kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi yoyote, Nimesomea Medical Attendant

    Habari wakuu, Natumai mu wazima, naombeni kwa mwenye kibarua au anayejua mahali kuna nafasi za kazi anisaidie. Nimesomea kozi ya medical attendant, nimewahi kufanya kazi kwenye dispensary baadhi za watu binafsi, kwa sasa hali ni ngumu kwani ajira hakuna na pia mitaji imekuwa ngumu kidogo...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Miundombinu kila mtu anaweza kujenga, ugumu wa kazi ya Urais uko hapa...

    Habari wakuu. Ugumu wa kazi ya Urais upo katika maeneo haya yafuatayo: 1. Kuwaunganisha watu, 2. Kuwafanya majority wawe na furaha na nchi yao 3. Kuboresha uchumi wa raia maana ndio tegemeo lao kuu walipo kuchagua. 4. Usalama wa raia, 5. Huduma bora za afya, maji, elimu, umeme 6. Uhuru kwa kila...
  3. JamiiForums Tanzania Majibu kuhusu utendaji kazi wa Halima Mdee

    Hivi karibuni kuliibuka kundi la ma-CCM yakihoji utendaji kazi wa Halima Mdee jimbo la Kawe. Leo wamepewa makaburi na bwana Gwajima. Jisomee mwenyewe hapa chini Gwajima akiuthibitishia umma kwamba Mdee kachapa kazi kwa kiwango cha juu kabisa. ASKOFU Josephat Gwajima, mgombea ubunge wa Kawe...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Kata kwa kata: Godbless Lema akiendelea na kampeni Arusha, hii ni kata ya Sakina

    Muda wa porojo umekwisha , sasa hivi tunaweka vielelezo tu ili kila mtu atoe maoni yake mwenyewe Sijui CCM inawezaje kushinda uchaguzi huu , tuombe Mungu tufike salama tarehe ya uchaguzi
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu niliijaribu kuomba kazi, na kufanya interview

    Kwa mara yakwanza siku ya ijumatatu niliomba kazi. Kuna rafiki yangu alinifowardia message WhatsApp, kuwa kunamahala wanatafuta Mechanical engineer, wakufanya kazi za maintenance katika machines kiwandani. Pamoja nakufanya installation za baadhi ya machines. Basi nikatuma cv, siku hiohio usiku...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Kwa Umma: Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru atakuwa na kikao kazi na Balozi wa China Nchini Saa 4:00 leo asubuhi

    Katibu Mkuu wa CCM atafanya Kikao Kazi Na Balozi wa China Mhesh Wang Ke kuanzia saa 4: 00 asubuhi ya leo Oktoba 10, 2020. Matangazo ya moja kwa moja kutokea Ukumbi wa Chuo Cha Uongozi Cha Mwalimu Nyerere Kibaha kupitia Televisheni za TBC na Channel 10 Tafadhali mkumbushe & Mtaarifu mwenzako
  7. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Si kazi ya askari kusema huyu atashinda ama hatashinda, hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa askari wetu tukibaini makosa

    Niwaombe sana wanasiasa pambaneni na mambo ya siasa msijaribu kuingiza vijana kwenye mambo ya uhalifu, uhalifu hauwezi kukufanya ukawa kiongozi sanasana mnawaharibia vijana maisha yao, maarifa yao, mwisho wa siku wanapata adhabu wanafungwa wanaacha familia zao" IGP Simon Sirro. "Tunachunguza...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

    Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa, mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na kampeni leo katika mkoa wa Dar es Salaam katika uwanja wa Benjamin Mkapa. HOTUBA YA DKT. MAGUFULI ....Gonjwa hili la Corona na kilio cha Wanakenya wakiongozwa na Rais Uhuru...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Msusi-Saloon

    Wanahitajika wadada wawili wenye ujuzi wa kusuka mitindo yote ukiwemo mtindo wa "YEBO" saloon ipo Mwanza -Nyamanoro, mshahara ni mzuri, unapewa, nauli, na pesa ya chakula tofauti na mshahara. Kwa wahitaji ni-PM. Karibuni Sana.
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi halmashauri ya Wilaya ya Makete

