kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. aise

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji kazi ya kuchimba msingi Unguja nicheki

    Kama uko Zanzibar unguja na unaweza kazi nicheki 0624254690 Kazi ni kesho kuchimba msingi! Malipo 30,000 Chakula utapewa 2,000 maana hakuna sehemu wanauza chakula mchana. Eneo ni karibu na Fuoni kituo Cha Polisi
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mtu wa kazi

    Anatafutwa binti wa kufanya kazi za ndani katika familia ya mtu mmoja, kijana wa kiume mtumishi anayejiheshimu, kijana ana umri wa miaka 27, hana familia. Anaishi Manzese kwenye chumba kimoja cha kupanga Binti anayehitajika anatakiwa kuwa na umri wa miaka 18 hadi 24, asiwe mcharuko, awe na...
  3. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa 3, Mke kakimbia ndoa yake kisa anataka kazi

    Baada ya MKE kurudi kwangu na kuconfess makosa yake yote na yale ambayo nilikuwa sijui...,,, Na akasema ametambua makosa yake yote ndo amekili ametaka MOYO wake uwe huru... Na amesema kilichomuharibu zaidi ni makundi aliyokuwa nayo ya wanawake kudanganyana...na kushawishiana... Soma MREJESHO...
  4. SuperHb

    JamiiForums Tanzania MREJESHO 2,, Mwanamke akimbia ndoa yake kisa kazi

    Habari ndugu ZANGU... Baada ya MKE kwenda kwa wazazi wangu na wake ,,,, Mimi nilikuwa naendelea na uchunguzi wangu...,,Kuna taarifa niliipata wakati anaondoka Nyumbani kwangu kuna JAMAA ambaye anaishi NYUMBA ya Jirani,, aliyekuwa akimtongoza ,,, kwahiyo mwanamke alimtafuta JAMAA huyo akiomba...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya kujitolea

    Habarini ndugu zangu, mm n kijana wa miaka 23 nakaa dar es salaam mabibo, nina leseni ya udereva class D natafuta sehemu ya kujitolea nipate uzoefu zaidi na conntions kama ikiwezekana,, may be una private car au vyovyote vile sihitaji malipo yoyote kwa sasa focus yangu n kupata sehemu ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka za juu zichunguze utendaji kazi wa DED wa Nzega Mjini. Ananyanyasa watumishi

    Mkurugenzi wa Nzega Mji aangaliwe, maana ananyanyasa watumishi na anatumia Madaraka yake vibaya dhidi ya watu wake wa chini. Kuna watumishi kadhaa ambao uwezo wao ni mkubwa wamelazimika kuondoka kwa kuomba uhamisho wakikwepa mazingira ambayo siyo rafiki.
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Askari wa Hifadhi ya Taifa, Nyerere tuna UGUMU WA MAISHA na tunadai posho

    Habari; Mimi ni askari wa hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ninayefanya kazi katika hifadhi ya Taifa Nyerere. Kwa kipindi kilefu askari wa hifadhi tumekuwa tukipitia ugumu wa maisha kutokana na kadhaa kama ifuatavyo I) kutokulipwa staiki zetu Kwa Wakati, lakin pia Malipo ya staiki mbali...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni program ipi ya Ai unaitumia kwa sasa na unaitumia kufanyia kazi gani ?

    Hivi ni program ipi ya Ai unaitumia kwa sasa na unaitumia kufanyia kazi gani ?
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Niliondolewa kazini CBWSO (Geita) lakini hawataki kunipa stahiki zangu

    Nilikuwa Mtumishi wa CBWSO Kata NKOME kwa sasa inaitwa BUGANDO, Wilaya ya Geita Mkoa wa Geita, niliondolewa kwa shinikizo la Meneja wa RUWASA (W) 28.08.2025. Licha ya changamoto zilizokuwepo ambazo nazo pia chanzo ni huyo kiongozi wangu, stahiki zangu kakwamisha hata baada ya Bodi kuridhia...
  10. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Mbinu 6 Sifuatazo Zitakukinga na Uzoroto Wa Ubongo katika Kizazi cha AI

    Habari wanaJF, Natumaini mko salama. Nina siku nyingi sijaja humu. Ila leo nimepata nafasi tena. Moto usizime. Mbele daima! Leo tutazungumza kuhusu jinsi ya kutumia AI bila AI kukutumia wewe. AI itawasababisha wengi kuwa na uozo wa akili. Tafiti zinasema kuwa GenZ wa sasa watakuwa the most...
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Unalipwaje dollar laki moja kwa kufanya kazi 4?

