kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Ethan3

    JamiiForums Tanzania Natafuta Bakery mzuri nifanye naye kazi.

    hello ladies and Gentlemen. nahitaji bakery mzuri wa kuniuzia mikate na andazi, nipo mikoa ya kusini, hivyo preferable awe maeneo ya mbagala ili kurahisisha usafirishaji. tuwasiliane inbox.
  2. olimpio

    JamiiForums Tanzania Ubora wa mawasiliano nchini umeshuka sana, TCRA fanyeni kazi yenu

    Nimepitia ripoti ya robo ya pili ya mwaka ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania nimeona TCRA wametujulisha kuhusu kushuka kwa ubora wa mawasiliano ya simu nchini lakini hawajasema wanafanya nini baada ya mawasiliano hayo ubora wake kushuka. Ripoti imekaa vizuri sana na hawajataka kuficha kitu...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Atangapiwa kazi nyingine Maana yake huwa ni nini?

    Ndugu zangu natumaini mko salama kabisa ,hongera na poleni kwa kazi zenu za Kila siku . Napenda wajuzi mnifahamishe inapotokea mtumishi aliyeteuliwa akatolewa na kuweka mwingine unakuta anaambiwa atapangiwa kazi nyingine Je hiyo kazi nyingine haiwezi kupangwa onsport baada ya mabadiliko...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Breaking news Kanisa la Wasabato Kenya lawatimua kazi Wachungaji 19 kwa madai ya kwenda kinyume na mafundisho ya kanisa ikiwamo Utatu Mtakatifu

    Ni habari nzito sana kutoka Kanisa la Wasabato Nakiru kenya. Wachungaji hao wanakataa baadhi ya mafundisho ya Kanisa hilo ikiwemo Utatu Mtakatifu Holy Trinity Doctrine yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho mtakatifu. Wengine wakidai kuwa Yesu Kristo ndiye Sabato Halisi The Seventh Day...
  5. Pakome

    JamiiForums Tanzania Vijana wasiokuwa na namna ya kuanza maisha wasijikite kwenye uhalifu kwasababu uhalifu unakatisha maisha, wajikite kwenye kazi zisizohitaji mitaji

    Vijana wasiokuwa na namna ya kuanza maisha wasijikite kwenye uhalifu kwasababu uhalifu unakatisha maisha, wajikite kwenye kazi zisizohitaji mitaji, kazi za kutoa huduma mfano usafi majumbani, usafi kwa vyombo vya usafiri, delivery etc Uhalifu sio njia sahihi ya kuendesha maisha kwasababu hasara...
  6. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping amewafukuza kazi general CDF wake wawili kwa kuwasingizia wanatumika na Pentagon

    Dikteta na fisadi papa kiongozi wa china xi jinping amewafuta kazi na kuwaweka kizuizini general wa jeshi wawili kuwashutumu wanatumika na Trump, Pentagon (USA) kuihujumu china Anawasingizia kuwa wanaripot Pentagon kuhusu uwezo wa ki nuclear wa China Huu uongo wa dikteta xi jinping unakuja...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Wizara ya Ujenzi: Wanaosafirisha mizigo mikubwa waache kutumia vishoka kuomba vibali, wanakwamisha kazi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji wa vibali vya usafirishaji wa mizigo maalumu (Special Load Permits) katika Mfumo wa ePermit , Wizara ya Ujenzi imetoa ufafanuzi kuhusu suala hilo. Hoja ya Mdau ~ Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji...
  8. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Je Hii Ndiyo Kazi Waliyopewa Wanachama wa Chaumma (G55) Baada ya Kuukosa Ubunge?

    Kabla ya Uchaguzi Mkuu wote ni mashuhuda wa mitifuano ya kisiasa iliyotokea kwenye Vyama vya Siasa hasa Vyama hivi Chadema CCM ACT Wazalendo Chaumma Uchaguzi umeisha na kila mmoja amevuna alichopanda ata ambaye hakupanda kitu yawezekana kipo alichokivuna Lengo la Uzi huu ni maajabu ya kundi...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi chini ya Tamisemi (Halmashauri), sema neno lolote kwenye uzi huu

    Weka neno, pita zako Twende kazi…
  10. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania RIDHWANI je ulimaanisha hakuna kuhama vituo kwa wanoanza kazi au wote hata wa zamani?

