Marekani bado hajafikia lengo hata kidogo wanachohitaji ni Kuondoa Legency ya Ayatollah na kupandikiza Muisrael kwa mgongo wa Demokrasia.
Bado Viongozi wa Iran wataendelea kuwindwa kwa namna yeyote.
Kilichofanywa ni kupunguza kipigo cha Muiran coz Israel hali ni mbaya sana kama ilivyo kwa...
Jamaa wanasakwa popote
===========
Mwanasayansi mashuhuri wa nyuklia kutoka Iran ameuawa katika shambulio la anga la Israel, kwa mujibu wa televisheni ya taifa ya Iran, na hivyo kumfanya kuwa miongoni mwa wanasayansi wa nyuklia wa juu waliouawa katika mashambulizi ya Israel katika kipindi cha...
Huyu naona ceasefire ingemnyima fursa ya mabikira, ashukiru...
==========
Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa shambulio la Israel lililotokea siku moja kabla lilimuua kamanda mwandamizi wa kikosi cha wanamgambo wa Basij, ambacho kinahusishwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu...
Hatimaye makabiliano ya kuviziana kati ya Israel na Irani yameisitishwa huku Israel na Marekani wakifikia malengo Yao ya kuidhoofisha Irani na kuipokonya mradi wake wa nuklia,
Irani kwa miaka mingi ilikiwa ikijiandaa kupigana na Israel ili kulifuta taifa la kizauyuni kama ilivyokuwa ikiahidi...
. Israeli official: ‘Iran broke the ceasefire, and it will pay’
By Lazar Berman Follow
Today, 11:22 am
Israel will respond to Iran’s missile attack, an Israeli official says, shortly after Tehran launched at least two ballistic missiles soon after the start of a ceasefire.
“Iran broke the...
Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana
Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana
Hii inakupa...
Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita
Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na...
Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa.
Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa...
Hapo ndipo unapoona itikadi ndio inacheza vizuri.
al jazeera ipo nchini qatar.
Al Jazeera imetumika kama chombo cha habari cha Hamas, Houthis, Hezbollah - na sasa kwa Iran.
Inaeneza habari potofu na propaganda za vita kwa niaba ya Iran, ikifanya chochote kinachoweza kudhuru Israel, U.S., na...
1. Kuendelea Kuishi = Ushindi
Katika vita vinavyolenga kubadilisha utawala, kuendelea kuwepo madarakani ni ushindi.
Licha ya kushambuliwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado ipo madarakani.
Viongozi wa Iran (kama Kiongozi Mkuu na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi - IRGC) bado wapo kazini.
Hii...
Trump in dramatic announcement: Israel and Iran have agreed on a ceasefire
US President Donald Trump announces that Israel and Iran have agreed to a 12-hour ceasefire, beginning in six hours: This is a War that could have gone on for years, and destroyed the entire Middle East, but it didn’t...
Hakukuwa na athari kwa kambi ya anga ya Marekani ya Al Udeid nchini Qatar, Reuters iliripoti ikimnukuu afisa wa kijeshi wa Marekani.
Afisa huyo alinukuliwa akisema hakuna shambulio la Iran lililogunduliwa katika kambi yoyote ya kijeshi ya Marekani isipokuwa Qatar.
Soma Pia: Iran imerusha...
WaIran wazalendo wanaoiona video hii hasa walio nje ya nchi wenye access ya Internet wanasema wao huongea Kifarsi, hawaitambui lugha inayotumika.
wamorocco nao hawataki vivutio vyao kutumika kipropaganda, na lugha inayoongelewa ni yao, Kiarabu chenye lafudhi ya Darija ya kimoroko.
Naona gaidi iran anatapa tapa, sasa ni dhahiri anajichimbia kaburi mwenyewe.
=======
Iran imetekeleza mashambulizi ya kombora dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani zilizoko nchini Qatar na Iraq, kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka vyombo vya habari vya kimataifa.
Mashambulizi haya yanakuja...
Marekani inakadiria kuwa Iran huenda ikatekeleza mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya majeshi ya Marekani yaliyoko Mashariki ya Kati hivi karibuni, shirika la habari la Reuters limeripoti, likinukuu maafisa wawili wa Marekani.
Mmoja wa maafisa hao, ambaye alizungumza na Reuters kwa masharti...
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameahidi kuiunga mkono Iran, kufuatia mashambulizi dhidi ya taifa hilo yanayofanywa na Marekani na Israel.
Itakumbukwa kuwa, Iran imekuwa ikiipa silaha Moscow katika vita vyake vinavyoendelea na Ukraine na mataifa hayo mawili ni washirika wakubwa wa kimkakati...
Huyu mzee amesababisha Iran imerudishwa nyuma miaka mingi sana kwa muda mfupi....na bado kichapo kinaendelea.
Iranian officials are considering removing Ayatollah Ali Khamenei as the Supreme Leader of Iran after the country endured airstrikes by Israel and the United States, two sources...
Hali ya kiusalama huko mashariki ya kati imeendelea kuwa tete.
Na hii ni kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Iran. Mataifa hayo yenye nguvu kubwa za kijeshi ktk ukanda huo yameingia vitani baada ya kushindikana kufikia muafaka ktk mazungumzo kuhusu Silaha za nyuklia. Ktk Bandiko...
Hili ni tukio lilitokea katika mashambulizi ya mabomu katika mji mkuu wa Tel Aviv yanayofanywa na Iran.
Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel "Mossad" David Barnea akiwa katika hospital Moja iliyo chini ya handaki mjini Tel Aviv alilengwa na mashambulizi hayo na kumpelekea kupoteza uhai.
Vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.