kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. I

    JamiiForums Tanzania Mayahudi wanamuambia Amerika kaa kando...hii kazi tuachie sisi. Kinawaka kwa Magaidi wa IRGC

    Hii haina kuomba poo. https://www.instagram.com/p/DWuEMZgkncp/?igsh=b3RiYzgyYmpuaTl0
  2. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watanzania wengi wanapenda kuombea ama kusali kwa kitu wanachoweza kukifanyia kazi?

    Hapa namaanisha kwamba. Unakuta mtu anamikono na miguu na ana afya njema kabisa, lakini mtu huyo anatoka kwenda kusugua makoti kwenye nyumba ya ibada ili tu amuombe Mungu amshushie rizki, sasa.... unawezaje kupata rizki kama haufanyi kazi? Huu ni mfano wa kwanza, lakini kuna midano miiingi...
  3. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !

    Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya Udereva Grade II 340 - Mwisho tar 4 April, 2026!

    Natumaini kila mwenye sifa au ndugu mwenye sifa amfikishie taarifa. Nafasi 340+ ni nyingi sana. Probability ya kupata ni kubwa. Ajira Portal afanye Application
  5. R

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Trump amfuta kazi Mwanasheria Mkuu Pam Bondi kwa kutoridhishwa na utendaji wake wa kazi na alivyoshughulikia faili za Epstein

    Kupitia Mtanadao wake wa Truth Social Rais Donald Trump alitangaza kumuondoa Mwanasheria Mkuu Pam Bondi kwenye nafasi hiyo akisema atamuamisha kwenye nafasi nyingine ya sekta binafsi, akimsifia kama rafiki mzuri na Mzalendo Trump alieleza kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu, Todd Blanche, ambaye...
  6. BB_DANGOTE

    JamiiForums Tanzania IT and communication officer, ni muhimili Mkuu wa Taasisi yoyote hasa katika Wakati huu wa kidigitali

    Habari ya wakati huu, IT and Communication Officer ni Mtu wa muhimu sana kwenye Taasisi yoyote hasa katika ulimwengu wa Sasa wa teknoligia IT and communication Officer anafanya Kazi Kama Usimamizi wa mifumo ya komputa, Usimamizi wa mtandao(networking), Usalama wa Taarifa, IT support, Kuratibu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Zaidi ya mwezi mmoja sasa mfumo wa vibali vya kazi (OWAIS) haufanyi kazi. Nini shida?

    Watu wa nje wanaotaka kupata vibali vya kazi siku hizi wanapata changamoto kubwa. Zaidi ya mwezi mmoja sasa mfumo wa vibali vya kazi (OWAIS) haufanyi kazi. Hii ina maana kwamba maelfu ya watu wa nje wanasubiri mpaka watakapoweza tena kuanza au kuendelea na kazi kihalali. Hii ishu sio kero tu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NSSF kupitia App yako mbona haufanyi kazi??

    Ni muda mrefu sasa, hii app ya NSSF haifanyi kazi lakini hela inapoingia unaingia ujumbe ukitaka kuingia kwenye App hiyo ili kuona Balance. Swali langu? 1. Je hiyo App imefungwa? 2. Na kama imefungwa kuna taarifa waliyotoa?
  9. Etwege

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Kariakoo Haji Manara hiyo ndiyo kazi uliyotumwa?

    Kuna ufisadi wa kutisha kwenye ujenzi wa barabara za mitaa Kariakoo lakini diwani wa kata hiyo Haji Manara yuko bize kutetea matajiri na kuhamasisha wamachinga wafukuzwe kila kona! Wanachokifanya kwenye ujenzi wa barabara za mitaa ni kumwaga oili na cement kwenye barabara kila wanaposikia kuna...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Reuters na AFP wanafanyaje kazi mpaka kinakuwa chanzo cha kuaminika kwa breaking news?

    Mashirika ya habari makubwa yapo mengi ukitoa BBC na aljazeera Kuna hawa AP na Reuters ila inawezekanaje mpaka wakati mwingine hawa kina BBC na kina aljazeera wananukuu kutoka kwa kina Reuters zile habari za motomoto kabisa ambazo zimetokea hivi punde mfano habari za ndani ya ikulu ya Washington...
  11. laurentie

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya sales (Arusha)

    🚨 TANGAZO LA KAZI – SALES PERSON (2 POSTS) 🚨 Time Less International inatangaza nafasi za kazi za Sales Person kwa wahitaji wenye sifa zifuatazo: ✅ Awe na Degree au Diploma ✅ Awe smart na mwenye muonekano nadhifu ✅ Awe na uzoefu wa kazi za sales ✅ Awe tayari kuanza kazi tarehe 01/04 ✅ Msichana...
  12. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Mafuta yanaenda kupanda Hadi 3,500/= Kwa Lita. Kwa magari yenye CC kubwa, kazi itakuwepo

    Ndugu zangu wale wenye magari yanayobugia wese tutapaki Tu mwaka huu, Kwa vipato hivi vya kuungaunga kazi itakuwepo mwaka huu endapo vita ya Huko mashariki ya Kati kama itachukua mwaka mmoja. Jana nilikuwa na mkurugenzi mmoja wa kituo cha mafuta akaniambia nijipange na bei hii mpya ya Tsh 3,500...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Kama unataka kuwa tajiri usiombe kazi Serikalini

    Imeelezwa kuwa wakati Tanzania ikiwa na nguvu kazi kubwa ya watu milioni 33, sekta ya umma imeajiri chini ya watu milioni moja, jambo linalothibitisha kuwa serikali haiwezi kuwa injini kuu ya uzalishaji wa ajira. Hayo yamefafanuliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof...
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL wanatuma bills lakini mfuno wa kupokea kupokea malipo haufanyi kazi siku ya 3 leo

    Sisi kitu tunaweza ni kupambana na Upinzani tu na wapinzani. Tunakwama wapi ? TTCL wana juhudi kutuma Control number lakini Mfumo haufanyi kazi DAWASA wanafungua maji siku 1 wanatuma bills wanakata Maji TANESCO Mvua ikinyesha wanakata umeme kua inaharibu miundo mbinu maji yaki kauka...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wanaoponda watumishi wanaochukua mikopo wengi wao unakuta hawana hata hiyo kazi, mtu asiyeogopa mikopo ni risk taker kutoboa ni suala la muda tu

    Watu wanaoponda watumishi kuchukua hela benki na kwenda kujenga lipagara na kununua kigari chake cha kumzungusha wengi wao hawana hata hizo kazi na Hawajui kuwa mishahara ni midogo hata usipokatwa marejesho bado hela yake haitoshi tu. Unaweza ukaajiriwa na take home ya laki 6 wewe ukakopa let's...
  16. Young silver

    JamiiForums Tanzania Support, support support

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏...
  17. A M K TZ

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi inanifaa nje ya kazi

    Habari za mida wakuu.. Mimi ni mfanyakazi wa kampuni binafsi.. Napata mshahara wa wastani tu ila nilitamani niwe na biashara yangu ya pembeni ambayo itanisaidia kuongeza kipato. Ila changamoto ni muda, huwa naingia job asubuhi natoka saa 12 jioni na sina hata offdays .. Hivi ni biashara gani...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mwenzangu amepata kazi Tanzania

    Yupo na watoto watatu na mke anataka kuja Tanzania mshahara ni 400,000 Tsh anaeza ishi wapi Dar kwa mhindi
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Uendeshaji na Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA

    Salaam, Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA. 1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
Back
Top Bottom