kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wapo waliohitimu na ajira hawajapata, kazi nje ya utaalamu wao hawataki na hata kuiljiongeza hawapendi

    Hili ndilo kundi kubwa linaloibuka kwa kizazi hiki cha dot.com, kijana akishasoma na kuhitimu na bahati mbaya ajira ya fani yake ikachelewa kidogo huwa hajiongezi hata kidogo unfortunately linalofuata ni kukata tamaa na kuona serekali hii mbaya Sana labda lissu atakapokuwa rais nitapata ajira na...
  2. AY 5225

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Zanzibar, naombeni muongozo tafadhali

    Heshima yenu wakuu. Niko Zanzibar kwa siku kadhaa sasa na nimekuja kwaajili ya kutafuta ridhiki. Naomba tips/muongozo kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata kazi/kibarua na itapendeza zaidi malipo yakiwa ni kwa siku maana sina makazi. Lengo langu ni kuwa na kazi mbili; moja ya kuifanya asubuhi...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano asimamishwa kazi kwa Kujikopesha Tsh. Milioni 460

    Siku moja baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA) kutoa taarifa ya kumsimamisha Kazi Ezra Chiloba, imebainika sababu ni ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 11.2, ambazo ni Fedha za Akiba za Mradi wa Nyumba za Wafanyakazi. Ripoti ya Kamati Maalum ya Ukaguzi na Kamati ya Dharura...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nini kazi ya Jeshi la Ulinzi?

    Wakati wa Merchantalism, Nchi za ulaya zilitumia sana Jeshi kutoa ULINZI kwa wafanya biashara na misafara Yao iliyozinguka duniani kote kukusanya vitu vya thamani ambavyo vilikuwa muhimu kwa ustawi wa mataifa Yao. Kwenye Colonialism naona Hali ni sawa, wazungu kwalitumia Jeshi lao kupata...
  5. Babatunde_seneior

    JamiiForums Tanzania Fundi Magari, natafuta sehemu ya kufanyia kazi

    Habari wakuu,. Mimi ni fundi wa gari ndogo nipo Dar es Salaam natafuta sehemu ya kufanyia kazi. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mdau hapa nauliza:- Kama kigezo ni kujitolea kwanini kuwe na ubaguzi?? Yaani mtu anayejitolea taasisi A, Asiombe kazi taasisi B

    Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi. Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF. So...
  7. Mnyakyusa Ipinda

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    Wakuu habari, kama mmeona sikuwa active hapa online, hata kwenye simu kwa wale mliokuwa na my contacts since March. Nitaelezea one day ilikuaje but kwa wale mnaofatilia habari mtakuwa mliona this year March ilitokea ajali mbaya sana ya treni ya Tazara, mtu aliyegongwa it was me, na nilikuwa...
  8. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

    Je, ni sahihi kwa waziri kutukana hovyo hivi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi Hawataki Kutusikiliza, Wanataka Tuwasikilize tu na Kufanyia Kazi Maagizo yao!

    Ni matumaini yangu nyote mko salama. Nimeona nilisemee hili maana limeenda! Hivi kiongozi unatoa wapi ujasiri wa kukataa kuwasikiliza waliokuweka madarakani? Hivi unavaaga viatu vya wale unaokataa kuwasikiliza? Hebu fikiria umedhurumiwa na kiongozi fulani, unakwenda kushitaki kwa mamlaka ya juu...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kati ya Ford Ranger Double Cabin na Land Cruiser Double Cabin, lipi ni gari bora zaidi kwa kazi za "porini"?

    Ingawa yote ni magari ya kazi, nahisi kuna linalomudu zaidi mazingira ya "kipori pori" kuzidi "jenzake". Muda mrefu litakuwa likitumika Kanda ya Ziwa na mara chache Nyanda za Juu Kusini, hasa Rukwa na Katavi. SIFA ZA GARI LINALOHITAJIKA: 1. Double Cabin Pick Up 2. Limudu safari ndefu za mara...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Pwani: Mkazi wa Kibaha aomba kazi ya Kunyonga Watu

    Washiriki wa Mkutano wa haki jinai Kibaha, mkoani Pwani, wamejikuta wanabaki hoi baada ya mmoja wa wakazi mkoani humo, Ramadhani Mauridi, kueleza kuwa anatamani siku moja angeajiriwa na Serikali ili akafanye kazi ya kunyonga watu waliohukumiwa kutumikia adhabu hiyo. Amesema kuwa amefikia hatua...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya ajira Migodini

    Habari wapendwa, Naomba mwenye connection za migodini kama usafi, office attendant na nyingine kama hizo au mahali pengine popote kama kwenye miradi mbalimbali mimi nitafika. Mimi nina uzoefu na mambo ya hoteli ila nitafurahi kama nitapata kitu cha tofauti maana umri sasa. Asante sana
  13. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata kibali cha kufanya kazi kihalali South Africa

    Nawezaje kupata kiball cha kufanya kazi kihalali nchini South Africa? Nahitaji kuwa na sifa zipi au kuwa na nini? Wenye uzoefu naomba muongozo.
  14. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Mshahara: Askari Magereza anaeanza kazi na Cheti cha Kidato cha Nne

    Salaam Wakuu. Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa. Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi Angalizo; Mimi si Askari na sina...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2004 nilikatwa mapanga na vibaka mkoani Geita nikisotea kazi Mgodini mpaka leo sijatoboa nauza Kangala tu

    Baada ya kumaliza kidato sikupata chuo. Migodi mikubwa ndio ilikuwa imeanza kufunguliwa nchini. Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga. Nilivyooona Mambo...
  16. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga huwa wanafanya kazi gani wenzetu?

    Kila mechi wapo, si ya nyumbani wala ugenini. Kwasasa hata mechi za kimataifa nje na Tanzania wapo. Huwa wanafanya kazi zao muda gani? Na huwa wanafanya kazi gani? Au ndio wana vibanda vya urithi Makumbusho?
  17. I

    JamiiForums Tanzania WanaJF nipeni kazi au kibarua, maisha ya malezi yasije nishinda kuhudumia

    Habari za humu ndugu wana JF natumaini wazima wa afya na tunasonga mbele, kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Wadau nipeni kazi / kibarua nifanye nipate pesa za matumizi za kupata mahitaji ya mtoto mwaka kesho anaanza shule darasa la awali, chekechea, baadhi ya vifaa nimenunua kama kitambaa...
  18. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Workstation kama hii naweza kufanya kazi gani na nikaingiza kipato ndugu zangu?

    Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, naomba niende moja kwa mija kwenye mada, nataka kuandaa workstation kama hii nyumbani kwangu, na mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mitandao ila napenda sana kufanya kazi online, mpaka sasa nimesha nunua monitor mbili 27inch HP, nina computer (laptop...
  19. DaveSave

    JamiiForums Tanzania Nina Masters ya Financial Investment natafuta kazi

    Salaam wanajukwaa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32. Nilimaliza Bachelor Degree ya Banking and Finance (IFM) 2014. Nikasome Masters Degree of Finance and Investment (Coventry University- IAA). Nimefanya contractual jobs na Kampuni tofauti. Mwenye fursa akihitaji CV yangu nipo tayari...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa

    Mimi ni kijana mwenye miaka 25, nipo, Dar Es Salaam. Nisiwapotezee muda, naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa; Ninaweza fanya kazi yotote, haswa ambayo sio ya kutumia nguvu sana kulingana na afya yangu. Nina uwezo wa kuongea na watu vizuri (kiingereza na kiswahili). Nina elimu ya...
Back
Top Bottom