Mytake:Sasa wavaa vipedo, misuli na makobazi wanapigwa kotekote,ardhini,majini na angani.
.....
The IDF revealed a shift in Gaza warfare: suicide drones now kill most Hamas terrorists. The “Atalef” drone is standard issue across ground forces, with platoons equipped with their own intel drones.
ERDOGAN, Rais wa Uturuki amenukuliwa akisema hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na israel ili kulinda utu.
Maneno hayo yametamkwa Uturuki ikijiandaa kutuma wanajeshi tajriban laki moja huko Cyprus kaskazini jirani na israel
Ikumbukwe uturuki ina maslahi Syria ambako Israel hushambulia...
Wapalestina kadhaa waliohojiwa na gazeti la Jerusalem post,wamesema wamechoka na mateso na wamekata tamaa na hawana imani na yeyote.
Baadhi yao walipohojiwa wamesema wameshahama mara nyingi kote Gaza kufuata maeneo waliyoambiwa ni salama lakini kila wanapofika maafa ni yale yale.
Mmoja wao...
Wanaukumbi.
Ubelgiji itaitambua taifa la Palestina katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa baadaye mwezi huu, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji Maxime Prevot alitangaza Jumanne, akiongeza kwamba vikwazo vitawekwa kwa serikali ya Israeli.
"Palestina itatambuliwa na Ubelgiji katika kikao cha...
Sekta ya kwanza ya anga duniani kubadilisha Boeing 777 kutoka ndege ya abiria hadi ndege ya mizigo✈️
Israel Aerospace Industries (IAI) imerekodi mafanikio mengine ambayo hayajawahi kushuhudiwa, kama kampuni ya kwanza duniani kupokea leseni ya STC (leseni ya kubadilisha ndege kwenda kwa mizigo)...
Iran imeanza maandalizi ya kushambuliwa na Israel baada ya vyanzo vyake kudhibitisha kuwa wakati wowote wanaweza kushambuliwa na Israel.
Juhudi mbalimbali zimefanya katika jeshi lake ili kuwaweka kwenye hali ya tahadhali ya juu vilevile wameandaa mpango mkakati wa kuwalinda viongozi wa nchi...
Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa wafanyakazi wake 11 nchini Yemen wametekwa nyara na Wahouthi.
Waasi wa Houthi walivamia ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Sanaa kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel ya wiki iliyopita ambayo yaliangamiza karibu serikali nzima ya Houthi. Utawala wa kigaidi...
Mkuu wa IDF awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia pia'
Mkuu wa IDF, Lt. Jenerali Eyal Zamir (kushoto) akizungumza katika tathmini pamoja na Mkuu wa Kamandi ya Kaskazini Meja Jenerali Rafi Milo, Agosti 31, 2025. (IDF)
Kufuatia mauaji ya Israel kwa maafisa wakuu wa Houthi na...
#HABARI Waziri Mkuu wa serikali ya Yemen inayoongozwa na Wahouthi na mawaziri wengine kadhaa wameuawa katika shambulio la Israel kwenye mji mkuu Sanaa, mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Houthi amesema jana Jumamosi, likiwa ni shambulio la kwanza la aina hiyo kuua maafisa wakuu.
Wengine kadhaa...
Wanakumbi.
Kundi la Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuripotiwa kuwakamata wengine 4.
Hata hivyo Israel imedai kuwa ni mwanajeshi mmoja tu aliyeuawa na wengine 11 wako katika hali mbaya.
Israel imeweka udhibiti mkali wa vyombo vya habari kuhusu ripoti zinazohusiana na...
Kikosi cha wapiganaji wa al qassam kimefanya shambulio hivi Leo na kufanikiwa kuwateka wanajeshi wanne wa Israel na kuuwa wengine 9 na kuacha majeruhi wengi. katika tukio linaloendelea katika mji wa Gaza.
Helikopta 8 za jeshi la Israel zimeonekana zikibeba maiti na majeruhi kuwapeleka hospitali...
Wanaukumbi.
Kufuatia uamuzi wa Uturuki wa kukata kabisa uhusiano wa kiuchumi na kufunga anga yake na Israel, waziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Israel Itamar Ben-Gvir alichapisha kwenye X akilinganisha Uturuki na Hamas. Ben-Gvir anatafutwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa...
Jeshi la Israel limeanza oparesheni kubwa za kijeshi pembezoni mwa jiji la Gaza hatua inayoashiria maandalizi ya kuutwaa kikamilifu mji huo, huku ikiapa kuongeza mashambulizi kwa lengo la kuzidisha shinikizo la kuachiliwa kwa mateka waliosalia na kulitokomeza kabisa kundi la Hamas.
Hatua hiyo...
Imeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen. Shambulizi hili ni kando ya shambulizi dhidi ya majenerali wa houthi kumi walio kuwa wakitazama hotuba ya...
Niaje waungwana
Kwa mtu asiekuwa na akili kamili au uwezo wa kufikiri vizuri, anaweza akahisi, au akajua kuwa Netanyahu anaipigania Israel, au waisrael. Lakini kwa yule mwenye akili kamili na uwezo mzuri wa kufikiri, ni lazima atakubaliana na mimi kwamb Netanyahu hayupo pale kupambana na kwa...
Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran
Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika...
Wanaukumbi.
Israel directly targeted Palestinian rescue workers at the Nasser Medical Complex in Gaza's Khan Younis.
Journalists Mohammed Salama, Hussam Al Masri and Mariam Abu Dagga were among those killed, along with at least eight others
================
Israel ililenga moja kwa moja...
Brazil imekataa kuidhinisha uteuzi wa Gali Dagan, aliyewahi kuwa balozi wa Israel nchini Colombia, kuwa balozi mpya wa Israel nchini Brazil, na kuacha nafasi hiyo ikiwa wazi, vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti.
Hatua hiyo inaashiria kushuka zaidi kwa uhusiano na nchi hiyo ya Amerika...
Msemaji wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mashambulizi ya jana waliyofanya na kuwatia hasara mayahudi ni madogo kuliko yale wanayoweza kuyafanya kwa kutumia silaha mpya ambazo wanatengeneza wenyewe.
Msemaji huyo amesema katika mashumbulizi mapya ya Israel wao wamefanikiwa kuzuia sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.