Analojia rahisi kwenye hili ni kufananisha Strait ya Hormuz kama mto mdogo wa kijijini ambao 30% ya maji tunapata hapo. Maji haya ndio kiungo muhimu katika shughuri za kila siku za kijiji chetu. Sasa, kuna bwana anyekaa huko kwenye chanzo cha mto aliweka bayana kabisa kuwa ataufunga mto kama...
Tetesi zinazoelekea kuwa ushahidi kuwa Marekani haijafanikiwa kuleta madhara makubwa yaliyokusudiwa kwa vinu vya nyuklia vya Iran,kunaweza kukaitia hasira sana nchi hiyo na kuamua kuipiga Iran kwa nyuklia ili tu ionekane haijashindwa.
Chini ya raisi Trump ambaye akili zake haziko sawa uamuzi...
Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran...
Mwaka 1950's alichaguliwa waziri mkuu wa iran aliyeitwa Mohammad Mosaddegh wakati wa kampeni aliahidi kurudisha umiliki wa visima vya mafuta mikononi mwa iran alivyoshinda alianza kutekeleza ahadi yake ya kuhakikisha visima vya mafuta vinabakia mikononi mwa irani hiki kitendo hakikuwafurahisha...
Kabla ya yote nitaomba kuderive formula nyepesi:
We created this illustration to explain the mechanics behind the American-made B-2 bunker-busting bomb, recently referenced in coverage of ongoing events in the Middle East. Dropped from a B-2 stealth bomber flying at about 12 km altitude, the...
Kumbuka, kabla North Korea hajapata nuke yoyote alidharaulika hivi hivi kama Iran anavyodharaulika na kuletewa mizengwe.
Sasa hivi North Korea inaheshimika na hata yule kichaa wa west kaacha kutikisa pua yake kwenye mambo yasiyomhusu.
HISTORIA:
Kifaa cha kwanza cha nyuklia cha Korea Kaskazini...
Hawa wazungu na teknolojia zao, tuwaache bana, sisi tuendelee kuchoma na kuuza mkaa vijijini, na kufuatilia siasa za humu kwetu Afrika.... Sioni na sitegemei kama ipo siku tutanusia huu uwezo wao.
US Joint Chiefs Chairman General Dan Caine and US Secretary of Defense Pete Hegseth on Sunday...
Matisho ya Putin wa Urusi kwamba akiguswa na West atafungulia milango ya kuzimu ni kama haya matisho ya MaAyatollah wa Iran tu. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran iliyokwanguliwa yote na Israel ndani ya wiki moja na kulifanya anga zima la Iran kuwa shamba la bibi kwa ndege za Isreal na Marekani ni...
Kadili siku zinavyosonga mbele idadi ya makombora yanayorushwa inazidi kupungua, kutoka makombora na drone 1000 kwa siku Sasa IRAN anarusha 30 tu
Ndani ya muda mfupi ataanza kujaribu kutumia artillery
Tujifunge mkanda mazee!!!
https://x.com/BRICSinfo/status/1936773441832513712
BREAKING: The Iranian parliament has unanimously reached the decision to close the Strait of Hormuz.
Now the final decision rests with the Supreme National Security Council and the Supreme Leader, Ayatollah Khamenei.
Iran na Israel: Kutoka Mabeste Hadi Maadui
Basi hebu nikusimulie hii stori kali – kama vile tupo vijiweni tunagawana kahawa ya jioni.
Zamani hizi, kabla mambo hayajaharibika, Iran na Israel walikuwa kama mabest wa damu. Walishirikiana kwenye biashara, walipigiana tafu kwenye siasa, na walikuwa...
Iran:
▪️ Adui ana ndoto ya kwamba ameharibu mitambo yetu ya nyuklia lakini tulikuwa tayari tumeshagundua njama zake tangu mwezi Machi!
▪️ Tulihamisha kwa wakati nyenzo zote muhimu na kuziweka sehemu salama. Urani bado ipo chini ya udhibiti wetu kamili; adui anapiga mahandaki na moshi mtupu...
Binafsi ninaona kitendo cha USA kuipiga Iran km sehemu ya kuungana na Israel ni mwanzo wa vita kuu ya 3 ya dunia.
Kwanza Washirika wote wa Iran akiwemo Russia ilishaonya mapema mpango wowote wa USA kuingia moja kwa moja ktk hiyo vita.
Pili, kwa mjibu wa sera za Iran nchi yoyote ikiivamia...
Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi.
Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni.
Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila...
Huyu ana demonstrate kitaalamu jinsi ya kukwepa wasiuliwe na mabomu ya makafir ya Mayahudi na Mamarekani kwa kupiga msamba aka kusambika. Hii mbinu imeonekana ni nzuri na inafaa. Na ukimwangalia jemedari. Si haba. Mashallah.
Mikwara ya makobaz humu kuna wakati hunibabaisha sana, muda wote nilikua na uwoga hawa jamaa labda kuna kitu wanakijua ambacho hatukijui, aidha labda Iran ina uwezo wa kubonyeza na kufyatua makombora 3,000 kuelekea Israel au kuna kitu watafanya na kuishangaza dunia.
Kuna kuguswa gani kwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.