote , pendekezo ni DSM na Arusha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napataje mafao yangu ya NSSF kama sina Certificate of Service na Kampuni niliyokuwa nafanyia kazi imefungwa?

    Habari wakuu, Naomba msaada na ushauri kutoka kwa mtu mwenye uzoefu na NSSF au aliyewahi kupitia hali kama yangu. Nilikuwa nimeajiriwa katika kampuni fulani na nilikuwa nachangiwa NSSF. Kwa sasa kampuni hiyo imefungwa, hivyo siwezi kupata Certificate of Service kutoka kwa mwajiri wangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…