iran

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

    Ni hatia kwa kobaz yeyote kubobea kwenye utaalam wa nyuklia, utawindwa popote, sijui Pakistan waliachiwa aje, uzuri India wanawapumulia huko, japo siku Pakistan watajifanya kuonyesha chuki kwa Israel, na wao watafuatwa huko huko... Israel anawamaliza wataalam wa nyuklia Iran, ukiwa kobaz jikite...
  2. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Kwani Azam media mnaundugu na Iran au Israel?

    Yaani nawasha tv kuangalia jinsi Mu-Israel na Mu-Iraq wanavyochapana jibu ni NO SIGNAL Kwani nyie vita vyao vinawahusu Nini kukata channel dadeki 😔😔😔
  3. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kupigana vita Iran niwasaidie kijeshi.

    Mimi sio mwanajeshi ila nataka kuwasaidia Iran dhidi ya Israel...! Nataka kufa nikiwasaidia watoto wazee na wanawake wajawazito.. nitumie njia gani kisheria kutambulika kutoa msaada huu wa kijeshi..??
  4. Mrengwa wa kulia

    JamiiForums Tanzania Iran umenivunja moyo wangu

    Nimeishi maisha yangu nikijua kua Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani.. Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!! Leo naandika kwa machozi mazito Aaah😭😭 irani umenivua nguo. Wenzio wamepeleka ndege wew...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel Katz amemuonya kiongozi wa Iran, Ali Khamenei, kwamba iwapo makombora yataendelea kurushwa kwa Israel, Tehran itaungua.

    Wadau hamjamboni nyote. Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday, June 14, 2025 Katz: ‘If Khamenei continues to fire missiles at the Israeli home front, Tehran will burn’ By Emanuel Fabian Follow Today, 12:16 pm Defense Minister Israel Katz warns Iran’s leader, Ali...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Tehran, Iran kutiwa kiberiti kama wakiendelea kushambulia maeneo ya raia wa Israel

    Iran wanalenga maeneo ya raia maana makambi ya kijeshi yameshindikana, mpaka sasa hivi wamefaulu kuua raia wanne wa Israel. Israel imetoa tahadhari wakiendelea hivi basi na yenyewe itaamua kutia kiberiti mji wote, ifahamike Israel wana uwezo wa ile bomu ya MoB yaani mother of all bombs, na...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Israel yaishutumu Iran kuvuka mstari mwekundu

    Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema Iran usiku wa kuamkia leo imevuka mstari mwekundu kutokana na mashambulizi yake ya makombora kulenga maeneo ya kiraia hivyo ijiandae kwa majibu makali Katz amesema mashambulizi ya Iran yatajibiwa kwa viwango vya juu kuharibu uwezo wa Iran...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa IDF inasema inaendelea kulenga shabaha za nyuklia na wanasayansi, maeneo ya kijeshi na maafisa nchini Iran

    Wadau hamjamboni nyote. IDF says it’s continuing to strike nuclear targets and scientists, military sites and officials in Iran By Emanuel Fabian Follow Today, 11:55 am The IDF says it continues to strike in Iran, and its next step is to “operate freely...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran lafanya kikao kujadili jibu kwa Israel

    Wadau hamjamboni nyote by Iran International. Iran’s Supreme National Security Council holds session to discuss response to Israel Iran’s Supreme National Security Council convened on Friday evening to review and reinforce ongoing plans for responding to Israel, the council’s secretariat...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Iran yatangaza kufungwa kwa anga hadi itakapotangazwa tena

    Iran yatangaza kufungwa kwa anga hadi itakapotangazwa tena Na AFP na Wafanyakazi wa ToI Leo, 11:41 asubuhi Mamlaka ya usafiri wa anga ya Iran imetangaza kwamba anga ya nchi hiyo imefungwa "hadi ilani zaidi," vyombo vya habari vya serikali vimeripoti, huku Israel na Iran zikiendelea kufyatua...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuelekea Tehran imejengwa': Wakuu wa IDF wasema Jeshi la Wanahewa kuanza kufanya kazi kwa uhuru katika mji mkuu wa Iran Tehran

