iran

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Jemedari wa Iran akionesha namna ya kukwepa Mabomu ya Israel na Marekani

    Huyu ana demonstrate kitaalamu jinsi ya kukwepa wasiuliwe na mabomu ya makafir ya Mayahudi na Mamarekani kwa kupiga msamba aka kusambika. Hii mbinu imeonekana ni nzuri na inafaa. Na ukimwangalia jemedari. Si haba. Mashallah.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Madhara ya shambulio la Iran kwa Israel leo

    Kwa bahati mbaya Iran wao hawaoneshi kinachotokea kwao. Sijui Wana Hali gani Wallah..!
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Kuna member aliwahi kusema Iran ikiguswa, ina uwezo wa kutuma maelfu ya makombora kwa mpigo, niliogopa sana

    Mikwara ya makobaz humu kuna wakati hunibabaisha sana, muda wote nilikua na uwoga hawa jamaa labda kuna kitu wanakijua ambacho hatukijui, aidha labda Iran ina uwezo wa kubonyeza na kufyatua makombora 3,000 kuelekea Israel au kuna kitu watafanya na kuishangaza dunia. Kuna kuguswa gani kwingine...
  4. and 998 others

    JamiiForums Tanzania BAKWATA toeni tamko kulaani mauaji Iran

    Tunawasihi Baraza Kuu BAKWATA litoe tamko yanayoendelea Iran na nn kifanyike baada ndugu zetu wanauawa kama kuku.
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

    Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia. Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Iran aliapa kuwa mfalme wa jihad duniani, sultan wa msimamo wa itikadi kali na mshindi wa chuki dhidi ya mamlaka za kikristu, kihundu na kiyahudi.

    Basi kwa namna hio aliandaa kimya kimya njia za kutetemesha mamlaka ambazo hakuzipenda. Alifadhili machafuko kwa namna ambayo hakuonekana alihusika na walileta maafa makubwa. Kila mkono wa ugaidi duniani haswa wa kutoka mashariki ya kati unashikwa na Irani kwa asilimia zaidi ya 65% Mamlaka ya...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran inatumia akili gani kujisifia kwamba ilishaficha madude ya nyuklia na kwamba Marekani hakupiga kitu

    Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha unipige hukukiona, nimeshakificha sehemu......Ina maana mbabe anapata sababu tena za kugeuza aendelee...
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania Rais Trump anampenda sana Mungu: Sikiliza alivyohitimisha hotuba yake baada ya kuvisambaratisha vinu vya nyuklia – Iran

    Katika hotuba yake aliyoitoa Ikulu - White House, mara baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran, Rais Donald Trump amehitimisha hotuba hiyo kwa maneno ya kugusa sana moyo, yanayoonesha wazi kuwa anamcha Mungu kwa dhati na kutambua uongozi wake mkuu. Namnukuu...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Trump: Ama kutakuwa na amani au msiba kwa Iran; tumebakiwa na malengo mengi

    Trump: Ama kutakuwa na amani au msiba kwa Iran; tumebakiwa na malengo mengi Na Jacob Magid Fuata Leo, 5:18 asubuhi "Hili haliwezi kuendelea. Kutakuwa na amani au kutakuwa na janga kwa Iran kuliko tulivyoshuhudia katika siku nane zilizopita," Rais wa Marekani Donald Trump anasema katika hotuba...
  10. U

    JamiiForums Tanzania US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

    1 hour ago Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated "The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
  11. Observer

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran vilivyoko Fordow, Natanz na Isfahan huku akiwaonya Iran kutolipiza kisasi Pia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amepongeza hatua ya Rais Trump akiiita “uamuzi wa kishujaa” na kusema kuwa...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Vichekesho vya Afrika: Waislamu wote wanadai Iran itashinda, Wakristo wanadai Israel itashinda.

