Madhara ya hii vita
Kama itasimamishwa basi Iran itafanya kila iwezalo kuunda bomu
Kwa haraka haraka kama material yote yapo wanaweza kutumia wiki2 hadi mwezi mmoja.
Tatizo ni muda Israel hampi Iran apumue anaharibu siraha zote na viwanda vinapigwa kiberiti.
Israel anaelewa kama akimuachia...
KWANINI VIONGOZI WA IRAN WANAUWAWA NA ISRAEL.
Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA
Monday -16/06/2025
Marangu Kilimanjaro Tanzania.
Pengine hili ndio swali la msingi la kujiuliza, toka mwaka 2023 Israel imefanikiwa kuwauwa viongozi wa juu kabisa wa Iran kwa kasi kubwa na kwa ufanisi mkubwa sana...
Mod usifute huu uzu. Sijapendelea upande wowote ila nimesema ukweli.
Nimefuatilia kwa karibu huu mzozo lakini nimegundua kitu cha tofauti. Iran inatuma utitiri wa mabomu ilimurani yepenye na kuanguka katika ardhi ya Israel.
Wakati huo Israel ina mfumo wa kuyaripua yakiwa angani hivyo machache...
Israeli huwa hawabahatishi katika Target zao Kudadadeki. Sasa kama huyo Mtangazaji Mwanamama wa Televisheni ya Taifa Iran alikuwa anajifanya Kutangaza kwa Kujiamini na Kutoogopa nini kilimfanya atoke baru (akimbie) Studioni pamoja na Cameraman wake baada ya Kombora Tukuka la Israeli kushambulia...
21 minutes ago
Iran says Israeli strike hit hospital in Kermanshah, calls it a war crime
Iranian Foreign Ministry spokesman Esmaeil Baghaei said Monday that Israeli forces targeted Farabi Hospital in the western city of Kermanshah, calling the attack a “grave violation of international law” and...
Wadau hamjamboni nyote. Shirika la Habari la Fars linaloshirikiana na IRGC liliripoti Jumatatu. "Israel inatumia ufuatiliaji wa simu kuwaua watu nchini Iran. Hapo awali ilimuua Ismail Haniyeh kwa njia hiyo hiyo huko Tehran," chombo hicho kilisema. Fars aliongeza kuwa hata kuzima simu za rununu...
Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi...
Kwa taarifa Tu. Tunaendelea vyema kulipa deni letu huko Iran. Hatuja default hata mara moja (kwa lugha ya kimkopo).
Sema sasa ukiniuliza Mkopo tulifanyia nn ndio sijui.
Wabillah Taufiq.
---
EHRAN- Based on an agreement signed between Tanzania and Iran, the African country will pay its debts...
Kwa style hii bado tunasubiri iran iifute Israel kwenye uso wa dunia kama ilivyo ahidi chini ya kiongozi wao mkuu wa kidini ayatolah al kamenei.
Viongozi wa kuu wa kijeshi na wanasayansi wakuu wa nyuklia na teknolojia ya maswala ya silaha na ulinzi wa anga huko iran mpaka sasa wamesha uwawa...
Waziri mwenye dhahama atoe msimamo wa Tanzania kwa uonevu unaendelea huko Iran-Israel.
Ikibidi tutume Timu ya wasuluhishi 300 (Zanzibar 150, Tanganyika 150) waende huko kwa siku 30. Ni muhimu wawezeshwe kifedha pia wapewe ndege moja ya ATC.
Wabillah Taufiq
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran...
Kwa wanaojua kilichotokea Afghanistan ambako magaidi wa kitaleban sasa wanatesa huku Irak ikigeuka taifa lililofeli, watakubaliana nami kuwa Marekani licha ya unafiki na woga, inaonekana kutokuwa na uwezo wa kujifunza.
Vita vya Afghanistan na Irak viliigharimu Marekani jumla ya dola trilioni...
Niwatakie usiku mwema kazi ya today imeisha, kesho kesho nayo ni siku, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, June 15, 2025
IDF says it completed ‘extensive’ wave of strikes on IRGC, military targets in Iran
By Emanuel Fabian Follow
Today, 11:11 pm
The IDF says it has completed an...
Hii vita ukiweka mambo ya udini na kushirikisha akili Kwa undani utagundua mambo mengi ambayo yanampa aueni Israel na wakati mgumu Iran katika kushambuliana na kubwa zaidi ni hili.
Ukiangalia jiografia ya haya mataifa mawili utapata jibu kuwa ISRAEL kupitia msaada kutoka Kwa washirika wake hasa...
Tunavyoona baadhi ya makombora yakitua Israel, Je kuna yanayoruhusiwa maksudi ili Israel ipate uhalali wa vita pana ?
Ni ajabu kidogo, japo Iran wanajikongoja kwa kutungua baadhi ya maeneo ya Israel yenye madhara makubwa kwenye video zinazorekodiwa ila ni ya kawaida kwenye casulities lakini...
Sio kwa ushabiki!
Angalau Hamas walitoa upinzani wa Kweli. Ingawaje ni kakikundi kadogo kalikokosa Nguvu ya kifedha, miundombinu na vifaa vya kutosha lakini angalau wao tuliwaona wakifurukuta. Mbinu yao ya kujificha kwenye mahandaki na kuwageuza raia kuwa ngao yao kulichelewesha kushindwa kwao...
Rais Donald Trump amesema Marekani haihusiki katika vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran.
"Marekani haikuwa na uhusiano wowote na shambulio dhidi ya Iran, usiku wa leo," Trump amesema katika chapisho kwenye jukwaa lake la Truth Social platform.
Iran imeionya Marekani na washirika wake...
Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana.
Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
Kwanza, Kama Israel haitaundoa utawala wa Ma- Ayatollah Iran hii vita yao waliyoianzisha itakuwa haina maana yoyote na kama Iran haitawaua viongozi waandamazi angalau 10 wa Israel itakuwa imetepeta na haijafanya lolote la maana katika kuvurumisha mamia ya makombora yake, zitabaki kuwa mbwembwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.