kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ma-HR katika Mradi wa SGR Mwanza – Isaka wachunguzwe. Wanajineemesha kwa kufukuza watu kazi

    Wakandarasi wanaofanya kazi SGR tuna kero moja kwanza mshahara wa Serikali ilipopandisha mwanzo kabla hawajapandisha ilikuwa kwa siku ni shilingi 17,200 kwa madereva na ma operator, ila kwa malabour ilikuwa 16,200 baada ya serikali kupandisha wameweka level sio dereva, sio operator wote ni...
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Je, AI Itachukua Kazi Yako? Ukweli Kuhusu Akili Bandia na Ajira Tanzania

    Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI) imeanza kubadilisha namna dunia inavyofanya kazi. Kutoka kwenye biashara, benki, kilimo, hadi elimu, mashine na mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kujifunza sasa zinaweza kufanya baadhi ya kazi ambazo zamani zilifanywa na binadamu. Hali hii imezua swali...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi Marekani lazima uwe na kazi nzuri, vinginevyo kulipa kodi ya pango ni kazi sana

    Bei ya kupangisha nyumba iko juu kama dola 1200 .Ukiwa huko bila kazi ya maana mtaishi watu wawili au watatu ili mlipe kodi.Waafrika wengi wanalala nje.ukitaka kwenda huko hakikisha uko na kazi nzuri
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa vijana wa kuomba kazi TAKUKURU

    Wakuu nafasi zimetoka 500 kwa bachelor na diploma naomba Uzi huu uwe maalumu kupeana abc za taratibu za kuomba ajira nk
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi TAKUKURU

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kuajiriwa nafasi za kazi katika ofisi za TAKUKURU Wilaya kama inavyoonekana hapo chini: 1.0 AFISA UCHUNGUZI (NAFASI 250) 1.1 Sifa za Mwombaji: 1.2 Sifa za Kitaaluma: Muombaji awe...
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Mna uhakika Rais Samia amesomea uchumi kweli?

    Huyu mama hata hesabu za darasa la pili zinamshinda Hivi kweli nusu ya laki moja ni 556? Hebu msikilizeni wenyewe Na bado anaendelea kukopa na hajui hata kuchagua maneno ya busara ya kujustify upuuzi wake Juzi tu katuambia Marekani mafuta lita moja ni dola 8000 sawa na Tsh milioni 20 😂😂...
  7. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina BSc Chemistry

    Habari Wana jf. Mimi ni mwajiriwa kutokana na maslahi madogo natafuta kazi field ya chemistry. Nina uzoefu kwenye steel industry mwaka mmoja na nusu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi yoyote ya Kariakoo kama ya kuuza duka

    Habarini nilikua naombeni kazi yoyote ya kariakoo kama ya kuuza duka, kupeleka mizigo ,kutumwa hapa na pale ili nipate chochote kama utawezq kuniunganisha pia nitashukuru sana
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inakuaje vijana Wamarekani hawana hamasa na kazi za jeshi Marekani?

    Jinsi ambavyo huwa naona hapa bongo watu wanavyogombania kazi za jeshini hadi wengine wanahonga, wanaenda kwa vimemo na wengine kutapeliwa huwa nashangaa sana jinsi jeshi la Marekani linvyoshindwa kufikia malengo yake ya kuajiri wanajeshi wapya hadi inabidi kubembeleza watu au kushusha vigezo...
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Hivi hili tatizo la Twitter (X) kutokufanya kazi ni kwangu tu au na kwenu lipo?

  11. Bambalaga01

    JamiiForums Tanzania Tuliopata kazi na kupangiwa Halmashauri njooni tushauriane

    Habari wakuu! Naomba kujua changamoto ya kufanya kazi halmashauri ambazo ziko chini ya TAMISEMI na kushauriana namna ya kuukwepa umasikini kwa kupeana michongo ya fursa mbalimbali. Ahsante.
  12. Damdeok

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Kazi

    Ndugu wana JF na yeyote atakaeona uzi huu, Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuleta kwenu ombi kwa anaefahamu au mwenye connection au umesikia sehemu kuna nafasi za kazi naomba nina vijana wangu wawili wamemaliza masomo yao (Bachelor degree) Mmoja ya Project Management na mwingine ya Urban...
  13. Funny boe

    JamiiForums Tanzania JF tuanzishe mpango wa kuwapa au kuwatafutia kazi za kufanya. Sasa inakuaje mtu yupo online JF masaa yote 24/7. Kazi anafanya saa ngapi?

    Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, sina mudi ya kuandika sana Kuna watu humu muda wote wapo online tu wanacomment sasa muda wa kufanya kazi wao wanautoa wapi jamani Kuna mengi sana yananishangaza mno na bado yanakuja chafya ngumu min -me
  14. G

    JamiiForums Tanzania Binafsi niwapongeze Pro Iran wanafanya kazi ngumu sana kutetea Iran ambayo hata intelligence inashindwa kulinda mkuu wa Intelligence

    Kiukweli Iran imewangusha sana wafuasi wake kote duniani Kwa aibu kubwa aliyoipata ya kushindwa kulinda viongozi wao Wanazidiwa hadi na mchwa wanaolinda Malkia wao Kwa gharama kubwa Pili intelligence Yao imeonyesha udhaifu mkubwa Hongereni sana team Iran mmeamua kufa na tai shingoni msife...
  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI John Heche nikiteuliwa kuwa CAG nitashauri sekta zenye hasara kufanya kazi bila usimamizi

    Kumekuwepo na machapisho kadhaa yanayosambazwa kwenye kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii hususani facebook kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, alipozungumza na vyombo vya habari. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa amesema:
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimefanya kazi Kampuni ya Wachina kwa miaka 10 bila mkataba, wameniondoa kazini bila kosa lolote, nafanyaje kupata stahiki zangu?

    Mimi nilikuwa Mfanyakazi kwenye kampuni ya Wachina inayojihusisha na michezo ya kubahatisha inaitwa BONANZA, ni kampuni maarufu sana na huenda ikawa ya kwanza kuingia nchini, nimefanya kazi takribani miaka 10 na bila mkataba wowote. Niliahidiwa kusainishwa mkataba kila siku zinapoenda mwisho wa...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa sasa Bongo ukiwa huna kazi na biashara imefeli utashambuliwa kwa uvivu na maneno makali na nchi nzima

    Mazungumzo ya wachungaji, mashehe, wanasiasa ni kana kwamba mwanaume kukoswa pesa ni jambo la kujitakia na uzembe. Mtu wa namna hii hupuuzwa na kushambuliwa kama ni mvivu hata kama ni kipindi cha mpito anapitia. Hii tabia inawaweka wanaume wenye changamoto za kiuchumi katika hali ngumu sana...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Mayahudi wanamuambia Amerika kaa kando...hii kazi tuachie sisi. Kinawaka kwa Magaidi wa IRGC

    Hii haina kuomba poo. https://www.instagram.com/p/DWuEMZgkncp/?igsh=b3RiYzgyYmpuaTl0
  19. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watanzania wengi wanapenda kuombea ama kusali kwa kitu wanachoweza kukifanyia kazi?

    Hapa namaanisha kwamba. Unakuta mtu anamikono na miguu na ana afya njema kabisa, lakini mtu huyo anatoka kwenda kusugua makoti kwenye nyumba ya ibada ili tu amuombe Mungu amshushie rizki, sasa.... unawezaje kupata rizki kama haufanyi kazi? Huu ni mfano wa kwanza, lakini kuna midano miiingi...
  20. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !

    Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !
Back
Top Bottom