Niliajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni moja ya fedha . Hata hivyo nililipwa pesa ya mafunzo na nauli pekee nikitarajia kulipwa malipo ya kusafirisha mizigo na kujikimu lakini hawakufanya hivyo japo mkataba ulionesha naajiriwa kutoka Moshi kwenda Lindi, ingwa wakati wa kumaliza...
Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote.
Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
diramakini.co.tz
Goli la Yanga SC lamng'oa kocha Azam FC
Diramakini
3 minutes
Baada ya ushindi wa Novemba 25, 2020 ambao Yanga SC iliuchukua nyumbani kwa Azam FC katika uwanja wao wa Azam Complex uliopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, wachambuzi wa soka...
Nasukumwa kuuliza swali hili baada ya kuona hii video ya huyu jamaa anayesema ubongo wake uko tumboni na unafanya kazi kama kawaida.
Tumsikilize Kisha wataalam watupe elimu.
Naitwa Paul s peter nimesoma bsc.nursing midwife intern nimefanya muhimbili sijapata lesen bado.
Nina ujuzi wa computer kiasi
Nmefundisha tuition
Nimechoma chips
Nahitaji kazi yoyote naomba Wana jamii mnisaidie
Tel 0689052541
Mimi ni kijana wa Kiume na nimesoma kozi ya Bachelor of Technology in Laboratory Science kutoka DIT.
Ninaweza kufanya kazi kwenye kiwanda chochote kinachozalisha bidhaa au kusindika bidhaa kama mhakiki wa bidhaa hizo.
Lakini pia ninaweza kufanya kazi kwenye taasisi zozote za utafiti wa...
Habari ya leo wakuu. Natumai mko salama.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu ninaomba yoyote mwenyewe kuweza kunisaidia kupata ajira hata Internship kwa kuanzia anisaidie hali ni ngumu mtaani, kazi na apply kila mara lakini sipati, hata nikiitwa kwenye interviews huwa nasubiri simu...
Tanzania tumekuwa na tabia ya kuwakatalia Wakenya kwenye nafasi za juu vibali vya kazi huku tukiwapa wale wengine ambao sio Wakenya bila sababu ya Msingi.
Nimesikia Mkurugenzi wa Cocacola Kwanza kakataliwa kibali wakidai kuna Watanzania wenye uwezo lakini vilevile Mkurugenzi wa Voda naye wa...
Habari?
Nahitaji vijana wawili (wakike na kiume) kwa ajili ya kunifanyia kazi ya kutuma email kwa baadhi ya wateja wangu (email marketing) kulingana na orodha ntakayowapa.
- Kwa siku wanatakiwa kutuma email 100
- Kazi ni ya siku 30 na malipo yake ni TSH 200,000
- Watahitajika...
Anahitajika mfanyakazi awe mwanamke umri kati ya miaka 26 hadi 35 kwa ajili ya kazi ya computer application
Mwenye cheti cha certificate au Diploma ya Information Technology, computer science, computer application au course yoyote ya computer.
Mshahara Tsh 200,000 kwa mwezi
Awe anatokea...
Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali.
Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa isipokuwa kwa Baraza la mawaziri pekee.
Zaidi ya wanaCCM 10,000 waliomba nafasi za ubunge katika...
INTERNSHIP OPPORTUNITY
Position: Assistant Marketing Officer
ECOACT Tanzania, is a social enterprise based in Tegeta DSM, Our core business is transforming plastic garbage to manufacture plastic timbers used for building, construction as well as furniture making.
Requirements:
a) Diploma/...
Habari
Mimi mkazi wa Dar es Salam'Umri 25'Elimu Bachelor Degree.
Naamini kuna watu wakubwa humu CEOS/HRs/Manager au watu wenye Connection na hao watu tajwa/Kampuni na Ofisi mbalimbali.
Nahitaji Connection ya kupata kazi, elimu yangu Shahada ya elimu (Geography na History) pia nina ujuzi wa...
Dada halima najua uko poa kabisa
Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao
Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya Wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum
Napenda kukwambia kuwa hao...
Ili kushinda uchaguzi slogan huwa pia na mchango mkubwa
Slogan mfano us ACT wazaledo ya Kazi na Bata ilikuwa hata haileweki inalenga nani Mkulima,mfanyabiashara,machinga ,wavuvi,, wafugaji, au wafanyakazi? Ukiingalia ililenga wafanyakazi wa serikali tu ambao idadi yao ni laki nne tu sio jamii...
Habari wadau,
Kama kichwa kinavyojieleza; najua kuna wababe wapo maofisini hawajui interview ni nini. Hebu watupe siri walifanya fanyaje mpaka wakaaminika na boss wakapita bila kupigwa.
Amini usiamini hawa watu duniani wapo wengi sana.
😁😁😁😁😁
Heshima kwenu wanabodi.
Muda huu katika kuperuzi peruzi huku mtandaoni nimekutana na sponsored ads kwa kampuni inayoitwa Home contruction. Inasema ina miaka mitano hapa nchini. Ila binafsi ndio nimekutana nayo.
Imetoa nafasi za kazi kwa fani mbali mbali. Kwa nafsi yangu nikasema ngoja nikapply...
Kwanza niwapongeze kwa moyo wenu wa kujitoa katika kuwasaidia watu wasiojiweza (walemavu wa viungo) ambapo huwa mnawasukuma kwenye maeneo mbali mbali ili basi walau waweze kupata msaada wa chochote kitu ili maisha yaende, na hapa simsemi mtu vibaya, maana hujafa hujaumbika.
Ila mimi nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.