kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwaka mpya 2021, ni mwaka wa kuendelea kufanya kazi na kuwajibika kwa uweredi na utaalamu kwa kuzingatia taaluma

    Na: Mwesa, C.W DODOMA. 31.12.2020 Ndugu watanzania wenzangu na wanachama wenzangu wa chama pendwa cha watanzania wote na Afrika kwa jumla, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa hakika tunayo mambo mengi ambayo kimsingi tumeyapitia kama taifa kwa jumla na ki-nafsi kila mmoja kwa nafasi yake. Hata...
  2. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Kijana Mvietnam aliyeamua kuacha kazi iliyokuwa inamlipa milion 120 kwa siku baada ya kuchoshwa na umaarufu

    Kama kuna jambo linalolipa ukipatia ni game development. Basi mwaka 2012 kijana mmoja wa Vietnam aliyekuwa na umri wa miaka 25, akiwa kaanzisha kampuni yake ya kutengeneza magame ya simu ambayo mengi hayakuwa yamefanya vizuri maana yeye alikuwa anatengeneza games za 2D wakati dunia ilikuwa...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iwapangishe kwa bei nafuu wafanyakazi wanaofanya kazi katikati ya jiji majengo yao yaliobaki wazi

    Baada ya makao makuu kuhamia Dodoma mijengo mingi mitupu nashauri serikali ipangishe wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi wanaofanya Shuguli zao katikati ya jiji kwa bei nafuu. Pia wawafikirie Wahindi na Waarabu na familia zao ambao hupenda kuishi katikati ya jiji wawapangishe makazi kwa...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar kuwasimamisha kazi watakaotuhumiwa kwa rushwa ili kupisha uchunguzi

    Rais wa Zanzibar amesema Kuanzia sasa kiongozi atakayetuhumiwa kwa rushwa, atamsimamisha kazi kupisha uchunguzi na uchunguzi ukikamilika na kukutwa hana hatia, atarejeshwa kazini bila kupoteza stahiki zake "Suala la maadili na usimamiaji wa haki za binadamu limepewa kipaumbele na serikali...
  5. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi

    Kama wewe ni mfuasi wa muziki, basi utakubaliana na mimi kwamba hii kazi ni ya kiwango cha kimataifa (World Class). Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi, Ubunifu wa mavazi, mazingira, mavazi na wimbo wenyewe vimebebana sana. Hivi wasanii...
  6. Sirai

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya nursing nimefaulu mtihani wa leseni. Natafuta kazi ya kujiingizia kipato

    Naitwa Paul Sirai Peter ni kijana mbunifu na kwenye jitihada yangu nimalize nilikuwa napima watu pressure masokoni kwa Mia mbili kabla ya kutakiwa kupata kibali hivyo naomba msaada wa kibarua chochote kitachonipa angalau mkate wa Kila siku. 0689052541
  7. Mbaga Jr

    JamiiForums Tanzania Referrers wanaohitajika wakati wa maombi ya kazi hasa serikalini ni akina nani?

    Inasikitisha sana wakuu
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tunduru: Mama aua mtoto wake kwa sumu ya panya kwa masharti ya kupata kazi za ndani Arusha

    MKAZI wa Kijiji cha Mwenge, Kata ya Mtina wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma, Neema Athumani (24), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake kwa kumwekea sumu ya panya kwenye soda. Taarifa za tukio hilo zinadai kuwa mwanamke huyo alitekeleza mauaji hayo Desemba 24, mwaka huu, baada...
  9. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti wa kazi kwa ajili ya Mama Ntilie. Mshahara Tsh. 3,000/- kwa siku

    Hello Jf Binti wa kazi anatafutwa. Sifa 1. Ajue kupika chapati 2. Awe na Lugha nzuri kwa wateja na mchangamfu 3. Ajue hesabu 4. Awe anajua kuhudumia vizuri Kazi ni ya mama ntilie, kuuza supu na chapati Mshahara ni 3000 kwa siku, nyongeza utajadiliana na boss wako. Chakula utapata hapo hapo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi waandamizi jifunzeni kujitegemea, mnawatesa wasaidizi wenu kuwatumikisha kinyume na kazi zao

