IDF inafanya mashambulizi makubwa na makubwa zaidi huko Gaza kwa saa chache zilizopita.
Vishindo vya makombola hayo yanasikika mpaka Israel kwa kweli Sasa hivi Gaza wanakipata kipondo cha kufa mtu
Huu ndio ujirani Mwema, Saudi Arabia wamezuia makombora ya magaidi wa Yamen yaliyokuwa yakielekea Israel, Makombora hayo yalionekana yakipita juu ya mji wa Madinah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī
Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita
Uharibifu huo ni...
Jameni Israel hunifurahisha hadi naumwa, waliikalisha Iran na kuteka anga lao lote na kupiga popote walipokua wanataka, juzi wamechezea kwenye anga ya Qatar bila hata ndege moja kudunguliwa, tena wamesafiri zaidi ya kilomita 1,000
Yaani madude yanapaa kwenye anga lenu bila kugunduliwa...
Wahafidhina kadhaa wa mtandaoni anti-Israel wenye ufuasi mkubwa wameanza kuonyesha wasiwasi wao kumuhisi Netanyahu na kuitaja Israel katika tukio la kupigwa risasi na kuuwawa kwa mwenzao Charlie Kirk!
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, siku ya Alhamisi alisema kuwa "hakutakuwa na taifa la Palestina." Alitoa kauli hiyo wakati wa ziara yake katika makazi ya Maale Adumim yaliyoko katika Ukanda wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Netanyahu alisaini rasmi hati ya kuidhinisha ujenzi wa...
Ukiangalia Israel ni kama ilikuwa inatafuta sababu iwachape wabaya wake popote walipo. Maana imewachapia Iran, Yemen, Syria, Qatar na sehemu mbali mbali. Yaani ukiwaangalia Hamas na Hezbollah hawana hamu.
Iran wameuawa viongozi mle ndani ya nchi yao kama wanavyouawa tu watu wengine sehemu...
Qatar walimpa Rais wa Marekani ndege ya kifahari aina ya Boeing 747 yenye thamani ya milioni 400 sawa na shilingi Trilioni 1 pamoja na mapokezi ya kifalme, lakini Marekani wameamua kurudisha fadhila kwa kuwaruhusu marafiki zao Israel waende kupiga tizi la shabaha katikati ya jiji la Qatar kwa...
Wanaendelea Kubweka. ISRAEL HACHEKI NA WOWOTE. ANAKUPIGIA POPOTE ANAPOTAKA. WAULIZENI IRAN WANAELEWA HILI JAMBO.
Wizara ya mambo ya nje ya Yemen imesema kuwa shambulio la Israel “linadhoofisha juhudi za kikanda na kimataifa zinazolenga kumaliza vita dhidi ya wananchi wa Palestina” na...
Wanaukumbi.
⚡️🇶🇦BREAKING: Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar kulaani mgomo wa Israel dhidi ya Doha:
"Nchi ya Qatar inalaani vikali shambulio la woga la Israeli ambalo lililenga majengo ya makazi ya wanachama kadhaa wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas katika mji mkuu wa Qatar, Doha. Shambulio...
Mpaka sasa hajajulikana ni viongozi wangapi walikuwemo ndani jengo Hilo la makao makuu mjini DOHA.
Kwa habari
Kile kipigo kilichoenda Kwa wahouthi na Kufa Kwa mawaziri wake nahisi inaenda kutokea Leo , Acha tusubiri tuone ni vifo vingapi vimetokea
Who are the Hamas leaders in Qatar?
Jeshi la...
Mwaka jana na mwaka huu dunia imejifunza uwepo wa kikosi maalum kwenye Taasisi za Intelejensia za Israel kinachoitwa Unit 8200.
Umaarufu wa kikosi hiki haujaja kwa bahati mbaya bali ulianza kutikisa dunia baada ya shambulio la vifaa vya mawasiliano vya Kundi la Kigaidi za Hezbollah. Kikosi...
Tuliwambia Israel hawezi kupigana na Wahouth wa Yemen, ikiwa Baba yake USA alikimbia watu wakabisha.
Leo wizara ya katiba na sheria imesambaratishwa kule Jerusalem sijui yule msafisha vyoo vya Tela Aviv Echolima1 ana habari au hana
https://youtu.be/TdhfkMlnqO4?si=4w2kvIo5g4FeuHEj
Israel says it has successfully launched a new spy satellite into space, a move that will significantly enhance its surveillance capabilities in the Middle East. According to Israeli officials, the satellite can take images of objects as small as 50 centimeters in size, day and night.
Israeli...
Juzi na jana palikua na habari za houthi kurusha makombora na drones israel,houthi wakidai airport ya Lod,mji wa haifa vilipigwa
Habari tulizoona ni israel kutungua hayo makombora na drones ikiwemo msaada wa saudi arabia
Leo waziri wa ulinzi israel kawakatia mikwala houthi kwamba watawashushia...
Hamas imesisitiza utayari wake wa kuingia katika makubaliano ya kina ya kuwaachilia mateka wote wa Israel walioko kizuizini. Kwa upande wake, kundi hilo la kigaidi linadai kusitishwa kwa vita huko Gaza, kuondolewa kikamilifu kwa majeshi ya Israel, kufunguliwa kwa vivuko vya mpaka kwa ajili ya...
Hivi majuzi tulishuhudia Israel ikirusha Setalaiti yake yenyewe ya kijasusi angani, Hayo ni maendelea makubwa sana katika nyanja za kijeshi na ki intelijensia mafanikio makubwa kama haya yatailinda nchi ya Israel na watu wa wake!!!
HAKUNA MAHALI PA KUJIFICHA
Wow, Israel imezindua silaha yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.