israel

  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ujerumani wamenunua silaha kutoka Israel

    BREAKING: Ujerumani imesaini mkataba wa kombora wa Euro BILIONI 2 na Israel. Wakati wengine wakikabiliwa la kuitenga Israel, Ujerumani inanunua makombora ya Spike ya RAFAEL kwa idadi kubwa. Ulaya inahitaji teknolojia ya ulinzi ya Israel.
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yazindua mfumo mpya wa kombora linaloongozwa na Laser

    ISRAEL YAZINDUA MFUMO MPYA WA KOMBORA LINAONGOZWA NA LASER 🇮🇱 Kutana na LAHAT ALPHA, kombora hilo ni Game-Changer ambalo hufunga shabaha kutoka umbali wa zaidi ya KM 20. Hawezi kuliona wakati linasafiri. Halihitaji GPS kujenga Shabaka . wewe Eleza tu, laser, na kombola linaendelea kuharibu...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania JD Vance Akiwa nchini Israel

    JD Vance yuko njiani kuelekea kituo cha kijeshi cha Marekani huko Kiryat Gat,Israel.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Ali Khomen: Kipigo tulichompiga Israel hatathubutu tena kugusa Iran

    Habari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu tuliwapiga kwenye mishono kabisa https://youtu.be/rQUxgNIqK4I?si=DCx0a1ZAmEPUrVwy
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Iran na vikundi vyake, Israel hapigani vita bali analenga viongozi na mifumo yao

    Huwa nawashangaa sana watu wanaosema Israel inapiga vita, Israel haipigani vita huwa inajilinda, wanaopiga vita ni kina Iran na vikundi vyake. Israel wana deal na targets kubwa zaidi kama wakuu wa jeshi wa Iran, Houthi, Hezbollah, na vikundi vingine kibao na hata manaibu wakuu wa majeshi, wakuu...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Lebanon Joseph Aoun Ataka Mahusiano ya kibalozi na Israel!!

    Rais wa Lebanon Joseph Aoun anachapisha kwenye ukurasa wake rasmi maudhui ya hotuba ya Mbunge wa Lebanon Alain Aoun (mpwa wa Rais wa zamani Michel Aoun): Wakati umefika wa kumaliza mzozo na Israeli na kuelekea kwenye utulivu na ustawi
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania GRAPHIC VIDEO: Baada ya Magaidi wa Hamas kushindwa vita huko Gaza waanza kuua raia kisingizio walikuwa wanasaidia Israel!!

    Onyo la picha! Mara tu baada ya kutangazwa kusitishwa kwa mapigano huko Gaza, Hamas walichukua wanaume 8 ambao waliwashuku kushirikiana na Israel bila kuwa pele ka Mashaka ani wakawafunga vitambaa usoni na kuwapiga risasi mbele ya umati mkubwa wa "raia wasio na hatia" waliokuwa wakishangilia...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Hamas kuvunja makubaliano Israel yasema itawanyoosha

    Magaidi wa Hamas kama ilivyo kawaida yao wamevunja makubaliano kwa kuleta Maiti za watu 3 na mzoga wa mpalestina mmoja kitu ambacho ni utovu wa nidham Kwenye makubaliano ilitakiwq waachilie Maiti za wayahudi 28 waliowateka Oct 07,203 cha ajabu jana walileta maiti 4 tu kinyume na makubaliano na...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Lebanon, Joseph Aoun ataka mazungumzo na Israel

    Baada kichapo kikali kwa magaidi wa Hezboullah Rais wa Lebanon, Joseph Aoun, alisema: 'Lazima tujadiliane na Israel, Beirut haiwezi kwenda kinyume na mwelekeo wa sasa ambapo Mashariki ya Kati inaelekea' ===================== You can share an article by clicking on the share icons at the top...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hamas Yaua Wapalestina Zaidi ya 50 Walioonekana Kuhoji Sababu ya Shambulio la Hamas Dhidi ya Israel

    Wananchi wa Palestina, unaweza kusema, ni watu wenye bahati mbaya sana, na kwamba kwao kitu amani, ni jambo litaendelea kuwa gumu kwao. Wapalestina maelfu wasiokuwa na hatia wameuawa, kutiwa ulemavu, na kupitia mateso mbalimbali kutokana na operation za kijeshi za Israel zilizosababishwa na...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Indonesia anatarajiwa kuitembelea Israel Kesho!!!