    Nilikuwa napita huko upwork nimeshangaa sana japo sijui hiyo kazi ina ukubwa gani lakini malipo ni yakushangaza ,, mtu kafanya kazi 5 au 10 lakini ukiangalia malipo yake ni balaa,, em tupeni mbinu
  12. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi

    MREJESHO Habari ndugu ZANGU...NADHANI...nilileta Uzi ulisema. MKE WANGU KAACHA NDOA YAKE KISA KAZI.. .. ... Leo nawaletea MREJESHO... Baada ya Mwanamke kuondoka kusikojulikana,,huko alipokuwa alikaa karibia week Moja..Bila Mme ,Wazazi,hata Ndugu kujua alipo... Baada ya kukaa kwa siku zote...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwenye duka la nguo

    Anahitaji mdada kwa ajili ya duka la nguo , lipo mwananyamala komakoma awe anayeishi jirani na maeneo hayo, mshahara 150,000, awe na uwezo wa kutumia social media kutangaza Mawailiano , Whatsapp 0754200363
  14. NGAYANIMO

    JamiiForums Tanzania Kazi yake mola - Madee

    KAZI YAKE MOLA - MADEE Madee Seneda amefunguka na kudai siri ya wimbo wa kazi yake mola kufanya vizuri mpaka sasa ni kutokana na kutuliza kichwa wakati anaandika mashairi yake tofauti na vijana wa sasa ambao wanaingia studio wakiwa hawajui wanataka kuimba nini. Madee amesema kuwa pamoja na...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Jasusi wenu Gwajima karudi kasi kwenye kazi yake ya utapeli

  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Ufunguo mwingine wa Mafaniko, Elimu haifanyi kazi tena

    Zamani wakati tunasoma tulikuwa na Kauli mbiu kuwa "Education is a Key To Success" au "Education is a key to life" Ikiwa na maana ya Elimu ni ufunguo wa Maisha au ufunguo wa mafaniko. Lakini cha kushangaza tena Elimu sio tena ufunguo wa mafaniko ya maisha au kitasa cha mafanikio...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mabasi ya Mikoani yameanza kutoza nauli zaidi ya kiwango kilichowekwa. Mamlaka husika fuatilieni

    Sasa kumekuwa na uhuni wa MABASI yote ya MIKOANI kutoza nauli kubwa bila nauli husika kwendana na viwango vya huduma. Basi linatangazwa kama VVIP ila nje ya Bus kuwa jipya na choo ndani hamna jipya zaidi. Viti vimebanana mno wala havipo comfortable. Juzi nimelipia ticket 2 kwaajili ya wazazi...
  18. monotheist

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya kazi ya security

    Natumai hamjambo, kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nina uzoefu wa kutosha na hii kazi nilishafanya serena hoteli, kiwandani na airport termonal 3 kupitia gardaworld kwa yeyote atakayeweza kunisaidia ani PM tafadhali
  19. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfuko wa hifadhi ya jamii Zanzibar (ZSSF) hauwalipi watu watokao Tanzania Bara katika mafao yao pindi wamalizapo mikataba au wanapopoteza kazi

    Huu ni baahi ya ushahidi wa malalamiko ya watu kutoka katika page ya ZSSF zanzibar. Watu watokao Bara tunafanyiwa ubabaishaji sana kwenye mfuko huu, raia wa kigeni wakitaka mafao yao wanayapata yote. Kwanini mtu atokae Tanganyika asipewe?? Mtu atoke mbeya, Mwanza, Mara afuate mafao Zanzibar...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mameneja na Waratibu wa Mradi wa TACTIC watakiwa kutumia magari 14 katika kazi iliyokusudiwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Mameneja na waratibu wa Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) kuhakikisha magari 14 aliyoyakabidhi yanakwenda kufanya kazi iliyokusudiwa ya usimamizi wa mradi huo ili wananchi wanufaike na...
Back
Top Bottom