    Wa Afrika mmerogwa na nani? Mmeshindwa kubaini wasio julikana wanaowateka na kuwaangamiza ndugu zenu mnakaa kusimuliana hekaya ambazo hata haziwahusu. Kama haitoshi miaka nenda rudi ndugu zenu wa Congo wanaishi kama digidigi lakini hakuna anayejali. Natamani kuwaita kenge weusi nyie sema JF...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yaanza kuwinda meli za kijeshi za Iran

    Ndege zinaruka na kujipigia chochote, hamna Kinga wala namna ya kuzuia, zinapiga popote na chochote, kwa utashi wa rubani, yeye ndiye anaamua apige nini akiwa huko angani.... Israel's military is striking drone storage facilities located at an Iranian naval base in Bandar Abbas, a strategic...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndege za Iran aina ya F-14 zalipuliwa, hamna kinachosazwa

    Mambo yamekua mengi sijui tufuatilie ipi, Iran anachofanyiwa.... The IDF struck three Iranian F-14 fighter jets in central Iran, the Israeli military said on Saturday evening. The military also said the IDF was striking military infrastructure across central Iran, in addition to strikes on...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kitu gani unaweza kukisema kibaya au kizuri Kwa Israel au Iran bila kuweka mapenzi yako ya kidini?

    Kuna jambo gani unadhani Iran au Israel wanafanya ambalo ni zuri au baya bila wewe kuweka propaganda za mitizamo yako kutokana na dini uliyomo? Kwa mfano mambo haya yafuatayo unayaonaje kuhusu nchi hizo mbili hasimu? 1. Maendeleo ya sayansi na teknolojia. 2. Mifumo ya kidemokrasia 3. Uhuru...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Muda wowote Israeli wanamuua Kiongozi wa Iran hivyo nae kaamua Kuteua Mrithi wake na Wengineo katika Jeshi la Iran

    Kifupi Waisraeli huwa hatunaga Kazi Mdogo. Ukiona hadi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE tokea ajiunge na JamiiForums avatar yake imekuwa ni ile ile ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin BIBI Netanyahu jua nimeshajiridhisha nayo kuwa ni Mtu sahihi halafu tunafanana kwa Characters za AKILI KUBWA, MAONO...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Israel Ameinua Mikono Hatuwezi Kuendelea Na Vita Bila Lengo Na Lengo Letu Si Kubadili Kiongozi Wa Iran

    Habari ya mjini ndio hio https://youtu.be/Zi_zcRCWIq8?si=EceJr5gN4HaAB4tI Iran pia kasema Dimona Nuclear inaweza kuwa target kutokana na vita inavyo kwenda.
  18. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Iran na israel watabadilishana majasusi hivi karibuni

    Iran iliwakamata majasusi watano wa Israel ikiwahusisha na kudukua mfumo wa anga la tehran na kuwatumia wenzao wa israel na siku moja baadae Iran ikapoteza uthibiti wa anga na kupelekea kushambuliwa vibaya Sasa kumbe israel ilikuwa inawajua majasusi ya tehran baada ya kuona ile habari na wao...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Nasrallah aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel nchini Iran

    Mlinzi wa Nasrallah aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel nchini Iran - Al Arabiya Aliyekuwa mlinzi wa muda mrefu wa Katibu Mkuu wa Hezbollah Hassan Nasrallah Abu Ali al-Khalil aliuawa katika shambulio la anga huko Tehran, Al-Arabiya iliripoti ikinukuu vyanzo vya Hezbollah. Mtoto wa...
  20. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Msemaji Wa Houthi: Tutashambulia kambi zote na manuwari zote za US ikiwa US itaigusa Iran

    —❗️🇺🇸/🇾🇪/🇮🇷 BREAKING: The spokesman of Yemen's Ansarallah, Yahya Saree, confirms that Yemen will target all American navy and commercial vessels in the Red Sea and Bab Al-Mandab if the U.S. bombs Iran @Middle_East_Spectator
Back
Top Bottom