  11. JamiiForums Tanzania Communications, M&E and Admin Senior Intern at SNV

    Communications, M&E and Admin Senior Intern Arusha, Tanzania Intern Contract type: Internships Company Description SNV is a not-for-profit international development organisation. Founded in the Netherlands 50 years ago, we have built a long-term, local presence in 39 of the poorest countries...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA imeshashinda, ili watangazwe washindi kuna maeneo matatu muhimu lazima yafanyiwe kazi

    Kwa uzoefu na uelewa wangu hadi sasa Chadema wanafanya vizuri ukilinganisha na Chama cha Mapinduzi CCM, wanachotakiwa ni ku focus kwenye maeneo yafuatayo. Wawe na tallying center zaidi ya moja zingine ziwe za siri zingine za bosheni, kituo kimoja kikivamiwa iwe rahisi kuwa na back up ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi ya Udereva

    Naitwa RABSON JOHN Naishi DAR ER SALAAM MABIBO NINA MIAKA 27 Mimi ni kijana ambae nina fani ya Udereva. Pia nina uzoefu wa Sales & Marketing nimewahi fanya kazi na makampuni mengi hapa Dar er Salaam Nina leseni ya udereva yenye madaraja haya. A.A2.B.C1.C2.C3.D.E pia napenda kuwaomba kazi ya...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam, kazi Inaendelea kwa kasi kubwa

    Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu Huleta Matokeo Mazuri Kwetu Sote
  15. JamiiForums Tanzania Kazi gani ya kufanya ndani ya kazi nyingine

    Hallo wakuu, nna shost yangu wa ukweli kaniomba ushauri huu hapa chini, Yeye kazi yake anayofanya haimbani sanaa na anakaa ofisini kwa muda wa masaa Kumi hadi kumi na Moja kila siku. Sasa anatafuta shughuli ya kumwingizia kipato anayoweza kufanya akiwa hapo hapo ofisini kwake. Nikaona bora...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Madada wa kazi

    Nahitaji mdada wa kazi umri chini ya miaka 35. Kazi mkoani iringa, 0764125128
  17. JamiiForums Tanzania Ubungo Interchange ni ushahidi kwamba bado Serikali ya CCM haifanyi kazi kwa ufanisi

    Habari za wakati huu; Nimeandika uzi huu ili kumpa jibu la herufi kubwa kaka yangu mheshimiwa wakili msomi Paskali ambaye pia alikuwa Mtia nia Ubunge Jimbo la Kawe. Kwanza kabisa nimesikitishwa kwa msomi kama yeye kutuambia kwamba TUMPE KURA MAGUFULI KAMA SHUKRANI. Amenikera na kuniudhi sana...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump katoka hospitali baada ya matibabu ya Covid, awataka wamarekani kutoiogopa na isitawale maisha yao

    Rais wa Marekani ambae siku ya Alhamisi iliyopita aligundulika kuwa na virusi vya Corona na kukimbizwa hospitali ya hadhi ya nyota 5 ya Walter Reed Medical center mjini Maryland, ametangaza kuwa leo ataondoka hospitalini hapo baada ya kupona ama kupata nafuu. Trump amewasihi wananchi wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anaomba kuongeza mkataba wa kazi na Tundu Lissu anaomba kazi kwa upya, ipo tofauti hapo

    Kiukweli kuomba kuongeza mkataba wa kazi ni tofauti na kuomba kazi kwa mara ya kwanza. Rais Magufuli ana sifa nyingi za ziada katika kinyang'anyiro cha urais ukilinganisha na washindani wake akina Lissu nk. Dr Magufuli anazungumza habari ya "nimefanya" wakati Tundu Lissu anazungumza habari ya...
  20. JamiiForums Tanzania India: Maofisa wa Polisi wafukuzwa kazi baada ya kuharibu ushahidi wa tukio la binti kubakwa na kuuawa

    The victim, a 19-year-old Dalit woman, died earlier this week from injuries sustained during an alleged gang rape by four upper-caste men. Local police have been accused of mishandling the investigation. India's Central Bureau of Investigation has taken over the case of a 19-year-old Dalit woman...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…