kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waombaji "Ajira Portal" tunakaa muda mrefu bila majibu, bora wasitangaze nafasi za kazi kama hawajajipanga

    Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview. Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025 mpaka leo Machi 2026 hakuna shortlist wala kujua lini tutafanya, the same to Mamlaka ya Viwanja vya...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi ujenzi wakuu, anayeweza kazi vizuri

    Nina plot yangu nataka nitoe kitu kikali Sasa ninaomba humu kama Kuna fundi mzuri.
  3. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S

    Habari zenu ndugu zangu, Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S anisaidie ndugu zangu. Nina miaka 29 Nina mafunzo ya JKT - Miaka miwili (volunteer). Uwezo wa kutumia silaha. Elimu - Shahada ya kwanza Nazungumza Kingereza fasaha. Uzoefu wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikiona kwenye Usaili ukajua kabisa hapa kazi hakuna?

    Kwenye soko la kutafuta ajira Vijana tunakumbana na mambo mengi sana, kuna wakati unatuma maombi ya kazi unaitwa kwenda kufanya Usaili ila unakutana na mazingira ambayo mwenyewe unajua kabisa hapa Hupai kazi au Nafasi ina wenyewe Mfano, kuna Sehemu niliwahi kuitwa kwenye usaili, nafasi za kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Wamama funga kazi; mnajua kuwakomesha watoto wenu wakiume kwa mnavyodate na vijana wadogo wa rika la watoto wenu

    Angalizo: andiko hili linaweza kuwa na lugha ngumu na Kali. Hivyo kama wewe sio mpenzi, unahasira, au ukisikia lugha ngumu unakereka, unapoteza furaha, unahisi kudhalilika au kupoteza heshima yako. Ni vizuri kuishia hapahapa. Usiendelee kusoma. Kwa kuendelea kusoma ni kuonyesha kuwa unajiweza na...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwenye company ya microfinance

    Habar wanahitajika vijana 2 wa kufanya kazi katika company ya kukopesha hela wa kike 1 na wa kiume 1, umri wasizidi miaka 24 Kituo cha kazi ni Zanzibar (Pemba) Mshahara ni 170k kwe mwez na posho ya 5k kila siku. Sehem ya malazi kw watumishi ipo. Kwa mawasilano zaid njoo Dm
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba mtoto wa mkulima asiye na connection hawezi pata kazi kwenye taasisi nyeti/ zenye mishahara minono hapa Tanzania?

    Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu. Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo. Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
  8. JamiiForums Tanzania Samia tunakupenda, piga kazi

    Tunakuombea na tunakupenda Rais wetu. Piga kazi , tupo nyuma yako madame.
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kuna minong'ono watu wanasubiria mkeka, utakukumba kweli sababu utaacha kazi

    Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba amesema hayo leo Machi 11, 2026 wakati anahutubia katika mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa pili wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II)
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Mwalimu wa Physics

    Anahitajika Mwalimu wa Physics Tunatafuta mwalimu wa Physics Vigezo: Awe amemaliza chuo kikuu chochote nchini Tanzania. Kwa mawasiliano zaidi.+255763855365 Asanteni
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba connection ya Kazi ya udereva

    Habari za wakati ewe Boss au dereva mwenzangu. Naamini chuki husababishwa na hasira basi nakuomba hiyo chuki itoe kwangu unipe connection ya Kazi ya udereva. Mimi ni professional Driver. Nimesoma Basic Driving Veta Cheti ninacho Nimesoma Professional Driver kwenye chuo cha National Institute...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini hii Sheria ya shule huwa haifanyiwi kazi au haitimizwi?

    Wizara ya Elimu iliweka miongozo na sheria ktk shule zote nchini, Km bango linavyo someka hapo. Hii sheria niliyoweka vidoti, mbona sijawahi ona ikifanyiwa kazi, hata pale inapoonekana wazi na uthibitisho usio na shaka, hasa hiyo Ushoga na Usagaji. Mara nyingi suala linamalizwa kimya kimya...
  13. JamiiForums Tanzania Taasisi Ambazo zinasimamia Ujenzi wa Maghorofa Tanzania Fanyeni kazi

    Wakuu kwema? Weekend nilienda kumtembelea ndugu anaishi kigamboni mitaa ya uwanja wa machava, amerent kwenye ghorofa ambayo ina wapangaji wengi Room yake iko ghorofa ya chini ila juu kuna ghorofa zingine tatu Kwa hali ya ujenzi na vifaa hafifu vinavyotumika Pale aisee ile nyumba inaweza...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Naweza vipi kurudi kwenye utumishi wa umma iwapo niliacha mwenyewe kazi?

    Nikiacha kazi mwaka 2015 kutokana na sababu za kiafya na nikapokea mpaka mafao yangu ya PSPF. Lakini sasa nimekuwa fit na naweza kufanya kazi kama kawaida. Nilijaribu kuandika barua utumishi kuomba kurudi maana nilikuwa nikiomba kazi naambiwa nina check namba hivyo siwezi ajiriwa na mimi...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwa masharti haya ya kwenye kazi ya Mochwari ungeweza?

    iko kazi hapa lakini masharti
  16. JamiiForums Tanzania Kwa pamoja tuunge mkono kazi tukufu inayofanywa na USA / Israel

    Religion fanatics piteni mbali Hakika natangulia kusema ni kazi tukufu kweli kweli inayofanywa na haya mataifa mawili. Dunia ya sasa na ijayo ni dunia ya amani,uhuru na haki ile dunia ya zama za kale za ujima na ujinga kisa imani kali za kidini,kuua na kuangamiza wasio fuata imani hizo. Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Nina commission ya laki Moja kwa mtu atakae nipa KAZI ya laki tatu na nusu mpaka nne.

    Mkono mtupu haulambwi wakuu Sasa Nina zawadi ya laki Moja kwa mtu ambae ataniunganisha na KAZI yoyote ya laki tatu mpaka laki nne. Location Dar es salaam Kazi yoyote. Elimu: shahada. Ahsante
  18. JamiiForums Tanzania Ninadhani RC Mtambi anatakiwa ajifunze zaidi kuhusu sekta ya utalii inavyofanya kazi

    Binafsi ninaona RC Mtambi kuna mambo hajui kuhusu utalii na jinsi gani hii sekta ina umuhimu kwa taifa hili. Hizi amri zake zinagusa mambo mengi sana kitaifa na kimataifa. Sio kauli za kidiplomasia.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na wazee wa hizi kazi wawili tu. Saddam Hussein na Osama Bin Laden, Viongozi wa Iran wanachojua ni kupiga domo na kutegemea proxy wars,

    Marekani walipoenda Iraq kwa Saddam Hussein hawakuweza kufikia hata kwa theluthi walichokiweza Iran, yani Iran wameigeuza kama sebule yao, wanajipigia tu. Osama alikuwa mwiba sana, hadi Marekani wanamkamata ilikuwa shughuli nzito. Iran alitegemea zaidi kufanya mashambulizi kwa Proxies kama...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba KAZI yoyote

    Nina miaka 25 Elimu ni shahada ya maendeleo ya jamiii. Mahali ni Dar es salaam Naombeni KAZI yoyote ndugu zangu. Ya kutumia nguvu akili nk Ila isiwe kazi haramu hata kama ni haramu niambie niangalie risk zake kwanza. Ahsante sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…