    BREAKING NEWS: Rais wa Indonesia anatarajia kuitembelea Israel kesho, vyombo vya habari vya Israel vinaripoti. Natumaini hili litatokea. Wakati wa kufanya amani. 🇮🇱🇮🇩
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tayari Hamas imewaachia huru Mateka saba wa Israel na kudai kuendelea kuachilia wengine zaidi

    Shirika la Habari la BBC imeripoti kuwa Mateka saba wa kwanza wa Israel walioshikiliwa na Kundi la Hamas huko Gaza wameachiliwa leo na wako chini ya uangalizi wa Shirika la Msalaba Mwekundu (ICRC), tayari kukabidhiwa kwa jeshi la Israel (IDF), jeshi hilo limethibitisha Taarifa za kuachiliwa...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea kwenye kubadilishana mateka kati ya Israel na Hamas

    Wanaukumbi. Preparations underway for exchange of Israeli captives, Palestinian abductees under Gaza ceasefire.. === Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya kubadilishana mateka wa Israel, watekwa nyara wa Kipalestina chini ya usitishaji vita wa Gaza...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wauaji wakubwa wakiandaliwa tayari kuachiwa huru katika magereza ya Israel

    Magaidi wenye damu za watu mikononi mwao wakiandaliwa kuachiwq huru kutoka magereza ya Israel walikokuwa wamefungwa kwa mauaji ya watu wasio na hatia. Waangalie walivyo na afya nzuri kinyume na mateka wa Israel watakao achiwq na magaidi hao!!
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama Israel ina teknolojia mbona walishindwa kupata mateka wao

    Wakati mwingine tunapigwa changa kwa kujazwa ujinga. Israel inaaminika iko juu kiuslama na kijeshi. Je ilikuwaje ikashindwa kuwaokoa mateka wake kwenye eneo dogo kama hili tena lisilo na nchi wala jeshi? Wazungu wamejua kututenda kwa kutujaza ujinga na woga.
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani kulihutubia Bunge la Israel Khenesst

    Spika wa bunge la Israel Knesset amemwalika rasmi rais Trump kuhutubia bunge la Knesset. "Ni heshima yangu kuu na pendeleo kubwa kualika rasmi rafiki mkubwa na mshirika wa Wayahudi katika historia ya kisasa."
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majeshi shupavu ya Israel yaanza kujisogeza huko Gaza

    Majeshi ya Israel taarabu yameanza kujisogeza taaratibu ili kuweza kukalia 53% ya Gaza na kuwaachia 47% magaidi wa Hamas
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yagongomelea msumari wa mwisho kwenye Jeneza la Magaidi wa Hamas!!!

    Baada ya Majeshi shupavu ya Israel kushusha kipondo kikali kwa magaidi wa Hamas hatimaye usiku wa kuamkia leo wamekubali kwa hiari yao kuwaachia mateka waliowateka Oct 07,2023. Kukubali kwao kunatokana na mbinyo uliofatana na kipigo cha mbwa-koko wali ho kuwa wanapata toka walipofanya uvamizi...
  19. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Miaka 2 ya vita vya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na Houthi. Nani kashinda?

    Oktoba 7, 2023 ndipo Hamas walivamia watu waliokuwa kwenye starehe na kuwafanya mateka. Nini kiliendelea? Viongozi Muhimu wa Kisiasa na Kijeshi Waliouawa Baada ya Operesheni Mafuriko ya Al-Aqsa mwezi Oktoba 2023, Israel imefanya mfululizo wa mauaji yaliyolengwa dhidi ya viongozi mashuhuri wa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Trump atapata tuzo ya Nobel Prize akifanikiwa kumaliza vita kati ya Gaza?

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amejiweka katikati ya mazungumzo kuhusu amani ya Gaza, akionyesha juhudi binafsi za kuhakikisha makubaliano yanafikiwa haraka. Tofauti kubwa katika mazungumzo haya ni jinsi Trump mwenyewe anavyoshiriki moja kwa moja, akiwashinikiza pande zote mbili – Israel na...
Back
Top Bottom