kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

    Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara. Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa...
  2. Raniyah1994

    JamiiForums Tanzania Programu ya Chombo cha Samsung haifanyi kazi

    Je! Kuna mtu yeyote hapa ametumia zana ya Samsung (toleo la Windows) kufungua vifaa vyovyote vya Samsung? Hivi majuzi nilipakua programu hii kwa kompyuta yangu. Lakini siwezi kusakinisha hii kwenye kompyuta yangu kwa sababu inahitaji nywila. Hakuna faili ya maandishi iliyoambatanishwa na faili...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nani mkweli kati ya hawa watu? Spika, NEC au CHADEMA?

    Chadema wanasema hawakupeleka majina NEC,nani alipeleka? NEC wanasema Mnyika kama katibu mkuu aliwapelekea majina tena yaliyopewa baraka na kamati kuu ya Chadema. Hii ni kweli au sio kweli? Spika anadai hawezi kuvua ubunge wabunge ambao kwa mujibu wa katiba ya JMT sasa hivi hawana chama maana...
  4. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nani amewahi kupata kazi ya UNV?

    Wakuu nataka kupata uzoefu kuhusu kazi za United Nations Volunteers. Mimi nina uhakika nina sifa zote zinazohitajika kupata nafasi ya kufanya na UNV. Nimejiandikisha kwenye mtandao wao wa vmam.unv.org toka mwaka 2015 lakini sijawai kupata notification yoyote au kuitwa kwa ajili ya kufanya kazi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya Ualimu Arusha

    TROPICAL CENTRE INSTITUTE LIMITED, inawatangazia nafasi za Kazi, Walimu wenye Sifa katika masomo yafuatayo: - 1. Food and Beverage Service and Sales. 2. Food Production. 3. Front Office. 4. House Keeping. 5. English Language and Communication Skills. Sifa za mwombaji: - 1. Awe ni muhitimu wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumrejesha Mbowe Bungeni tutakuwa tumefunga rasmi siasa za Uchaguzi na kujielekeza kwenye kuchapa kazi

    Kwa sasa mijadala ya siasa za uchaguzi inaelekea ukiongoni na yule Robert Amsterdam anakwenda kuufyata mkia wake. Maalimu Seif na ACT-Wazalendo kwa ujumla wamekubali yaliyopita si ndwele tugange yajayo na sasa ni rasmi Zanzibar imetulia. Huku Tanganyika bungeni vyama vya upinzani wamejaa...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kwanza ya Wizara mpya ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iwe ni kuruhusu Watanzania kupokea malipo kupitia Paypal

    Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambayo ni mpya tunatarrajia ifanye mambo makubwa ya kuongeza ajira kwa vijana mitandaoni. Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi...
  8. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa jinsi system ya mita za umeme za wireless zinavyofanya kazi anijuze

    Kama kuna mtaalamu yeyote anaelewa jinsi system za mita za umeme zinavyofanya kazi anipe ujuzi.Mita hizo ni hizi za sasa hivi tunazozitumia majumbani kuingiza LUKU kama wenyewe mnavyoiita.Maana nilisikia zinakuwa controlled somewhere kwa kutumia Network.Pia nataka kujua asili ya hilo neno LUKU.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Lini Tovuti ya TIN ya TRA itafanya kazi?

    Kila nikijaribu kuingia kwenye tovuti ya TIN ya TRA napata error messages. Hii inakera sana tena sana! Cha ajabu, leo asubuhi kupitia Richard Kayombo, TRA wanajinadi kwenye EFM Radio eti kila kitu kuhusu TIN kimerahisishwa kupitia tovuti ya TRA? Lakini siyo kweli hata kidogo. Tovuti ya TIN...
  10. The Spirit of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Chuo cha Afya Tanga, fanyeni kazi kwa weledi

    Nina vijana wangu wamepata nafasi chuo cha afya tanga moja kwa moja kutoka kidato cha nne. Katika mambo yalilonishangaza ni kama ifuatavyo: 1. Suala la chakula mwanafunzi anatakiwa kujitegemea ila kwenye form ya kujiunga hawajaandika kabisa habari hii. 2. Chuo kutoza fedha ya kujiunga NACTE...
  11. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu barua ya kazi

    Hivi wadau kuna uhusiano wowote wa lugha kwa Tangazo la kazi lililoandikwa kwa kiswahili au kingereza na barua ya maombi ya kazi, inatakiwa iendane na lugha iliyotumika kwenye tangazo..?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Je, madiwani wa Chadema wanaapishwa na kuendelea na kazi kama alivyosema Halima Mdee?