    NCHI MOJA MATAMKO KIBAOOO KILA WAZIRI AKIJA ANABADILI SERA je nyie hamuoni mnageuka MIUNGU WATU? Ridhwani tuambie je umemaanisha wanaonza kazi yaani First appointment ndio hawaruhusiwi kubadili vituo au kuhama au unamaanisha WOOTE hata wa zamani katika.maeneo yao? Nakukumbusha tu kupitia Bunge...
  11. Resident

    JamiiForums Tanzania KAZI KAZI!! YOUTUBE CHANNEL

    NATAFUTA TEAM (PART-TIME) – YOUTUBE CHANNEL Natafuta vijana wenye ujuzi wa: 🎨 Graphic Design 🎞️ Video Editing ✍️ Script Writing 🎙️ Narration Kwa ajili ya YouTube Channel Interested? Tuma: Jina + nafasi unayoomba + sample ya kazi Email: bashirumfaume@gmail.com
  12. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Kuna mdada nafanya naye kazi ofisi moja, nampenda lakini naogopa kumwambia — nifanye nini?

    Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya mazingira haya ya kazi, kuna mdada mmoja ambaye tumekuwa tukifanya kazi pamoja kwa muda sasa. Kwa mwanzo...
  13. Foffana

    JamiiForums Tanzania Matajiri mbona hamtangazi nafasi za kazi?

    Heshima yenu Wakuu Niruke moja kwa moja kwenye mada Humu kuna maCEO, MaHR, watu wana mabiashara yao makubwa wengine wana maconnection mbona hamtangazi hizo nafasi wadau tuingie mzigoni? Mnaenda kutafuta wafanyakazi kwenye platforms nyingine za ovyo mnaacha kuchukua vijana machachari wa JF...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani na mnajua kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center

    Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini. Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO). Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani, ikizingatiwa sehemu hiyo kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center kinachotoa Huduma za...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania BASATA: Mwisho wa Ma-DJ, na MC kufanya kazi bila kujisajili ni Januari 31, 2026

    TAARIFA KWA UMMA WAONGOZA SHEREHE, BURUDANI NA MATUKIO (MC), MANJU MUZIKI (DJ) NCHINI WATAKIWA KUJISAJILI NA KUWA NA KIBALI HAI CHA BASATA IFIKAPO TAREHE 31 JANUARI, 2026. 29 Disemba, 2025 Baraza la Sanaa la Taifa kupitia kanuni ya 18.- kifungu (1) (a) na (b) ni msajili mkuu na mtoa vibali...
  16. PAYE

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Serikali haitavumilia watendaji wasio wajibika wanaofanya kazi kwa mazoea au ujanjaujanja

  17. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Wanaume weupe hii ndio kazi yetu tu

    Hapo vip! Wanaume weupe tunaweka mbegu tu,alafu tunaendelea na kutafuta pesa na kubadisha dunia kuwa sehemu nzuri,ndio maana tumeleta technology,magari,umeme,computer,ndege n.k hapa hamna mwanaume mweusi anaweza kufanya haya, ndio maana hatupendi kugandana na wanawake kama hawa jamaa weusi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mna kazi sana mtafika mmechoka

    Hapo ni nyie ndo mnapajua yani ni heka heka kila siku 😂 hiyo yote kuwavuta kwenye chambo, Kuna mwingine ana mafuta ya nazi yani ni balaa😂 jua kwenu ni Kali sana
  19. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi 100k kwa mwezi. Kazi unafanyia popote

    Nafasi za kazi huria Kazi ni digital services Mshahara -100k kwa mwezi Uwe na simu Uwe mkoa wowote Mkataba upo Uwe una uzoefu wa kuongea na watu (Communication skills) Ushawishi muhimu Wanaotaka ni PM AU ANDIKA NO YAKO NITAKUPIGIA CONTACT: zelemelohiym@gmail.com
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nimetathimini Kazi Nzuri alizofanya Rais Hussein Mwinyi Ndani ya Zanzibar, kiukweli kabisa ashukuriwe

    Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko. Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya kuwa watu wemewekeza nguvu, akili, muda, pesa na uhuru wao pia. Ndani ya miaka mitano ya utawala wa...
Back
Top Bottom