iran

  1. JamiiForums Tanzania Iran wanaweza kuunda bomu la nyuklia kwa muda wa wiki2 hadi mwezi mmoja! Lakini hawana nafasi

    Madhara ya hii vita Kama itasimamishwa basi Iran itafanya kila iwezalo kuunda bomu Kwa haraka haraka kama material yote yapo wanaweza kutumia wiki2 hadi mwezi mmoja. Tatizo ni muda Israel hampi Iran apumue anaharibu siraha zote na viwanda vinapigwa kiberiti. Israel anaelewa kama akimuachia...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Iran wanauwawa na Israel

    KWANINI VIONGOZI WA IRAN WANAUWAWA NA ISRAEL. Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA Monday -16/06/2025 Marangu Kilimanjaro Tanzania. Pengine hili ndio swali la msingi la kujiuliza, toka mwaka 2023 Israel imefanikiwa kuwauwa viongozi wa juu kabisa wa Iran kwa kasi kubwa na kwa ufanisi mkubwa sana...
  3. JamiiForums Tanzania Katika vita ya Israel na Iran, wakati Israel anapiga kichwa cha Iran, huyo Iran anapiga mkia wa Israel

    Mod usifute huu uzu. Sijapendelea upande wowote ila nimesema ukweli. Nimefuatilia kwa karibu huu mzozo lakini nimegundua kitu cha tofauti. Iran inatuma utitiri wa mabomu ilimurani yepenye na kuanguka katika ardhi ya Israel. Wakati huo Israel ina mfumo wa kuyaripua yakiwa angani hivyo machache...
  4. JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye 'Video Clip' ya Mtangazaji (Mwanamama) wa Iran State Tv iliyoshambuliwa na Israel akikimbia Studio aniwekee ili niendelee Kucheka

    Israeli huwa hawabahatishi katika Target zao Kudadadeki. Sasa kama huyo Mtangazaji Mwanamama wa Televisheni ya Taifa Iran alikuwa anajifanya Kutangaza kwa Kujiamini na Kutoogopa nini kilimfanya atoke baru (akimbie) Studioni pamoja na Cameraman wake baada ya Kombora Tukuka la Israeli kushambulia...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Iranian Foreign Ministry spokesman Esmaeil Baghaei says Israeli strike hit hospital in Kermanshah, calls it a war crime

    21 minutes ago Iran says Israeli strike hit hospital in Kermanshah, calls it a war crime Iranian Foreign Ministry spokesman Esmaeil Baghaei said Monday that Israeli forces targeted Farabi Hospital in the western city of Kermanshah, calling the attack a “grave violation of international law” and...
  6. U

    JamiiForums Tanzania IRGC inasema Israel inatumia teknolojia ya kufuatilia simu za mkononi kutekeleza mauaji ndani ya Iran, ikiwa ni pamoja na wanasayansi wa nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote. Shirika la Habari la Fars linaloshirikiana na IRGC liliripoti Jumatatu. "Israel inatumia ufuatiliaji wa simu kuwaua watu nchini Iran. Hapo awali ilimuua Ismail Haniyeh kwa njia hiyo hiyo huko Tehran," chombo hicho kilisema. Fars aliongeza kuwa hata kuzima simu za rununu...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Wanasayansi wa Nyuklia wa Iran wamekosea Nini kustahili kuuawa na Israel?

    Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika. Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo. Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania tunaendelea vizuri kulipa deni kwa Iran

    Kwa taarifa Tu. Tunaendelea vyema kulipa deni letu huko Iran. Hatuja default hata mara moja (kwa lugha ya kimkopo). Sema sasa ukiniuliza Mkopo tulifanyia nn ndio sijui. Wabillah Taufiq. --- EHRAN- Based on an agreement signed between Tanzania and Iran, the African country will pay its debts...
  9. JamiiForums Tanzania Tunasubiri Iran iifute Israel kwenye uso wa dunia kama ilivyo ahidi

    Kwa style hii bado tunasubiri iran iifute Israel kwenye uso wa dunia kama ilivyo ahidi chini ya kiongozi wao mkuu wa kidini ayatolah al kamenei. Viongozi wa kuu wa kijeshi na wanasayansi wakuu wa nyuklia na teknolojia ya maswala ya silaha na ulinzi wa anga huko iran mpaka sasa wamesha uwawa...
  10. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Tanzania kwa kinachoendelea Iran-Israel