    Miongoni mwa hoja za msingi za Halima James Mdee ni kwamba haoni mantinki ya wabunge wa viti maalumu kukatazwa kula kiapo cha kuwatumikia wananchi ilhali madiwani wa chama hicho hicho cha Chadema wanakula kiapo kuitumikia serikali hiyo hiyo ya Rais Magufuli. Ndiposa nauliza, madiwani wa Chadema...
  13. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za viwandani

    Habar za majukumu wadau kama nilivyo eleza apo juu mim ni mkazi wa dar kitunda natafuta za viwandani hata kibarua mim na fanya msaada wenu 0716527686
  14. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina degree ya procurement na uzoefu wa mwaka 1 kwenye banking and finance natafuta kazi

    Salamu nyingi kwenu wakuu, Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance. Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
  15. JOESKY

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni connection za kazi au kibarua ndugu zangu

    Habari za majukumu ndugu zangu wa jf? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 mzaliwa wa wilaya ya kyela. ninaishi (mbeya mjini) Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu ngazi ya shahada ya kwanza ya elimu (BAEd) kutoka chuo kikuu cha Tumaini Makumira Arusha mwaka 2016. Nimetafuta kazi kwa bidii sana...
  16. ryan riz

    JamiiForums Tanzania 2020-2025, Ni muda sasa wa Mamlaka Kuu kuziachia Mamlaka ndogo kupitia Maafisa wake kufanya kazi zao huru kuepusha Mikanganyiko isiyo ya lazima

    Ili hizo Mamlaka ndogo ziheshimike muda huu hata baada ya 2025, inabidi zianze kutekeleza majukumu yake kwa kufuata katiba ya nchi, sheria na kanuni na taratibu zilizojiwekea. Ni marufuku sasa kuendelea kuingiliwa na Wanasiasa au vyama vyovyote vya siasa. Kumbuka hizi mamlaka ndogo ni Watumishi...
  17. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Kazi yangu imenifanya niwe 'Domo Zege'

    Yaan kazi yangu imenifanya nipate pisi kali kibao. Sijawahi kutongoza dem ile kisiriazi. Sijawahi kukosa/kunyimwa namba ya simu na demu. Musiniulize kwanini Sasa hali hiyo imenifanya nimesahau kabisa kutongoza ile kawaida (yaani ile kutumiana vocha, picha, kusubiliana maeneo flan, kuambiana...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tulioshuhudia Walimu na Watumishi wa Serikali waliopangiwa vijijini wakaacha kazi au kuhama kwasababu ya ushirikina uliokothiri mwaga hapa ushuhuda

    Sina namna yoyote ya kukatisha watu tamaa lakini kiukweli kuna maeneo bila kuwa mtu wa dini au kuwa na kinga ni ngumu sana kuvumilia mikiki mikiki ya Sayansi ya Kitamaduni. Nakumbuka huku Mbeya wilaya ya Songwe kuna dada alipangiwa huko, sasa alivyokuwa anaadhibu wanafunzi kwa viboko kuna...
  19. LOTH HEMA

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ualimu na changamoto zake vijijini

    Kazi ni nzuri hasa kama uliisomea na kupata cheti. Unaomba ajira na unapata kisha unapangiwa shule iliyoko katika halmashauri ambayo hujawahi kufika. Unaenda kuishi maisha kulingana na eneo hilo. Jamii ya pale itategemea mapya kutoka kwako. Changamoto ziko nyingi ikiwepo kumezwa na mazingira...
  20. lup

    JamiiForums Tanzania Hakuna swali ambalo sipendi kama unafanya kazi gani, pale tu unapoanza kumfatilia Mwanamke

    Happy new December 2020 month, Niende kwenye mada moja kwa moja, unakuta mwanaume umekuatana na mwanamke mahali popote hata kama ni Jamii Forums, pale tu unapoanza kuwasiliana nae na kuonesha nia tayari tegemea swali taja hapo juu. Kuwa unafanaya kazi gani naikitokea ukataja wewe ni mzibua...
Back
Top Bottom