    Wadau hamjamboni nyote. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir na Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Meja Jenerali Tomer Bar walisema katika tathmini iliyochapishwa leo asubuhi kwamba "njia ya kuelekea Tehran imejengwa." "Kulingana na...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Iran confirms two more senior generals killed in Israeli strikes

    Iran confirms two more senior generals killed in Israeli strikes By AFP Today, 10:48 am Two senior Iranian generals have been killed in Israeli strikes, state television reports, as Israel kept up its assault on Iran’s military and nuclear capabilities. General Gholamreza Mehrabi, deputy head...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Israel yasema bado Itatuma tena mabinti wakatalii Iran na kusalimia. Imepata ilichotaka...

    Baada ya mabinti kutumwa kwenda kutia vidole vifinyio vya Irani. Wanasema wanataka waende tena kabla hawajawaachia wanaume kwenda malizia, kufika kileleni. Israel imefanikiwa kabisa katika kushambulia Iran — hususan katika operesheni ya Rising Lion ya tarehe 13 Juni 2025 — lakini mafanikio...
  14. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Mashambulizi yetu Iran zidi ya Mazayuni

    TUENDELEE KUIOMBEA IRAN ILI IWEZE LIPIZA KISASI KWA WALICHOTUFANYA HAWA MAZAYUNI. WAMETUTIA VIDOLE TUMEISHIA KUWARUSHIA MAWE. Mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel (Juni 13-14, 2025) Aina ya Mashambulizi Iran ilirusha zaidi ya 100 droni, makombora ya balistiki, na makombora ya cruise. Baadhi...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa tathmini ya Maumivu kwa Iran vs Israel. Hawa Mayahudi hawafai kabisa

    Hali ya sasa nchini Iran imekuwa ya kukaushwa sana, kufuatia mashambulizi makubwa ya Israeli yaliyofanyika tarehe 13 Juni 2025. Hapa ni muhtasari wa hali: Mapigano na Uharibifu Mashambulizi ya Israeli: Operesheni iliyopewa jina la “Rising Lion” iliwashirikisha ndege za kivita zaidi ya 200...
  16. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Iran sasa tushambulie kimkakati tuache tu kurusha makombola kama vipofu

    Wasalam Alleykhum wa rahma tullay wabalaqatuh! Sasa natoa ushauri kitaalam. Naomba muanze kushambulia maeneo nyeti ya Israel kama ambavyo wametufanyizia wao. Tusirushe tu ngumi kama walevi. Tupige kama walivyotupiga hawa mayahudi. Tupige ikulu,maeneo ya kijeshi,tuue makamanda wao na wakuu wa...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas waipongeza Iran kwa kujibu mapigo ya Israel kwa ufanisi. Yasema hakuna iron dome wala David Sling zilizoilinda Tel aviv na Jerusalem

    Mmoja ya viongozi wa Hamas , Izzat al-Risheq amesema majibu ya Iran yameonesha kuwa hakuna kiburi cha Israel ambacho hakitapatiwa majibu na kwamba vifaa vyake vya ulinzi kama Iron dome havitaweza kuliokoa taifa hilo dhalimu kutokana na moto waliouwasha kwa muda mrefu ndani ya mashariki ya kati.
  18. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel iwe na ruhusa kumiliki Nukes; ila Iran kwake iwe nongwa?

    Tuelimishane.
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali iko Kimya, Watanzania walioko IRAN na ISRAEL hawajui Hatima yao!!

    Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!! Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!. Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema". Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
  20. ILAN RAMON

    JamiiForums Tanzania Namna Israel ilivolemaza Iran kwa muda mfupi

    🇮🇱 Uwezo wa Jeshi na Ujasusi wa Israel: Sababu ya Mafanikio Dhidi ya Iran kwa Haraka Iwapo Israel ingeweza kuangamiza uongozi wa kijeshi wa Iran na wanasayansi wa nyuklia ndani ya masaa machache tu, hiyo haingekuwa bahati mbaya bali ni matokeo ya: Miaka ya maandalizi ya kimkakati Uwezo mkubwa...
Back
Top Bottom