iran

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia movies za Kituruki zilr za Azam utajua ugumu wa Iran kushinda vita. Waarabu huongoza kwa usaliti na unafki

    Hii ni tamaduni ya kiarabu kuongoza kwa usaliti na unafki...Ni rahisi sana Baba wa kiarabu kumzalisha mkwe wake... Ni rahisi sana kuwagombanisha familia za kiarabu kupitia mali... Ndio maana uoana wenyewe kwa wenyew kwenye familia ili tu kwa ubinafsi waliona.. Ndio maana kwenye ya kiislamu...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Iran na Ukraine haziachwi zijiamulie mambo yao wenyewe kwa maslahi yao kama mataifa huru?

    Kwa nini Ukraine na Iran haziachawi zijiamulia mambo yake wenyewe kama kumiliki silaha za nyuklia na kujiunga na jumuiya zinazoona zina maslahi kwao kama mataifa huru?
  3. U

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa IDF: Israel imeipiga Iran bila kusimama kwa saa 40, ikijumuisha zaidi ya malengo 150 Tehran haina kinga tena

    Wadau hamjamboni nyo. te, Msemaji wa IDF: Israel imeipiga Iran bila kusimama kwa saa 40, ikijumuisha zaidi ya malengo 150 Tehran haina kinga tena , Emanuel Fabian Fuata Leo, saa 8:55 mchana Msemaji wa IDF Brig. Jenerali Effie Defrin, katika mkutano na waandishi wa habari, anasema...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la anga Israel ilishambulia kwa mabomu kituo cha chini ardhini cha Iran kilichohifadhi makumi ya makombora

    Wadau hamjamboni nyote. Jeshi la anga la Israel ilishambulia kwa mabomu kituo cha chini cha ardhi cha Iran kilichohifadhi makumi ya makombora magharibi mwa Iran leo. Jeshi la anga la Israel limeshambulia kwa mabomu kituo cha silaha za...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yashauri Iran irudi haraka kwenye mazungumzo ya nyuklia kabla haijasambaratishwa zaidi

    By AFPToday, 8:39 pm French President Emmanuel Macron (L) meets with Iran's President Masoud Pezeshkian (R) on the sidelines of the 79th Session of the United Nations General Assembly at the UN headquarters in New York City on September 24, 2024. (Ludovic Marin/AFP) Share PARIS, France —...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Khamenei inasemekana kaondoka Iran, Viongozi kadhaa pia waondoka Iran

    Iran hali ni mbaya. Tuzidi kuiombea. Naumia sana kwa kile wanachofanya Mayahudi. Nahisi kuna watu Iran wanatusaliti. Nachoka kabisa.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kituo kikuu cha kuzalisha gesi Iran nacho kinaungua mda huu!

    Al Jazeera wanatangaza Kituo Cha gesi Cha South Pars gas kilichopo kusini mwa Jimbo la Bushehr. Kadhalika Netanyahu ametangaza operation kubwa kuendelea dhidi ya Iran. (Al Jazeera News 1900 hrs) ==== Israeli forces struck Phase 14 of the South Pars gas field, causing a fire in parts of the...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS kwa unyonge wasema Iran inapigwa kisa imesimama nao, wailiwaza Iran

    HAMAS, magaidi ya waislamu wasikitishwa sana na kinachofanywa kwa Iran, wasema Iran inalipa gharama kwa kusimama nao kwenye ugaidi wao dhidi ya Israel........ Hamas declared its support for Iran following Israeli strikes, saying Iran is "paying the price" for backing Palestinian resistance...
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ali Khamenei na kabineti yake wameikimbia Iran, nini wanakiogopa?

    Why are they run away to unknown?
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndege 70 ziliruka kwenye anga ya Iran kujipigia, zijageuza zote, hamna hata moja iliyoangushwa

    Makobaz wanazusha kwamba ndege moja ya Israel ilidunguliwa, ifahamike utaalam wa hizi ndege ni wa hali ya juu, yaani radar zenu zinagundua uwepo wa ndege kama tayari ndege imeshapita na kurusha mabomu yake, yaani mnaona uwepo wa ndege na kuanza kuhaha, kumbe ilishapita baada ya kufanya...
  11. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Kwa shambulizi la jana la iran ndani ya ardhi ya israel je wanautofauti wowote na Hamas?

    Jeshi la iran kwa mujibu wao limefungulia mlango wa kuzimu jana Kwa kurusha drones za kubahatisha yaani iue yoyote Kwa maskitiko imeua watu watatu wasio na hatia Je hili jesh tofauti yao na magaidi wa hamas na hezbolla ni ipi? Jeshi lenye ueledi haliwezi kurusha mabomu km kichaa huo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iran. Israel Anaomba Iran Isiwashambulie

    Kumekucha Israel kanza kuomba nchi za Jiran zimsemeshe Iran asiwashambulie. Vichaa kweli hawa Israel wanataka Iran wasirudishe mashambulizi hahaha nadhani Israel wameisha changan'yikiwa.
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini kuliko iran,

    Uchambuzi Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini zaidi kuliko iran, lakini iran ni nchi yenye jeshi imara lenye uwezo wa kutengeneza mabomu ikiwemo nuclear japo kwa sasa haina silaha hiyo kwa sasa hivyo inajeshi lenye uwezo wa juu kuliko Tanzania na afrika kwa ujumla. lakini iran ni...
  14. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Ugomvi baina ya Iran na Israel usisababishe nikakosa misaada

    Zelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake. Bado anahitaji sana misaada. https://x.com/BRICSinfo/status/1933872405090566267 JUST IN: 🇺🇦 Ukrainian President Zelensky says he hopes Israel's conflict with...
  15. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Israel inaendelea na mashambulizi dhidi ya Iran, jeshi lasema

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) linasema kuwa linaendelea na mashambulizi ya anga katika maeneo ya Iran. Katika taarifa fupi iliyotumwa kwa Telegram, IDF ilisema kwamba "Jeshi la anga la Israel linaendelea kulenga shabaha ili kuondoa vitisho nchini Iran". Taarifa hiyo ilichapishwa pamoja na...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania China yalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran

    China inalaani "ukiukaji wa Israel wa mamlaka, usalama na uadilifu wa ardhi ya Iran", mjumbe wa Umoja wa Mataifa Fu Cong alisema katika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa saa chache zilizopita. Beijing "ina wasiwasi mkubwa" juu ya athari mbaya ya hali ya sasa katika...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz,

    Wadau hamjamboni nyote te, Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi anasema Kamanda Mwandamizi wa Walinzi wa Mapinduzi Esmail Kowsari alisema Jumamosi kwamba Iran inafikiria kufunga mlango wa kimkakati wa Hormuz ili kukabiliana na...
  18. African Geek

    JamiiForums Tanzania Hii misumari ya Iran ni balaa

    Video hapo chini
  19. 5

    JamiiForums Tanzania Iran yaonya kushambulia vituo vya US, Uengereza na Ufaransa kama zitajaribu kuikingia kifua Israel

  20. 5

    JamiiForums Tanzania Nilienda mafichoni zaidi ya mara 5 wakati Iran inashambulia Tel Aviv - Balozi wa US nchini Israel

    Ndivyo ilivyo kuwa wakati Iran inaijibu Israel usiku wa kuamkia Jumamosi
Back
Top Bottom