    Waziri mwenye dhahama atoe msimamo wa Tanzania kwa uonevu unaendelea huko Iran-Israel. Ikibidi tutume Timu ya wasuluhishi 300 (Zanzibar 150, Tanganyika 150) waende huko kwa siku 30. Ni muhimu wawezeshwe kifedha pia wapewe ndege moja ya ATC. Wabillah Taufiq
  11. JamiiForums Tanzania Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

    Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda. Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia. Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote. Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli. Hakuna anayemsaidia Iran...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani haijifunzi na inatumia kikagosi chake Israel na kuigopa Iran bila kujifunza toka Afghanistan na Iraq?

    Kwa wanaojua kilichotokea Afghanistan ambako magaidi wa kitaleban sasa wanatesa huku Irak ikigeuka taifa lililofeli, watakubaliana nami kuwa Marekani licha ya unafiki na woga, inaonekana kutokuwa na uwezo wa kujifunza. Vita vya Afghanistan na Irak viliigharimu Marekani jumla ya dola trilioni...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu kutoka IDF says it completed ‘extensive’ wave of strikes on IRGC, military targets in Iran

    Niwatakie usiku mwema kazi ya today imeisha, kesho kesho nayo ni siku, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, June 15, 2025 IDF says it completed ‘extensive’ wave of strikes on IRGC, military targets in Iran By Emanuel Fabian Follow Today, 11:11 pm The IDF says it has completed an...
  14. JamiiForums Tanzania Iran ni mtoto wa kambo na Israel ni junior

    Hii vita ukiweka mambo ya udini na kushirikisha akili Kwa undani utagundua mambo mengi ambayo yanampa aueni Israel na wakati mgumu Iran katika kushambuliana na kubwa zaidi ni hili. Ukiangalia jiografia ya haya mataifa mawili utapata jibu kuwa ISRAEL kupitia msaada kutoka Kwa washirika wake hasa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Je, baadhi ya mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel huruhusiwa kwa makusudi ili uwe ushahidi wa kufungua milango ya kuhalalisha vita pana ?

    Tunavyoona baadhi ya makombora yakitua Israel, Je kuna yanayoruhusiwa maksudi ili Israel ipate uhalali wa vita pana ? Ni ajabu kidogo, japo Iran wanajikongoja kwa kutungua baadhi ya maeneo ya Israel yenye madhara makubwa kwenye video zinazorekodiwa ila ni ya kawaida kwenye casulities lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Hamas ndio walitoa Upinzani wa Kweli. Hawa Iran ni Vibushuti

    Sio kwa ushabiki! Angalau Hamas walitoa upinzani wa Kweli. Ingawaje ni kakikundi kadogo kalikokosa Nguvu ya kifedha, miundombinu na vifaa vya kutosha lakini angalau wao tuliwaona wakifurukuta. Mbinu yao ya kujificha kwenye mahandaki na kuwageuza raia kuwa ngao yao kulichelewesha kushindwa kwao...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran inashambulia raia badala ya kupigana na jeshi??

    Wajuvi wa mambo naomba msaada wa kisheria .
  18. JamiiForums Tanzania Trump aonya Iran dhidi ya kushambulia Marekani kwa namna yoyote ile

    Rais Donald Trump amesema Marekani haihusiki katika vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. "Marekani haikuwa na uhusiano wowote na shambulio dhidi ya Iran, usiku wa leo," Trump amesema katika chapisho kwenye jukwaa lake la Truth Social platform. Iran imeionya Marekani na washirika wake...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi Israel kushambulia viongozi wa Iran sababu wananchi wengi wanaichukia serikali, wairan wanaiona Israel kama mkombozi

    Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana. Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi sana kwa Israeli kuwauwa viongozi wowote hadi wale waandamazi wa Iran?

    Kwanza, Kama Israel haitaundoa utawala wa Ma- Ayatollah Iran hii vita yao waliyoianzisha itakuwa haina maana yoyote na kama Iran haitawaua viongozi waandamazi angalau 10 wa Israel itakuwa imetepeta na haijafanya lolote la maana katika kuvurumisha mamia ya makombora yake, zitabaki kuwa mbwembwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…