kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfuko wa hifadhi ya jamii Zanzibar (ZSSF) hauwalipi watu watokao Tanzania Bara katika mafao yao pindi wamalizapo mikataba au wanapopoteza kazi

    Huu ni baahi ya ushahidi wa malalamiko ya watu kutoka katika page ya ZSSF zanzibar. Watu watokao Bara tunafanyiwa ubabaishaji sana kwenye mfuko huu, raia wa kigeni wakitaka mafao yao wanayapata yote. Kwanini mtu atokae Tanganyika asipewe?? Mtu atoke mbeya, Mwanza, Mara afuate mafao Zanzibar...
  2. JamiiForums Tanzania Mameneja na Waratibu wa Mradi wa TACTIC watakiwa kutumia magari 14 katika kazi iliyokusudiwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Mameneja na waratibu wa Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) kuhakikisha magari 14 aliyoyakabidhi yanakwenda kufanya kazi iliyokusudiwa ya usimamizi wa mradi huo ili wananchi wanufaike na...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi kibarua nipo Songea vijijini

    Mimi nikijana Nina umri wa miaka 28 natafuta kazi au kabarua nipo songea vijjini,Mimi sio mvivu nilikuwa na biashara nimekata mtaji, kukuaa Tu Ofsini sina pesa na Mali napoteza Muda
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya quality control(mkemia) au lab technician

    Habarini wakuu. Mimi ni quality control lab technician nina bsc chemistry pia Nina uzoefu wa mwaka na miezi minne katika steel industry. Natafuta kazi viwandani,migodini kote nafit. Ukinisaidia kuna pesa ya maji. Asanteni
  5. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi Coplo Vicent akiri Mahakamani, hakuandika kituo anachofanyia kazi, kwenye Maelezo yake ya Polisi

    Mhe. Lissu anaendelea na Cross examination. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba uwaeleze waheshimiwa Majaji kama niliyoyasoma yanalingana na maelezo yako ya police. Coplo Vicent: ndiyo yanalingana. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba nikupitishe kwenye Maeneo ambayo nataka nikuhoji. Mheshimiwa Lissu...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI afanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amefanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, kilicholenga kuweka mkakati wa utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba hususani ya utatuzi wa kero na changamoto za wananchi...
  7. JamiiForums Tanzania Nmeacha kazi bila kumshirikisha mwajiri, Je naweza Kupata NSSF yangu?

    Habari wakuu. Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi. Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao Je nnaweza nikapata nssf yangu...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada please, nimebahatika kupata huyu Jidada ila kitendea kazi

    Kuna dawa gani zitaongeza urefu na unene wa mashine? Jana nmebahatika kupata jidada lenye kinu kipana sana na mchi wangu umekuwa mwembamba na mfupi. Je kuna dawa za kuongeza size ambazi hazina madhara? Maana nmelijaribu aaaaargh wapi hatusikizani kabisa. Mimi sisikiii na lenyewe halisikiii...
  9. JamiiForums Tanzania Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi

    Habari ndugu.. Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,, Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute...
  10. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu anaefanya kazi bank kubwa Tanzania kaniibia siri

    Huyu ni jamaa yangu wa mda sana, anafanya kazi bank kubwa hapa nchini, pia ana washkaji zake kwenye bank zingine. Leo kanishaningaa sana nilipopigwa na butwaa baada ya kuona mtumishi wa serikali anapush Bentley kwenye shughuli zake za kikazi, akaniambia broo "kwasasa watumishi wa gavoo wana...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa viongozi pamoja na viongozi wa ngazi za chini mnafanya kazi gani kwenye maeneo yenu?

    Inakuwaje kero ndogo inayoweza kutatuliwa ndani ya wilaya au mkoa inasubiri hadi Waziri Mkuu au hata Rais afike ndipo ichukuliwe hatua? Ndani ya kila eneo kuna Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa Halmashauri pamoja na watendaji wengine wengi waliokabidhiwa mamlaka ya kusimamia...
  12. O

    JamiiForums Tanzania DP World imemfukuza kazi Sultan Ahmed bin Sulayem kutokana na madai ya mfanyabiashara huyo kuwa na uhusiano na Epstein

    DP World, kampuni ya kimataifa ya usafirishaji na usimamizi wa mizigo inayomilikiwa na Falme za Kiarabu (UAE), imemwondoa Sultan Ahmed bin Sulayem katika nafasi ya mwenyekiti na mtendaji mkuu kufuatia uchunguzi mkali kuhusu urafiki wake na marehemu Jeffrey Epstein. Kampuni hiyo Ijumaa ilimteua...
  13. JamiiForums Tanzania Unahitaji fundi ujenzi wa nyumba? Nipe kazi hiyo

    Basi WhatsApp/call number hii hapa 0652494919 simu ziite. Tunafeli wapi ndugu zanguni?
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi

    Naomba kushare nafasi ya kazi, kuna rafiki yangu anahitaji mtu wa kumsaidia kuuza duka la dawa morogoro mjini mwenye sifa. Mambo mengine wataongea nae waelewane.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Hii hapa kazi ya afande MWENYE akili

    Mlinzi mmoja wa usalama jijini Houston amepata heshima kubwa mitandaoni baada ya video kuonyesha akipambana na wanaume wawili tofauti—mmoja baada ya mwingine—na kuondoka akiwa amesalimiana nao kwa mikono, badala ya kuwakamata au kuwafunga pingu. Tukio hilo lilitokea karibu na gari la chakula...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pombe haijawahi kujua kesho ni siku ya kazi, mtihani, kikao cha familia, safari, kwenda mahakamani, n.k. weka kisa chako pombe ilipokuharibia

    Pombe kweli haina kalenda 😂 Nilisema “nakunywa mbili tu, kesho ninaamka mapema.” Zile “mbili” zikawa 3, zikawa, 4, zikawa 6 asubuhi: Alarm inalia → nainyamazisha kwa hasira Kichwa kinapiga ngoma ya mdundiko Mdomo una ladha kama niliweka betri 🌚 Nilifika kazini nikitembea kama Wi-Fi isiyo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Tunduru - Ruvuma tuna uhaba wa Watumishi wa Afya, tuliopo tunaelemewa na kazi

    Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma tunakabiliwa na uhaba mkubwaa wa Watumishi wa afya inayosababisha kufanya kazi kuliko inavyotakiwa, mfano tunakosa hata muda wa kuwa na jamii, hali hiyo inatufanya tuchukie kazi na lawama zote zinakuja kwa Watumishi wakati tunafanya kazi kwa mazingira magumu na...
  18. JamiiForums Tanzania Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza

    Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza. Tusiwe na tabia za kujipendekeza kwa wananchi suala hili halina kichwa wala miguu ni upumbavu.
  19. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  20. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…