kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anayajua ndio maana anayasema: Bila kubadili mtazamo kwanza kwa kutoa elimu, mabadiliko ya katiba ni kazi bure

    Tukiwa na watu wenye mtazamo huu tulionao wa uzembe, kusukumwa na uvivu basi tusitegemee mabadiliko yoyote chanya kwa kubadili katiba maana watekelezaji wakubwa wa katiba ni watu. Kwa mfano, mtazamo mkubwa wa wapinzani kwenye mabadiliko ya katiba ni kubadili vifungu vinavyoelezea mamlaka ya...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama va Siasa na Wadau wa Demokrasia katika ukumbi wa JNICC leo tarehe 11 Septemba, 2023 katika viwanja vya Ikulu, jijini Dares Salaam...
  3. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Katiba bila elimu ni kazi bure haitatusaidia

    Viongozi wa CCM wamekuwa wakitu elezea kuwa ili katiba iwe na manufaa kwetu inabidi wananchi tuelimishwe hiyo katiba, hilo ni jambo jema. Elimu hiyo yenye viwango vya chuo itatolewa na viongozi wa CCM ambao hatujui waliwezaje wao kusoma wakatusahau wananchi, hata hivyo darasa ni darasa wapo...
  4. Mr Smart Money

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wabobezi migogoro ya kazi naomba msaada

    Nilimfungulia kesi mwajiri wangu kwa kuniachisha kazi unfairly tena kwa taarifa ya mdomo kwa kosa la uchelewaji wa siku moja tu ~Ni tangu mwezi April ~Kesi ipo CMA hatua ya uamuzi ~Upande wa pili hawajawahi kufika kwenye hearing lakini summons wanazipokea ~Sina mkataba wa maandishi, wala...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI/UTUMISHI saidieni watumishi walipwe haki zao pindi wanapohamishwa vituo vya kazi

    Ni kawaida sana kwa Mtumishi anapohamishwa kituo Cha Kazi uchelewa/kutolipwa kabisa gharama za kujikimu na kubeba Mizigo kwenye halmshauri nyingi. Mtumishi anakaa miezi 6, mwaka au zaidi bila kulipwa! Kuna mwingine alilipwa kidogo kidogo kwa miaka 5, kweli hii ni aibu na kumdumaza Mtumishi...
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kati ya watu 10 wanaofanya kazi kama yako ni wangapi wametoboa?

    Kwa hii kazi yangu ukileta watu 10 wanaofanya kazi kama yangu ni mmoja tu ndo anaweza kuwa katoboa yaani ana nyumba na usafiri wake binafsi.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Dar

    Habari za majukumu wakuu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ninaishi Dar es salaam, Ninawaomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata kazi nitashukiru sana, Nimeambatanisha CV yangu tafadhali nahitaji msaada wenu, Ahsante.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Zile juice za dukani tunazoambiwa zinaongeza damu ni kweli zinafanya kazi hiyo?

    Wakuu, Nimani ulishawahi kusikia au kuambiwa kama una upungufu wa damu kunywa anjali, au kunywa chemicola inaoza damu fasta, au kuambiwa usinywe sana juice hizo kwani damu itakuwa nyingi sana. Hii ni kweli?
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza nafasi za kazi katika kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia nne sabini (470) kama...
  10. Mi bishoo tu

    JamiiForums Tanzania RPC Mara Salum Ramadhan Morcase ni mchapa kazi haswa

    Nina miaka sasa zaidi ya 10 katika mkoa wa Mara. Katika kipindi chote hicho nimeshuhudia makamanda wengi wa polisi wa huu mkoa wanavyowajibika ila kwa huyu mkoa umepata kamanda haswa! Anasikiliza matatizo ya Wananchi na kuyafanyia kazi haraka iwezekanavyo. Halewi madaraka, ni mtu...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Request for Proposals at Colleges and Institutes Canada (CICan)

    Request for proposals Survey of best practices for the success of women in technical and vocational short courses Bids are to be returned by email to info@tz.collegesinstitutes.ca by September 15, 2023. Contact for queries on the RFQ: Email: info@tz.collegesinstitutes.ca Subject Line: ESP...
  12. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Juma Nature kama muziki umekushinda tafuta kazi nyingine, usichafue watu

    Kazi ya sanaa kama ilivyo taaluma nyingine inahitaji sana discipline. Na nidhamu ya kazi ni tatizo kubwa sana kwa kaka yetu Juma Nature. Hatukatai Juma ni legend anaepaswa kupewa heshima, ila amekuwa anazingua sana kwa kutokubali kukua. Usela wa uswahilini unamharibia sana. Nature bado...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuuza duka la dawa za binadamu

    Hello guys. Natafuta kijana wa kuuza duka la dawa za binadamu awe na zifa hizi: 1. Mwenye cheti cha Ado na umiliki wa duka la dawa. 2. Awe tayari kufanya kazi kwa bidii. Eneo ni Dar es salaam- Kigamboni- Kisarawe 2. NB: Kuhusu mshahara tutaelewana akijitokeza. Asanteni.
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Wanaojitolea kwenye kazi wapewe kipaumbele wakati wa kuajiriwa

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameshauri Serikali kuweka utaratibu maalumu wa kuwazingatia kwanza Watumishi wanaofanya kazi za kujitolea wakati Serikali ikiendelea kufanya maboresho ya Sheria ya Ajira ili kuwasaidia kupata ajira bila kikwazo pindi zinapotangazwa. Katika swali la msingi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyesomea bachelor of library information studies anaweza fanya kazi gani mbali na ukutubi

    Kaka yangu ananilazimisha nikasome hiyo kozi lakini mimi nahisi siielewi.
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Dhuluma na Uonevu dhidi ya Kazi ya Ualimu Secondary na Primary schools ni laana juu elimu Tanzania

    Wasalaam, Walimu kwenye mashule ya umma yote sekondary na primary schools licha ya maslahi duni pia hawana amani, hawaheshimiki, kila boss wao ni Mfalme na Malkia, wanadhulimiwa sana, wanaonewa, elimu inapata ongezeko la laana kila siku. Walimu na elimu vinahitaji good governance...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe afukuzwa kazi kwa madai kughushi cheti

    BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe lililojigeuza kamati ya Uamuzi, limemfukuza kazi aliyekuwa Ofisa wa Afya wa Wilaya, Winston Nongwa, kutokana na kughushi cheti cha kidato cha nne kinyume cha sheria na kanuni za nchi. Sambamba na azimio hilo, baraza hilo limetoa onyo kali...
  18. G

    JamiiForums Tanzania kawanini kazi hizi wanaume huwaza sana ngono, ni utamaduni wao au?

    Yani usipime, ngono ni kama ibada, sio wote lakini ni wengi Madereva wa malori, tipa, wachimbaji wa madini wajenzi wa nyumba
  19. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ni utamaduni wa hizi kazi wanaume kuwa malaya?

    Sio wote lakini wengi huwa na tabia ya kuhamasishana umalaya: Wajenzi wa nyumba Wachimbaji wa madini Wavuvi Mafundi gereji Mafundi simu
  20. complexi

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa connection ya kazi, hali yangu kimaisha imekua ngumu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, naomba msaada wenu kwa yoyote ambae ana fursa ya kazi kutokana na fani yangu au nje ya fani yangu. Elimu yangu ni shahada ya elimu katika masomo ya sanaa (history na geography), nimejitolea katika shule moja ya serikali bila malipo na...
Back
Top Bottom