Wadau naomba kuuliza jambo hapa,ivi kazi ya sticker za usalama barabarani huwa ni nini?
Na ni utaratibu gani unatakiwa ufuatwe ili kuzipata hizi?
Maana sielewi na ninachokiona huku mtaani,kumekua na wimbi la vijana wanaosimama sehemu mbali mbali wakiwa wamevalia reflector jacket wengine za...
Mkurugenzi amsimamisha kazi Mwalimu aliyewatuma wanafunzi kupakia kuni zake wakapata ajali ya gari
Njombe
Mwalimu Furaha Msule anayefundisha shule ya Sekondari Kidegembye iliyopo Lupembe halmashauri ya wilaya ya Njombe amesimamishwa kazi kwa kosa la kuwachukua wanafunzi na kuwapeleka kupakia...
Habari za wakati huu wakuu..?
Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry)
Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu...
kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji...
Siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 Dr Wilbroad Slaa wakati huo akiwa GS wa CHADEMA na akiwa mchezaji tegemeo ktk safu ya ushambuliaji aliwatosa wenzake dakika chache kabla ya mchezo kuanza...
Kila mtu (nikiwemo mimi) alipigwa na butwaa na mioyo ya matumaini ya ushindi dhidi ya CCM...
Wakuu nina swali kidogo hapa.Inasemekana Mungu alifanya kazi Kwa siku 6 kisha ya 7 akapumzika.Sasa sisi waumini wa madhehebu mbalimbali tuliwezaje kuijua kama ni IJUMAA, JUMAMOSI au JUMAPILI?
Habari za saizi wakuu,
Naitwa Mary nina miaka 24 nina elimu ya chuo naombeni kazi yoyote halali. Nifanye nakaa Kigamboni hata kesho Niko tayari kuanza.
Simu: 0682787031
Diplomasia ya uchumi anaimudu na hii si mara ya kwanza. Kiwanda cha biological pesticide hicho hapo kinakuja Kibaha.
Msikilize hapa kwenye video clip hii
Shibe ni mwana malevya na njaa ni mwana malegeza.. 🤸🤸🤸
Chalamila amesema anaweza kupigana ngumu na yeyote, anaweza kutumia chuma chake ndani ya sekunde na hakuna wa kumfanya chochote.
Hii kauli hutolewa katika mizozo au matisho vikao vya kifamilia au kiukoo, Mkoa wa DSM wageuka ni ukoo wa...
Kwa majina naitwa Abdallah nna miaka 23 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi ya ualimu shule binafsi au hata Hotelini, Kiwandani nipo tayari nipo Dodoma mawasiliano 0657897884
"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani.
Kila...
Jamani nafikiri muda wa kubadilisha sheria au ku enforce vizuri na vikali sawa; wasichana wa kazi iwe marufuku kulipwa at the very most minimum ya 200k kwa mwezi na wale wa kwenda na kurudi at least 150k and I thk minimum salary is around hiyo kwa Serikali; which means hata kama ukiwaongeza Poa...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema haikuwa kazi rahisi kwa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kushinda zabuni ya kuandaa Fainali za Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027).
Dkt. Ndumbaro amesema hayo Septemba 29, 2023 jijini Dar es Salaam...
Yeye mwenyewe anatuambia kuwa POSTA MASTA aliyekuwapo anafanya kazi nzuri sana. Macris Mbodo ameifanya Tanzania Posts Corporation kuwa mbele kuliko mashirika ya Posta yaliyo mengi katika bara la Afrika. Na kwa kutambua hilo yuko masomoni kujinoa ili afanye vizuri zaidi. Huku nyuma anatuletea...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Chochote kinaweza kutangulia hasa Kwa wale Watu Exceptional, wateule, wenye bahati zao. Ambao Watu hao Duniani ni wachache yaani mmoja mmoja. Watu hao ndio wanaovunja Kanuni za Asili na kuwafanya Watu wengine waseme Maisha hayana Formula. Ni kweli Maisha...
Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo.
Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa...
Kuna malalamiko mengi sana TRA wako mtaani kukamata kamata magari ambayo hayajalipiwa Kodi ya Makadirio na kuna mengine yamelipiwa kodi tayari lakini mnalazimisha liingie YARD halafu mtu akienda kulitoa baada ya kua mmejiridhisha limelipiwa YARD wanadai walipwe 25,000 kwa siku au masaa hayo gari...
Hivi vidonge vya viagra,ukimeza na ukataka kuviua nguvu mwilini unatumia nini, nilikuwa na mechi ya ugenini leo,sindio nikameza vya gram50, aisee ni headache na kizunguzungu,nyuchi zitatuua wallah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.