1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo
3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma...
Habari zenu Wakubwa;
Naamini hamjambo. Mimi pia.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 24.
Natafuta kazi ama shughuli yoyote halali inayoweza kuniingizia kiasi chochote cha pesa. Kwa wakati hui sina maamuzi ya kuchagua wala utashi wa kuweka masharti juu ya aina au kiwango cha ugumu wa kazi. Pia...
Serikali ya Tanzania inaendelea kuheshimu na kulinda tasnia ya habari na wanahabari kuweka misingi imara ya sheria inayofanya watendaji wake kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na mhimili mwingine wa Nchi.
Tasnia na wanatasnia wa Tanzania wapo huru na wanaendelea kulindwa na kuheshimiwa, ili...
Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM?
Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea wa CCM kukandamiza uhuru na haki ya wananchi kuwapigia kura viongozi wanaowapenda?
Je, kitendo cha...
Yani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee.
Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam Nujoma na Mandela road lipo kwa kazi gani? Umeenda kujenga juu halafu barabara ya chini umeua wakati...
Hello,
Anahitajika binti, mdada au mwanamke wa kufanya kazi kama mhudumu na msaidizi wa mama ntilie
Ajue kupika vyakula mbalimbali
Ajue kuhudumia wateja na awe na lugha nzuri kwa wateja.
Eneo la kazi ni Tabata reli Karibu na Chuo cha ualimu Saint mary.
karibu pm
Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama una eneo halina kazi naomba tukutane, ili tuone kama tunaweza kushirikiana tufuge nguruwe kama washirika mimi nina mtaji wewe eneo.
Eneo lisiwe nje sana ya mjini
Tafadhari tuwasiliane PM
Mrejesho: Nimeshapata eneo tayari ahsante JF
Nishakuwa na mke wa mtu alikuwa ni nesi katika hospital flani. Bwana bwana alikuwa anamuaga mumewe anaenda shift ya night kumbe anakuja kwangu anapika anapakua analiwa kesho yake asubuhi anarudi home kulala hiyo ni siku moja kabla hajaanza off au baada ya kuanza off.
Alinipenda sana yule dada...
Utumwa wa kweli ni kufanya usichokipenda katika maisha yako, utumwa ni kulazimishwa, kutokuridhika na kile unachofanya.
Babu zetu walikuwa watumwa kwa sababu walilazimishwa kulima na kufanya kazi zingine bila hiari zao na kufungua nafsi.
Lakini leo babu zetu wanalima pia ila hawalalamiki kuwa...
No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu
Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za upinzani katika kanda ya kaskazini na miji mikubwa ya Dar na Mbeya, huku akitegemea mikoa loyal kwa CCM...
Sasa viongozi wa CHADEMA majimboni wanashindana kutambiana rekodi. Kazi nzuri sana hii.
Tulianzia Morogoro, tukaja Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na sehemu ya Katavi ( Hapa tutarudi pamoja na Kyela, Tukuyu na Rungwe)
Kote tulilopita tumeshuhudia hamasa ya wanachama na viongozi wa majimbo...
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
ajira
asante
basi
body
ccm
chadema
chato
haki
haki za binadamu
hana
healthcare
hotuba
jpm
kagera
kampeni
kanda ya ziwa
kazi
kununua
kuomba
leader
lissu
lisu
maadili
mabeberu
madaraka
maendeleo
matokeo
mbunge
media
mji
morogoro
mpango
mwanza
nchi
ndege
nyumbani
party
picha
polisi
reggae
sayansi
serikali
sgr
sheria
siasa
siku
siri
song
tanga
tanganyika
tanzania
tarime
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ukweli
ulinzi
upinzani
urais
ushindi
video
vijana
vitu
wananchi
wasanii
watanzania
wote
Wakuu mambo vipi inakuwaje?
Mimi kwa kweli nimekuwa nikitamani kila siku kupata demu wa kizungu atoke nchi yeyote ile,juhudi zangu zinagonga mwamba kila siku.
Nafanya kazi ya kutengeneza vitu vya samani hotelini ambakko wazsungu wako kedekede naonana nao naongea nao kiingereza cha kupapasa,ila...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu vijana msijidanganye;
Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa.
Nimeamua kutoa ushauri huu kwa maana kwamba, juzi nilikuwa nimepanda daladala ya...
Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango.
Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka...
Habarini ndugu zangu,
Naombeni connection ya kazi kwenye mradi mpya wa bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanga-Tanzania, elimu yangu ni Degree ya Information Technology ila kazi zozote zile nitafanya hata kama ni nje ya fani yangu. Mwenye connection naombeni anisaidie ndugu zangu nipo...
Katika miaka 49 iliyopita tangu China irejeshewe kiti chake halali kwenye Umoja wa Mataifa mwaka1971, imekuwa ikitoa msaada na mchango mkubwa na kuwa mshiriki hai kwenye shughuli mbalimbali za Umoja wa Mataifa. China imedumisha madhumuni na kanuni za Mkataba wa Umoja wa Mataifa, na kudumisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.