kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Ni mwendelezo wa kula bata na kazi, Molde Norway hivi

    Nipo tu nakula bata zangu kila baada ya kazi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za Dini: Neno la bwana ni kitabu cha Hesabu kinachotoa project ya Kufanya KAZI pamoja katika kuondoa Siasa Ngumu

    Kitabu cha dini ya kikristo yaani Bible kinatumika Sana katika Siasa za kila MTU anaukuhimu na mawazo yako yatatawala MILELE.. kwakuwa Leo ni siku ya jumapili ni Bora tujibonyeze kwenye kitabu cha Hesabu tukamsome Simon na population yake ambapo aliamua kuwapeleka vijana wake vitani ili kuondoa...
  3. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Rais Magufuli amemsimamisha kazi kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga

    Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Richard Abwao na mkuu wa upelelezi mkoani humo, John Rwamulema kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Novemba 23, 2019 na msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime inaeleza kuwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Rais Magufuli amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO, pia aagiza meneja wa TRA kusimamishwa kazi

    Rais Magufuli amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Kamanda wa Polisi wa mkoa na Afisa upelelezi wa mkoa wa Shinyanga kutokana na tuhuma za kuhujumu uchumi. Kadhalika Rais Magufuli amemuagiza Kamishna mkuu wa TRA kumsimamisha kazi Meneja wa TRA mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu uchumi...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Yule Mkurugenzi wa Dodoma ayejaribu kuonyesha anajua kuliko Rais afutwe kazi. Katika utumishi wa umma, hiyo ni insubordination

    Huyu ndugu ameonyesha utovu wa nidhamu. Katika utumishi wa umma hiyo tunaita insubordination, kufanya mambo yanayomdhalilisha kiongozi wako. Mkurugenzi, baada ya kuona Mh. Rais anaelekea kusimamia msimamo fulani, sisi katika utumishi wa umma lazima ubalansi msimamo wako ili kiongozi wako...
  6. JamiiForums Tanzania Meli yapewa jina la hapa kazi tu Waziri afafanua

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack kamwelwe ametembelea meli mpya inayojengwa jijini mwanza yenye uwezo wa kubeba tani 400 na abiria 1200 na kuipa jina la "MV MWANZA HAPA KAZI TU"
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume tuliooa tuepuke sana kazi za kusafiri safiri muda mrefu

    Kazi za kuajiriwa au binafsi zinazohusisha kusafiri mbali na makazi ni nzuri maana zina posho na incentives nyingine kulingana na nature ya kazi au ofisi. Lakini katika vitu vinavyochangia ongezeko la uvunjifu wa ndoa au maambukizi ya UKIMWI ni pamoja na shughuli zinazohusisha kusafiri nje ya...
  8. JamiiForums Tanzania Nashida ya Kuzamia

    Habarini wana JF, mimi ni mhanga wa ajira kwa muda tuu ila nimetafakari na kuona halihalisi ya maisha yanavyozidi kuwa juu nimeona nitafute kazi nje ya nchi, nje ya Africa kazi yoyote ya halali hata kudeki vyoo, kwa anayejua au mwenye ndugu pls aniunganishe, asanteni mtakaoguswa. Maisha magumu...
  9. JamiiForums Tanzania Rukwa: Hakimu aviburuza Mahakamani Vyombo vya Mahakama vilivyomfuta kazi

    Aliyekuwa Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kalambo, mkoani Rukwa, Jonathan Ernest Mgongoro ameziburuza mahakamani, Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) na Kamati ya Maadili ya Maafisa wa Mahakama (JOEC), kwa kumfuta kazi. Mgongoro, alifutwa kazi na Tume ya Utumishi wa Mahakama, Julai 17...
  10. JamiiForums Tanzania Mwacheni Rais Magufuli afanye kazi tuliyompa, ila kwa hili hapana

    Mi mwanachi wa kawaida kabisa, sina cheo popote pale wala sina mlengo wa siasa za chama chochote hapa nchini. Pia nifanye personal declaration, I like Rais Magufuli, I admire his strictness for national issues and performancefor achievements. Nilimfahamu Rais Magufuli nikiwa form 2 in 1990...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Under Construction: Affordable Housing | Park Road | 2,000 Units - Tunachapa Kazi!

