Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Saudi Arabia mwanamfalme Faisal bin Farhan amesema kurejeshwa kwa uhusiano na Israel ni lazima kuambatane na kuundwa kwa taifa la Palestina iliyo na mamlaka kamili na Israel iodoe majeshi yake kwenye ardhi ilizoziteka mwaka 1967 na irudishe ardhi inazozijenga...
Niaje niaje,
Nilikuwa napitia moja ya habari kutoka mtandaoni kwenye website ya CNN
Nimekutana na habari ya kushtua kidogo kiongozi na Mkuu wa shirika la Nuclear wa Irani jina lake gumu kidogo.
Ameuawa baada ya kufanyiwa ambushi na Jeshi la Israel ndani ya nchi yake. Yaani alikuwa ndani ya...
Ni baada ya Balozi wa UN kudumu wa Israel Gilad Erdan kuliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa Jeshi la Iran na wafuasi wake waondoke haraka sana nchini Syria kwani itawaangamiza wote Alielezea kwenye barua yake aliyomuandikia Mkuu wa Baraza hilo.
Report: 19 pro-Iran fighters killed...
Na kichapo cha Jana kimeharibu maghara mengi ya silaha ambazo ndizo Irani ilijitapia nazo kuwa itazitumia kujibu mashambulizi ya hit and run ya Israel... Nadhani ni wakati wa Iran kufuata ule msemo if you can't fight them join them..
Yasemekana Wafuata mkumbo 8 wa Iran wameuawa...
Irani...
Kwa majigambo makubwa juzi raisi Donald Trump wa Marekani alitangaza kutoka ikulu ya Marekani juu ya kurudishwa kwa uhusiano baina ya Israel na taifa la Sudan.
Hata hivyo tangazo hilo limepingwa vikali na wananchi kupitia vyama vikuu vya kisiasa.Anayeongoza kupinga uhusiano huo ni Sadik El...
Kwa wale wenye umri kama wa kwangu enzi hizo watakuwa na uzoefu wa majina ya miji ya kipalestina ambayo kwa sasa yote imezingirwa na makazi ya mayahudi wanaohamishwa kutoka mataifa mengine duniani kuja kuwabana wapalestina katika lengo la kuwamaliza.
Hayo maeneo yenye bluu iliyokoza ndiyo...
Yule msomi wa kimarekani aliyepewa sifa kubwa Sudan na kukabidhiwa serikali ya mpito baada ya kuanguka kwa Omar Albashiri na ambaye wiki kadhaa zilizopita aliponea chupuchupu kufa kwa bomu barabarani,jina lake Abdalllah Hamdouk, sasa naye ameishtukia diplomasia ya Marekani.
Wiki iliyopita...
Haya haya leo ni leo kwa wale wazee na wabibi wa mchezo wa kupigana kutumia chochote kiungo kuua mwenzako (mixed martial arts) kihalali UFC leo tupo fight island Abu Dhabi huko.
Adesanya hajawahi pigwa. Costa hajawahi pigwa, je nani kidedea ataibuka leo??! Karata yangu iko kwa Adesanya, of...
Saudi Arabia announced Wednesday that it would allow any flights going to and from the United Arab Emirates to fly over its territory, a move that would give Israel access to some of the kingdom’s airspace for the first time.
The announcement, made at the request of the United Arab Emirates...
Kwa ufupi kabisa kwa wale CHADEMA pamoja na Tundu Lisu mnaodai Rais Magufuli amefifisha mahusiano na dunia nataka niwakumbushe tu Rais Magufuli amefungua balozi katika nchi nane duniani ikiwemo Israel.
Tunapokosoa jambo tuwe tunaweka na uhalisia wa ukosoaji siyo kukurupuka.
Hata Ethiopia...
Inakuwaje Wanajamvi!
Utitiri wa mataifa ya Kiislamu kutaka urafiki na Israel unaongezeka.
Kosovo tayari wamekubali kuwa marafiki na Israel japo kuna minong'ono ya hapa na pale kutoka kwa wafia dini nchini humo lakini hamna namna. Asilimia 99% ya wa Kosovo ni Waislam.
Pia Somaliland nao wako...
Katika miaka hii ya karibuni inaonekana taifa dhalimu la Israel limezidi kiburi chake, linapiga linapotaka bila kumuogopa yeyote na hakuna anayeilaumu kwa matendo yake haya isipokuwa wale wanaopigwa.
Imekuwa ni habari za kawaida kusikia imepiga hapa na pale Syria na hivi karibuni inakwenda...
Israel will not tolerate an Iranian threat on its border with Syria and will do whatever is necessary to stop the terrorist regime.
====
The Israeli Air Force (IAF) on Monday night bombed targets in southern Syria, during which five were killed and several others were injured, the country’s...
Sarafu za dhahabu zilizozikwa katika chungu chenye uzito wa gramu 845
Vijana waliojitolea kuchimba katika hazina ya kiakiolojia ya Israel wamebaini sarafu 425 ambazo zilikuwa zimezikwa kwenye chungu cha udongo kwa miaka 1,100.
Pesa nyingi zilizopatikana ni za wakati wa kipindi cha awali cha...
Egypt’s Sisi welcomes UAE-Israel deal and halt to annexation
Israel and the United Arab Emirates reached a historic peace deal on Thursday that will lead to a full normalization of diplomatic relations between the two Middle Eastern nations in an agreement that US President Donald Trump helped...
Kuna mlipuko mkubwa sana umetokea Lebanon muda si mrefu, inasemekana silaha na milipuko ya Hezbolah ndio imeharibiwa na intelijensia ya Israel..
Picha linaendelea..
====
Mlipuko mkubwa umepiga mji mkuu wa Lebanon, Beirut, huku kukiwa hakuna uthibitisho kuhusu mlipuko wa pili
Mlipuko mkubwa...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu watanzania;
Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa kubwa la kuzalishia umeme...
Barua ya Israel kwa Umoja wa Mataifa; hofu na kiwewe cha kulipizwa kisasi na Hizbullah
Israel imeuomba Umoja wa Mataifa ufanye usuluhishi kwa kuhofia Hizbullah ya Lebanon isije ikalipiza kisasi dhidi yake, huku mgogoro ndani ya utawala huo wa Kizayuni ukizidi kushadidi kufuatia maandamano ya...
Part 1
Mchana mmoja mwanzoni wa mwezi Disemba mwaka 1954 ndege ya mizigo ilikuwa ikiendelea kuranda randa katika bahari ya Mediterranian upande wa Mashariki. Rubani wa ndege hiyo alipohakikisha kuwa kila kitu kipo shwari na hakukuwa na meli au chombo chochote baharini na angani aliruhusu moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.