kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. complexi

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa connection ya kazi, hali yangu kimaisha imekua ngumu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, naomba msaada wenu kwa yoyote ambae ana fursa ya kazi kutokana na fani yangu au nje ya fani yangu. Elimu yangu ni shahada ya elimu katika masomo ya sanaa (history na geography), nimejitolea katika shule moja ya serikali bila malipo na...
  2. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia

    Hellow Wana JF. Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023. Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa...
  3. Cr wa familia

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Wakuu habarini za muda, Nimerudi mbele yenu wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo naombeni mnipatie kazi yoyote na mahali popote. Niko tayari kufanya Niko Mwanza NNA UJUZI WA COMPUTER ila hata kazi za nguvu naweza natanguliza shukrani wakuu PM yangu iko wazi 24/7 kwa kwenye uwezo wa kunisaidia
  4. AY 5225

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuna fursa gani za manual labour?

    Heshima yenu wakuu. After a long while of unsuccessfully seeking for a job in Dar, nataka nijivike mabomu na niende Zanzibar kutafuta kazi/kibarua. Kwa anaefahamu, kuna fursa za manual labour maeneo gani ndani ya Zanzibar? Stay blessed.
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania Nashauri Pascal Mayalla ateuliwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara

    Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote. Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi. Napaza sauti yangu...
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Arusha: Taa za barabarani🚥hazifanyi kazi muda sasa

    Ni ile njia kuu ya kati unakuta muda wowote inawaka taa ya njano pekee hali inayosababisha kuharibu utaratibu kwa watembea kwa miguu hasa wanaotoka Stendi Kuu kuelekea kupanda gari zinazoenda sehemu mbali mbali ndani ya jiji, Mara nyingi wavuka kwa miguu ni wengi muda wowote hivyo huvuka baada...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kazi 8 zinazoongoza kwa kuchochea Msongo wa Mawazo

    Kazi zenye msongo wa mawazo zinaweza kutofautiana kulingana na mazingira ya kazi, utamaduni na hali ya uchumi katika maeneo tofauti barani Afrika. Hata hivyo, kuna kazi kadhaa ambazo zinaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kusababisha msongo wa mawazo kutokana na shinikizo la kazi au mazingira...
  8. josias

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Luku haufanyi kazi

    Jioni ya Leo Tarehe 28/08/2023 mfumo wa ununuzi wa LUKU kupitia njia zote (Mitandao ya Simu, Bank na hata Mawakala) haufanyi kazi. Jambo la kusikitisha TANESCO hawajatoa taarifa yoyote kuhusu jambo hili. Tuna safari ndefu kama Taifa.
  9. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Alilaumiwa Magufuli kuhusu Maded: Leo Samia afukuza Kazi maded walioruhusu Kadi za CCM kurudishwa

    Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM? Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020. Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
  10. thee kid

    JamiiForums Tanzania Ombi la Kazi

    Heshima zenu wakuu! Kama kichwa Cha Uzi kinavyojieleza. Mimi ni Kijana wa miaka 23 Nina shahada ya kwanza (Bachelors degree) ya usimamizi ya Manunuzi na Ugavi niliyohitimu mwaka 2022.Tokea nimehitimu sijabahatika Bado kupata kazi,hivyo basi ninaandika Uzi huu kuomba kama Kuna mtu yeyote humu...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Meli yenye Mitambo ya ujenzi wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) yawasili

    Meli kubwa ya kwanza MV Innovation Way kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu iliyobeba mitambo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). kutoka Hoima, Uganda hadi mkoani Tanga. imewasili katika bandari ya Tanga. Meli hiyo imebeba mitambo kwa ajili ya...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kazi na dawa, chimbo gani zuri kwa hii wkend?

    Ijumaa ndio hii, inakaribia kuishia. Maisha ni kufurahi na marafiki, sio kila siku kuwaza kununua matofari tu; kuwekeza mwilini kwa kuupa furaha ni muhimu zaidi. Wako wapi wazee wa kale, waliishi miaka mia mbili, wengine miaka mia tisa, sasa wako wapi? Kwa sababu tunaishi mara moja, muhimu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege Watanzania tumuombee apumzike kwa amani! Source: Al jazeera ==== Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika...
  14. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Ni sawa dalali kufanya kazi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa?

    Naomba kupata Uelewa kuna jamaa mmoja ni dalali wa magari na mambo kama hayo ila anafanya kazi ofisi ya mkuu wa mkoa fulani hivi hii iko sawa?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi kuweni makini na Watanzania, wengi wao ni Wanafiki

    Asalaam Aleykum. Bila shaka wote mko vizuri na mnaendelea na kazi za ujenzi wa Taifa letu. Leo ninao wosia kwa viongozi wa nchi yetu kuwa makini na raia wao, maana ni ukweli usiopingika kwamba Watanzania wengi ni wanafiki. Mnafiki ni mtu anayejifanya vile asivyo. Kwa maneno mengine, mnafiki ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Simbachawene na Kikwete kwa kazi nzuri mnayoifanya Utumishi hadi sasa

    Nawasalimu kwa Jina la JMT! Nimeona niandike machache kupongeza kuhusu hawa Wateule wa Wizara hii yenye kubeba masuala ya Utumishi. Toka wameingia kwenye hii Wizara hawa Waheshimiwa kuna mabadiliko mengi tumeyaona. Kuanzia kiutendaji hata malalamiko ya watumishi yamepungua. Hongereni sana...
  17. covid 19

    JamiiForums Tanzania 📢Tangazo: Nafasi za Kazi (Field Personnel)

    Wanahitajika watu wa nne 4 tu wa Field Personnel. 🔍 Majukumu: Kutekeleza kazi za field kulingana na maelekezo na ratiba iliyowekwa. Kukusanya taarifa muhimu na data katika mazingira yakazi. Kufanya usimamizi wa malipo ya ofisi kwenye eneo la field. Kuripoti mara kwa mara kuhusu maendeleo ya...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Mkuu wa Shule asimamishwa kazi kwa tuhuma za kunyanyasa Wanafunzi Kingono

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam imemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari Makumbusho, Juma Mulindani kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili za kuwanyanyasa wanafunzi kingono. Hatua hiyo imekuja siku nne tangu Mwananchi imeripoti tuhuma hizo zinazodaiwa kufanywa...
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania ILE KAULI YA SAMIA " KAZI IENDELEE" JE ALIMAANISHA NA KUKAMATA NA KUTESA KUENDELEE ?

    Huyu mama ambae ni Rais wetu alianza vizuri sana lakini tunapokuja kwenye swala la kutofautiana kimtazamo amekua akitoa amri za watu kukamatwa kuteswa na kubambikizwa kesi za uhaini au uhujumu uchumi....hili jambo lina fedhehesha sana hasa pale ambapo unashindwa kupokea ushauri na mawazo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, ataweza kufanya kazi kweli? Aliyeajiriwa ameanza na Tgs C huku yeye akiwa na Tgs B. Na wote wanadiploma

    Umeme umekatika na baada ya mshahara kuingia ameniamsha na kuanza kuwaza tu Mbona ajira mpya wanashahara mkubwa kuliko yeye?
Back
Top Bottom