    Kiongozi mwandamizi hana gari binafsi yakutembelea amekalia kutumia gari ya umma kufanya shughuli za Kiserikali na shughuli za familia bila kujali masaa ya kazi kwa madreva na wasaidizi wengine. Ninaishi na mzee mmoja hapa anatumia gari ya Serikali kama yake binafsi, kila sehemu anapokwenda...
  11. Rosh Hashannah

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au connection ya Kazi

    Habarini wadau, poleni na majukumu ya kila siku ya kutafuta ridhiki. Mimi ni mwalimu niliyehitimu katika chuo kikuu cha St. John (Dodoma) katika shahada ya ualimu wa masomo ya Chemistry na Biology. Ninaishi Mtwara. Nina uwezo wa kufanya kazi katika mazingira tofauti, pia napenda kufanya...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini vigogo wengi wa serikalini wakifukuzwa kazi huwa masikini ghafla

    Najaribu kujiuliza. Viongozi wakubwa wanapostaafu, wanapofukuzwa Kazi, wanaposimamishwa Kazi ghafla wanakuwa masikini, ombaomba, na wagonjwa kwa asilimia Kubwa. Cha ajabu ukienda Nigeria wale Magavana huwa ni matajiri balaa. Mfano mmoja niliona kajenga kanisa la mamillioni peke yake. Tatizo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Molel, si kila ziara lazima usimamishe mfanyakazi kazi ndiyo uonekane umefanya kazi. Kuwa mbunifu

    Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Afya akiwa Longido, Kwanza haeleweki ameenda kukagua nini. Haeleweki anavyozungumzia mapungufu katika ujenzi wa kituo cha afya tatizo ni mganga mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Mkandarasi au ni kiumbe gani anapaswa kulaumiwa na kwa makosa gani. Pamoja ukweli kwamba hata...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo hao Wakurugenzi walikuwa wanasimamia uchaguzi, huo ushuru wangekusanya muda gani? Usiwafute kazi tafadhali!

    Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi. Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure. Kwa...
  15. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Kangi angalau alijaribu kuwadhibiti ST, huyu Simbachawene hamna kitu labda mengine!

    Kama wewe ni mtumiaji na msafiri utakubaliana na mimi kwamba wavunjaji wakubwa wa Sheria za barabarani ni Serikali, magari ya ST hayafwati Sheria zozote, hayasimami kwenye taa, yanatanua, huko kwenye kibao cha 50 km/saa wanakwenda wanavyotaka, angalau Waziri aliyepita alikuwa anadili nao lakini...
  16. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ni muhitimu katika fani ya Health SYSTEMS MANAGEMENT kwenye utumishi inahusishwa na ukatibu wa afya. Nahitaji kazi/ajira si internship popote Tanzania. Kwa sasa nipo kibaha.
  17. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tumepiga hatua katika kujenga mazingira bora ya uwekezaji nchini lakini bado tunayo kazi kubwa ya kufanya

    Mwaka wa 2020 unaelekea ukingoni na ni kawaida yetu binadamu kufanya tafakari ya nini tumefanya kwa mwaka tunaomalizia na kuweka malengo ya mwaka ujao wa 2021. Hatua kubwa katika uchumi wa Tanzania kwa mwaka huu wa 2020 ni ile ya kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati, ikiwa ni miaka...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi wa miradi ya maji waonywa kufanya kazi kwa mazoea

    Serikali imewataka wakandarasi wanaosimamia ujenzi wa miradi ya maji nchini kuacha siasa na kufanyakazi kwa mazoea. Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa maji, Mhandisi Marry Prisca Mahundi wakati akiongea na wananchi wa kata ya Sakura wilayani Pangani mkoani Tanga akiwa katika ziara yake ya...
  19. Ivan Breaker

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya part time, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza

    ...
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Q NET yarudi kivingine sasa, itakua BF Suma. Watanzania hakuna pesa rahisi jamani, fanyeni kazi!

    Kwa wale mlionibeza baada ya kushusha uzi wa Q NET hapa nafikiri mmeona mambo yaliyotokea. Hizi Ponzi Scheme zinakuja na ahadi nono za kitajiri na watoa masomo walishajua watanzania tukoje. Sasa sikieni kuna hawa wengine wanaitwa "BF SUMA" mzigo ni ule ule wamebadilisha bega tu. NARUDIA...
Back
Top Bottom