Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema kwamba Iran ina “haki ya halali, ya kiasili na ya kisheria” ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel dhidi ya malengo ya kijeshi na nyuklia, ambayo sasa yameingia siku ya sita.
“Ni haki ya asili, halali na ya kisheria kwa Iran...
Kwanini Iran Haijapeleka Majeshi Moja kwa Moja Palestina na Lebanon?
Ni swali muhimu kwa yeyote anayeangalia siasa za Mashariki ya Kati. Licha ya Iran kuwa na uwezo mkubwa wa kuingiza silaha, pesa, wakufunzi na hata kuathiri maamuzi ya makundi kama Hezbollah na Hamas, bado haijawahi kutuma...
Wengi wamekuwa wakisema China sio mshirika wa kuaminika kwa Iran. Ila tatizo liko kwa Iran yenyewe
Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral security and defence partnership.
China ikiwa bado haina nguvu kubwa za kijeshi kama sasa imewahi...
Rais wa Marekani Donald Trump amekataa kusema iwapo atauamuru mashambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, licha ya kutoa kauli hapo jana zilizoashiria kuwa anaelekea kufanya hivyo.
“Naweza kufanya hivyo. Naweza pia nisifanye. Hakuna anayejua nitakachofanya,” Trump aliwaambia waandishi wa...
Nasikia Iran ina majeshi makubwa mawili. Jeshi la kawaida na jeshi tiifu kwa Ayatollah. Uelewano kati ya majeshi haya ukoje?
Maana ni kawaida majeshi kuwa na mabifu. Jeshi gani lina nguvu zaidi? Na kwa nini Israeli inaua viongozi wa jeshi moja tu?
Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini?
Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran?
Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.
Kichaa Myahudi amewehuka, anapiga tu, hivi karibuni mtasikia ikulu na yenyewe ni majivu.....
IAF strikes Tehran's Internal Security HQ
ByJERUSALEM POST STAFF
Israel Air Force jets destroyed Iran's Internal Security Headquarters in Tehran on Wednesday, Defense Minister Israel Katz said. Iran's...
Siku moja baada ya Israel kushambulia Iran siku ya Ijumaa, ndege ya mizigo ilipaa kutoka China.
Siku iliyofuata, ndege ya pili iliondoka kutoka mji wa pwani, Kisha Jumatatu, nyingine ikaondoka, wakati huu kutoka Shanghai - safari tatu za ndege kwa siku tatu.
Takwimu zilionyesha kuwa katika...
Trump alijaribu kumchimba mkwara Ayatollah.
Leo kapewa majibu yake na mzee.
Maneno ya Ayatollah:
The US President threatens us. With his absurd rhetoric, he demands that the Iranian people surrender to him.They should make threats against those who are afraid of being threatened. The Iranian...
Ni tangu vita vianze hajaonekana adhalani ila leo kaonekana kanena maneno kadhaa
Kwanza kasema Iran haitasurrender kwa Israel, adai anapambania haki na uhuru, hii ni baada ya Marekani na Israel kusema ajisalimishe kwa wema
Kasema hakuna kipengere cha UN kinasema hapaswi kurutubisha Uranium kwa...
Habari nimepitia thread kadhaa nimeona wadau wengi wantatizwa kwanini urusi mpaka sasa hajachukua action zinazoonekana za kumsaidia iran katika vita yake na izrael,na wengine wameeda mbali na kumuita urusi ni mnafiki na pia kumuona ni mbinafsi na wengine wakihusisha kuwa mrusi sio wa kumuamini...
Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu...
Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war...
Israel imemuaa Jenerali Ali Shademani yaani Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran ambaye alichaguliwa kushika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuuawa na Israel.
Jenerali Ali ametumikia nafasi hiyo kwa siku 4 na masaa 3 tu.
Taarifa imethibitishwa na kiongozi mkuu wa Iran.
Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?
Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.
Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena...
Iran si ya kutishwa kama walivyo dhani, leo Trump kisha anza kufyata mkia anasema umvunilivu wa Iran hata USA hauwezi. Mmefahamu au bado, anakusudia siwezi ingia direct vita na Iran sababu wamarekani hawana uwezo wa kusubiri kipigo cha Iran. Anasema Iran wanauwezo huo wa kusubiri , kipigo cha...
Siku kadhaa baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuwaonya raia wa Iran waliopo mji wa Tehran kuhama mara moja kuwa kutakuwa na mashambulizi yanayoweza kufanyika katika eneo hilo amedai kuwa ba udhibiti wa anga la Iran
Kupitia mtandao wa Truth Social Trump ameandika kuwa “Marekani sasa...
Kuna watu wanaweza kufikiria vita ni maamuzi ya mwisho kutuma bomu la nyuklia.
Mpaka unapeleka ilo bomu ni kwamba umefikia maamuzi kuwa idadi ya vifaa vya kupigania vita vimekwisha.
Mfano urusi tumeona tokea vita kuanza katumia mda mrefu mpaka kupeleka wanajeshi wa kiduku na vifaa vyao ni...
Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli
Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman
Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana
Mda huu Israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.