Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview.
Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025 mpaka leo Machi 2026 hakuna shortlist wala kujua lini tutafanya, the same to Mamlaka ya Viwanja vya...
Anonymous
Thread
ajira
ajira portal
bila
bora
kazi
kupitia
majibu
mrefu
muda
muda mrefu
nafasi
nafasi za kazi
portal
Habari zenu ndugu zangu, Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S anisaidie ndugu zangu.
Nina miaka 29
Nina mafunzo ya JKT - Miaka miwili (volunteer).
Uwezo wa kutumia silaha.
Elimu - Shahada ya kwanza
Nazungumza Kingereza fasaha.
Uzoefu wa...
Kwenye soko la kutafuta ajira Vijana tunakumbana na mambo mengi sana, kuna wakati unatuma maombi ya kazi unaitwa kwenda kufanya Usaili ila unakutana na mazingira ambayo mwenyewe unajua kabisa hapa Hupai kazi au Nafasi ina wenyewe
Mfano, kuna Sehemu niliwahi kuitwa kwenye usaili, nafasi za kazi...
Angalizo: andiko hili linaweza kuwa na lugha ngumu na Kali. Hivyo kama wewe sio mpenzi, unahasira, au ukisikia lugha ngumu unakereka, unapoteza furaha, unahisi kudhalilika au kupoteza heshima yako. Ni vizuri kuishia hapahapa. Usiendelee kusoma. Kwa kuendelea kusoma ni kuonyesha kuwa unajiweza na...
Habar wanahitajika vijana 2 wa kufanya kazi katika company ya kukopesha hela wa kike 1 na wa kiume 1, umri wasizidi miaka 24
Kituo cha kazi ni Zanzibar (Pemba)
Mshahara ni 170k kwe mwez na posho ya 5k kila siku.
Sehem ya malazi kw watumishi ipo.
Kwa mawasilano zaid njoo Dm
Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu.
Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo.
Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba amesema hayo leo Machi 11, 2026 wakati anahutubia katika mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa pili wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II)
Anahitajika Mwalimu wa Physics
Tunatafuta mwalimu wa Physics
Vigezo: Awe amemaliza chuo kikuu chochote nchini Tanzania. Kwa mawasiliano zaidi.+255763855365
Asanteni
Habari za wakati ewe Boss au dereva mwenzangu.
Naamini chuki husababishwa na hasira basi nakuomba hiyo chuki itoe kwangu unipe connection ya Kazi ya udereva.
Mimi ni professional Driver.
Nimesoma Basic Driving Veta Cheti ninacho
Nimesoma Professional Driver kwenye chuo cha National Institute...
Wizara ya Elimu iliweka miongozo na sheria ktk shule zote nchini, Km bango linavyo someka hapo.
Hii sheria niliyoweka vidoti, mbona sijawahi ona ikifanyiwa kazi, hata pale inapoonekana wazi na uthibitisho usio na shaka, hasa hiyo Ushoga na Usagaji.
Mara nyingi suala linamalizwa kimya kimya...
Wakuu kwema?
Weekend nilienda kumtembelea ndugu anaishi kigamboni mitaa ya uwanja wa machava, amerent kwenye ghorofa ambayo ina wapangaji wengi
Room yake iko ghorofa ya chini ila juu kuna ghorofa zingine tatu
Kwa hali ya ujenzi na vifaa hafifu vinavyotumika Pale aisee ile nyumba inaweza...
Nikiacha kazi mwaka 2015 kutokana na sababu za kiafya na nikapokea mpaka mafao yangu ya PSPF.
Lakini sasa nimekuwa fit na naweza kufanya kazi kama kawaida.
Nilijaribu kuandika barua utumishi kuomba kurudi maana nilikuwa nikiomba kazi naambiwa nina check namba hivyo siwezi ajiriwa na mimi...
Religion fanatics piteni mbali
Hakika natangulia kusema ni kazi tukufu kweli kweli inayofanywa na haya mataifa mawili.
Dunia ya sasa na ijayo ni dunia ya amani,uhuru na haki ile dunia ya zama za kale za ujima na ujinga kisa imani kali za kidini,kuua na kuangamiza wasio fuata imani hizo.
Kwa...
Mkono mtupu haulambwi wakuu
Sasa Nina zawadi ya laki Moja kwa mtu ambae ataniunganisha na KAZI yoyote ya laki tatu mpaka laki nne.
Location Dar es salaam
Kazi yoyote.
Elimu: shahada.
Ahsante
Binafsi ninaona RC Mtambi kuna mambo hajui kuhusu utalii na jinsi gani hii sekta ina umuhimu kwa taifa hili. Hizi amri zake zinagusa mambo mengi sana kitaifa na kimataifa. Sio kauli za kidiplomasia.
Marekani walipoenda Iraq kwa Saddam Hussein hawakuweza kufikia hata kwa theluthi walichokiweza Iran, yani Iran wameigeuza kama sebule yao, wanajipigia tu.
Osama alikuwa mwiba sana, hadi Marekani wanamkamata ilikuwa shughuli nzito.
Iran alitegemea zaidi kufanya mashambulizi kwa Proxies kama...
Nina miaka 25
Elimu ni shahada ya maendeleo ya jamiii.
Mahali ni Dar es salaam
Naombeni KAZI yoyote ndugu zangu.
Ya kutumia nguvu akili nk
Ila isiwe kazi haramu hata kama ni haramu niambie niangalie risk zake kwanza.
Ahsante sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.