    Low-income houses set to be built on Nairobi’s Park Road SUNDAY, SEPTEMBER 16, 2018 22:00 Kenya and international mass housing developers have been invited to design, fund and build residential houses at Nairobi’s Park Road estate for sale to low-income earners. The estate is situated in the...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tukubali au tukatae Chadema ya Mbowe ni kiwanda cha kutengeneza wanasiasa makini kazi ambayo UVCCM wamefeli

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, hata kama Freeman Mbowe atastaafu uenyekiti wa Chadema mwezi Desemba mchango wake kwa taifa hili hautasahaulika kwa tunaojua siasa. Mchango wa Mbowe umejikita katika kuwapika na kuwaandaa vijana kuwa viongozi imara na wa kutegemewa na taifa. Kwa mfano...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi NIT, Tutor/ Instructor II in Manufacturing Engineering

    Employer: National Institute of Transport (NIT) Date Published: 18 November, 2019 DUTIES AND RESPONSIBILITIES: Teaches up to NTA level 6 (Ordinary Diploma) and may assist teaching in higher NTA Levels, Conduct tutorials for NTA 7, Assist to carryout Research and consultancy and works, Assists...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi NIT, Laboratory Technician II Inaviation Electronics

    Employer: National Institute of Transport (NIT) Date Published: 18 November, 2019 DUTIES AND RESPONSIBILITIES: Conduct Aircraft Technicians training; Plan, prepare, and evaluate lesson plans; Develop and reviews curricula; Conduct examinations and submits results; Conducts consultancy and...
  15. JamiiForums Tanzania RIPOTI: Watu wanaojihusisha na kazi za usafi vyooni wako hatarini zaidi kupoteza maisha kutokana na mazingira hatarishi

    SHIRIKA lisilo la kiserikali la Water Aid Tanzania limesema watu wanaojihusisha na kazi za usafi vyooni wako hatarini zaidi kupoteza maisha kutokana na mazingira hatarishi. Ripoti hiyo iliyotolewa jana na shirika hilo likishirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO), Shirika la Kazi Duniani...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Utata muda wa kazi: Bosi amenitaka nifanye kazi 12hrs kila siku kwa siku nne mfululizo ndio nipumzike siku tatu

    Wakuu kama mada inavyojieleza swala hilo lina uhalali gani kisheria na afya ya mfanya kazi inalindwaje kwa mazingra hayo. Tumekwama.
  17. JamiiForums Tanzania Finance Assistant at Jimz Technologies Co. Ltd

    Job Title: Finance Assistant Company overview: Jimz Technologies Co. Ltd is a Technology Company, delivering technology-driven solutions and hardware that meet the strategic objectives of our clients. We deliver unmatched business value to our customers through a combination of processes that...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

    Ni katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Karibu! Kardinali Pengo na Sheikh wa mkoa kwa niaba ya Mufti wanauombea mkutano huo. Sasa viongozi wa dini wanaangalia mkanda wa video unaomuonyesha RC Makonda akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo. ====== Mkuu wa Mkoa wa Dar...
  19. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Guardian wamlilia na kumkumbuka Kamishina wa Kazi wa zamani Gabriel Malata

    Huku bado wakiwa na majonzi ya kufiwa na mwajiri wao, Reginald Mengi aliyefariki dunia Dubai mwezi May mwaka huu, wafanyakazi wa The Guardian Limited wamesema uamuzi wa Rais John Magufuli kumteua Gabriel Malata kuwa Naibu Wakili Mkuu wa serikali mwa Septemba umewaathiri vibaya sana. Malata...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba Mamlaka ya Maji Safi na Taka Mbeya ifutwe, wanalipwa mishahara bila kazi

    Mamlaka ya maji Mbeya wafanyakazi wake hawastahili kulipwa mishahara kwa sababu hakuna wanachokifanya na hawapo pale kutoa huduma ya maji kwa wananchi. Wapo kama TRA tu yaani kukusanya pesa basi. Ni miezi 4 sasa eneo la Uyole 90% ya bomba hazitoi maji. Wakilalamikiwa hawatoi msaada wowote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…