MAMBO YA JPM .... CHAGUA MAENDELEO, KAZI IENDELEE
Na Emmanuel J. Shilatu
Ni miaka 5 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeyaona haya yakitokea na kufanyika;-
1. Mapambano ya wazi wazi ya Serikali ya Rais...
Nashangaa sana,tena nashangaaa sana,kila shughuli ya serikali huyu mzee ndio anakuwa Mc,hivi mikoani hakuna watu wa kufanya hizi kazi mpaka awe anasafirishwa na serikali?
Au ameajiliwa na serikali kwa shughuli hii? Maana mimi binafsi naona ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa kuwakaribisha Lowassa na Sumaye.
Nape amesema Membe akikamilisha jukumu lililompeleka upinzani...
Nipo napatikana Mara - Musoma kwa Mawasiliano zaidi nicheck 0674615883 nyote mnakaribishwa
NOTE: Nikisema sina ujuzi wowote nifaamike hivyo mwenye kuniitaji ili niwe napata angalau ugali wangu wa kila siku anione, nipe kazi yoyote ila sio ya wizi,ujambazi wala utapeli, 🙏🙏
Habarini wakuu, natafuta kazi ya ualimu masomo ya physics na chemistry nimegraduate mwaka huu nipo mwanza, lakini naweza kufika sehemu yoyote Tanzania. Kwa atakenisaidia kupata sehemu ya kujishikiza siwezi kumuacha patupu.
Advance nilisoma PCB na nilipata division 2 point 12...
GPA ya Chuo...
Tunavyofahamu katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977. inaeleza wazi majukumu ya kila mhimili wa Dola, ikiwa Bunge ndilo lililopewa jukumu la kupanga bajeti na kupanga miradi hiyo ipelekwe wapi.
Lakini nashangazwa mno na namna Katiba ya nchi inavyosiginwa siginwa, kwa Rais...
Kampeni za Lisu zimekushtua na zimeishutua CCM kuwa wananchi wengi hawakuridhika na namna ulivyoongoza katika kipindi hiki cha awamu ya kwanza. Tumekaa na kufikiria tumeona tukupe kura as the last warning kwa CCM. Kama haya hayatafanyiwa kazi basi 2025 CCM isihangaike hata kuweka mgombea.
1...
Maana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary.
Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige tu.
Hivi walimu mbona serikali ya CCM inawachezea Sana? Kila baada ya miaka kumi mnadhalipishwa kwa kunaswa makofi.
Mishahara hamuongezewi, mikutano ya CCM mnalazimishwa kuhudhuria, makofi mnapigwa kwa kisingizio cha 'hapa kazi tu.'
Kwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi nyote kwa pamoja semeni NO to CCM
"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika.
ITV Tanzania
Hata kama hawa...
Tumerudi tena African Court @court_afchpr tunadai kwanini Serikali haitekelezi uamuzi wa mgombea binafsi?, Mtikila amepambana mwisho wa siku ameondoka, tunaendelea alipoishia Mtikila. Serikali yatakiwa kujibu kabla ya tarehe 22/10/2020, tutazuia uchaguzi.
Salaam Wakuu,
Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar.
Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza kile atakachoongea niwajuze.
Taarifa zote zitapatikana kwenye hii thread.
Stay tuned.
=====...
JESHI KAZI YAKE NI KULINDA MIPAKA YA NCHI NA SIO KUBEBA KOROSHO, NICHAGUENI OKTOBA 28, NIBORESHE BEI YA KOROSHO"PROF. LIPUMBA"
MASASI-MTWARA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha...
Mwaka 1992 Tanzania ilitangaza kuwa ni nchi ya vyama vingi. 2020 bado kuna viongozi wanao simama majukwaani na kusema mkichagua upinzani hatuleti maendeleo.
Sifa kubwa ya kiongozi ni kuweza kuwaongoza wale anao wajibika nao kisheria katika mamlaka yake. Kiongozi anaefuata kanuni za haki bila...
Tatizo la Rushwa: Serikali ya Awamu ya 4 ndo iliona tatizo hilo ndo maana akiwa Mwenyekiti wa CCM akataka jambo hilo liingizwe kwenye Ilani ya CCM na kumkabidhi Magufuli, kwa hiyo kazi ya kupambana na Rushwa aliianza yeye
Elimu bure: Mwishoni Mwa Utawala Wake kulikuwa na Mjadala Mkali...
“Sichezeshi wachezaji 11 bora uwanjani nachezesha timu bora uwanjani. Sichezeshi jina wala staa, nachezesha timu ambayo italeta mafanikio na usishangae mchezaji mkubwa akawa anakaa benchi. Tunaangalia timu zaidi” Cedric Kaze'
HabariLeo na Mwanaspoti
Kama kuna Kosa ambalo huyu Kocha Mburundi...
Tukichukulia tukio moja tu la moto uliotikisa au unaotikisa hifadhi ya Mlima Kilimanjaro tunapata jibu moja kwa moja kuwa ni vyema Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likawa na magari na ndege za kisasa za kuzimia moto.
Tanzania tuna hifadhi nyingi, hivyo lolote linaweza kutokea kwenye hizi hifadhi...
Producer wa muziki s2kizzy ametoa taarifa kupitia ukulasa wake wa Instagram kuwa usiku wa kuamkia Leo amevamuwa na Hawa wanaoijiita ulinzi shirikishi na kufanyiwa fujo kwenye studio yake ikiwa pamoja na kuvunjiwa vifaa vyote vya studio..
Anaendelea .. tumevamiwa tumepigwa kuteswa Sana anadai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.