Migogoro ya ndani ya kisiasa nchini Iran inazidi kushamiri huku matatizo ya kiuchumi yakiongezeka.
Wafuasi wa msimamo mkali wanaongeza shinikizo dhidi ya serikali ya Iran na kutaka Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araghchi, aondolewe madarakani. Waziri wa Mafuta amejiuzulu, lakini hatua hiyo...
🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️
Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano.
Hali hii inapoongezeka...
1. Sifa za Marekani: Uongo, Kuvunja Ahadi, na Hiana
"Na Marekani leo kila siku tunasikia kuwa yupo katika mazungumzo na Wairani yeye mwenyewe akijidai kama vile hataki kuleta vita anataka kuepusha vita Lakini waani wanasema sisi tunamjua kuwa eh Trump hawezi mtu wa kuaminika".
"Na sisi waislamu...
Pentagon imeiagiza Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) kukamilisha maandalizi ya uwezekano wa kuanza tena kwa operesheni kubwa za kijeshi dhidi ya Iran.
Rais Donald Trump hajafanya uamuzi wa mwisho au kuweka tarehe, lakini mashambulizi yanaweza kutokea kabla ya uchaguzi wa Israeli mwezi Oktoba na...
Pentagon yasema kuna uwezekano wa Marekani kuishambulia Iran.
Mark my word iwapo Marekani itaishambulia upya iran, Sitaki kusikia free Iran.
Hasa team Iran maana mna mdomo sana hadi mnaboa.
Matukio ya kuanzia mwaka 2022-2026 yamebadilisha sana akili za watu wengi duniani. Propaganda na ulaghai vimekuwa vikipwaya kila siku dhidi ya ukweli na uhalisia wa mambo. Kumekubwa na maswali mengi mazito ambayo hata wenye akili wanashindwa kuyatolea majawabu ya moja kwa moja:
Mosi, Israeli na...
Ni miezi inapita Iran ikipigwa na Marekani, inajibu kwa kulenga Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait na Jordan kwa sababu tu kuna kambi za Marekani huko.
Lakini kuna swali moja lina viulizo vingi, Israel ikiwa hapo jirani kabisa na Jordan, kwanini hairushiwi makombora ya wastani kwa idadi kama wenzake...
ghafla
iran
israel
jordan
kambi
karibu
kiislam
kuishambulia
kupitia
kushambulia
kuwait
marekani
marekani na israel
mashambulizi
mpole
n.k
nchi
nchi za kiislam
saudi
saudi arabia
ubabe
waislam
wake
wenzake
wote
Dhidi ya dhana kwamba Iran haishambulii ndani ya mipaka ya Israel, ukweli ni kwamba Iran imeshawahi na kuendelea kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Israel kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani (droni), kama ilivyotokea Aprili 2024 na katika wimbi la mashambulizi ya baadaye...
Jeshi la Wanamaji la IRGC la Iran linasema limekamata chombo kisicho na piloti cha chini ya maji cha Marekani aina ya REMUS 600 kinachofanya kazi katika Njia Bahari ya Hormuz.
Kulingana na IRGC, operesheni hiyo ilihusisha uwezo wa kijasusi na vita vya kielektroniki, na inasemekana chombo hicho...
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema alikutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, takribani mwezi mmoja uliopita na walizungumza kwa saa kadhaa. Pezeshkian alisema Khamenei alikuwa katika hali nzuri kabisa kiafya na alikuwa akiendelea kutoa maelekezo kwa uongozi wa Iran. Alisema...
Mamia ya malori yamekwama bila kufanya kazi katika mpaka wa milimani wa mashariki mwa Uturuki, kwenye njia kuu ya kuingia Iran. Kituo hicho cha mpakani kimekuwa muhimu zaidi kiuchumi kwa Tehran, huku Jeshi la Wanamaji la Marekani likiweka vizuizi katika bandari za Iran.
Rais wa Iran, Masoud...
Iran walisema siku Israel ikitia mguu mle ndani au kumgusa kHayatollah ingefutwa ulimwenguni. Ni miezi mingi imepita toka tukio hilo lifanyike. Je ni kwamba bado wanajipanga au wanafanya mazoezi?
Je nini kimekuwa kigumu kumtia adabu Israel asiwe mjeuri kiasi cha kutuma mabinti kuingia Irani na...
Chini ya mkataba wa NATO, shambulio la kijeshi dhidi ya mwanachama mmoja huchukuliwa kuwa ni shambulio dhidi ya wanachama wote. Hata hivyo, kwa miaka kadhaa Urusi imetumia mbinu mbalimbali zisizofikia kiwango cha vita—ikiwemo operesheni za hujuma na mashambulizi ya mtandaoni—kudhoofisha...
Ukifuatilia vizuri Iran ameshika adabu kuigusa Israel, na Netanyahu anatamani sana kuguswa akinukishe.
Iran kashambulia Waarabu wote tangu mwezi wa 6 ila hajaigusa Israel, sasa hivi Wahouthi wanaishambulia Saudia kila Siku, ila wamesema hawagusi meli za Israel.
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ametoa onyo kali dhidi ya Iran, akitishia kuchukua hatua kali zaidi iwapo nchi hiyo itajihusisha moja kwa moja na mashambulizi ya makombora kwenye ardhi ya Israel.
Onyo hili linakuja katikati ya kuongezeka kwa mvutano mkali kati ya Israel na kundi la...
Mmoja wa maafisa wawili wa Jeshi la Anga la Marekani ambaye ndege yao ya kivita aina ya F-15E ilidunguliwa juu ya Iran mwezi Aprili, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu tukio hilo.
Kanali wa Jeshi la Anga la Marekani ambaye jina lake halijawekwa wazi kwa sababu za kiusalama, amezungumza kwa...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz:
Ali Taher Ridge ni sehemu ya mstari wa njano na eneo la usalama la Israeli nchini Lebanon - IDF inajiandaa kivitendo kudhibiti ukingo na kuzuia jaribio lolote la Hezbollah au kipengele kingine chochote kurudi na kuanzisha uwepo hapo. Mtu yeyote...
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu:
Rais Trump alitangaza jana kwamba Iran inajaribu kujihami tena kwa silaha za nyuklia. Hiyo ni kweli.
Baada ya kuharibu uwezo wake wa moja kwa moja wa kutengeneza mabomu ya nyuklia, wanajaribu tena.
Ninawaahidi hapa, kwenye Ukuta wa Magharibi, mbele...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu akiwa juu ya Mlima Hermon nchini Syria amesema
Hatutaruhusu jeshi lolote la kigaidi kujiimarisha kwenye mpaka wetu. Tumejitolea kushinda utawala wa kigaidi nchini Iran - na tutafanya hivyo.
Ama kweli Netanyahu ni kiboko cha Wafuga Midevu na Majini...
Saddam Alijua Hangeweza Kuishinda Amerika. Je, Iran Inajaribu Kushinda Vita Vile Vile?
Kuna njia ya ajabu ya kushinda vita dhidi ya nchi ambayo huwezi kuishinda.
Acha kufafanua ushindi kama kuishinda.
Zaidi ya miaka 35 iliyopita, Saddam Hussein aliingia katika mapambano na Marekani ikikabiliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.