iran

  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali yawarejesha Watanzania 42 kutoka nchi Iran na Israel

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania B-2 Spirit: Ndege Inayoweza Kuiangamiza Nchi ya Iran Kwa Siku Moja

    Inasemekana ndege ya B-2 Spirit imetengenezwa kimya kimya na Marekani, na inachukuliwa kuwa ni “ndege isiyoonekana,” yaani haiwezi kugundulika na rada za kawaida wala za kisasa kabisa. Kwa nini B-2 Spirit inaweza kuangamiza nchi ya Iran kwa siku moja? 1. Uwezo wa Kusafiri Kila Kona Bila...
  3. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Makachero wa jf tukutane hapa. Je Rusia kua na taarifa za mashambulizi ya marekani uko Iran. Ni kudorola kwa ufanisi wa FBI na CIA?

    Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao, na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Israel iliishambulia Iran je Malengo yametimia??

    Nyota zilijipanga': Kwa nini Israeli ilianza vita dhidi ya Iran, na nini ilichopata. IDF iliona kuongezeka kwa tishio la nyuklia, pamoja na kuanguka kwa vikundi vya Hamas,Hezbollah na Houth, na utayari wake wa kuchukua hatua kufikia kilele; ‘tishio lililopo’ limeondolewa, lakini Iran itaendelea...
  5. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania China, Iran, Urusi zajadili ushirikiano sekta ya ulinzi

    Mawaziri wa Ulinzi wa mataifa ya China, Iran na Urusi wanakutana kwa ajili ya mazungumzo yanayohusu masuala ya ulinzi mapema Alhamisi katika mji wa Qingdao, China siku kadhaa baada ya Iran na Israel kusitisha mapigano. Waziri wa Ulinzi wa China, Dong Jun ameyataja mazungumzo hayo kuwa ni ya...
  6. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Sajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7'

    Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote mbili, pamoja na silaha zao. Wakati Iran ilipoishambulia tena Israel wiki moja na nusu iliyopita, ilidai kwa mara ya kwanza kwamba kombora la Sajil-2 la Iran lilitumika katika shambulio...
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Iran itajibu mapigo tena ikishambuliwa'- Ayatollah

    Iran itajibu mashambulizi yoyote ya siku za usoni ya Marekani kwa kushambulia kambi za kijeshi za nchi hiyo Mashariki ya Kati, Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei alisema Alhamisi, katika hotuba yake ya kwanza kwenye televisheni tangu kufikiwa kwa usitishaji vita kati ya Iran na Israel...
  8. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ayatollah: Marekani iliingilia kwa haraka kwenye vita ya Iran na Israel

    Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa kauli nzito akidai kuwa Marekani iliingilia kwa haraka operesheni ya kijeshi ya Iran kwa sababu waliogopa Israel kuangamizwa kabisa. “Marekani iliingilia kwa sababu waliona mradi wao wa Kizayuni ukiporomoka mbele ya macho yao. Walijua wazi...
  9. Liutenant

    JamiiForums Tanzania Urusi na ututuki zaingiwa na hofu baada ya Israel kutawala anga la Iran na kuangamiza kila walichotaka

    Nchi hizi mbili zimeanza mchakato wa kupitia upya tekinolojia wanazotumia kwenye ulinzi wa anga baada ya Israel kuiangamiza Iran kwa kiwango kikubwa mno. Jamii nzima ya kimataifa imepatwa na mshituko mkubwa kutokana na umahiri wa Israel kwenye medani za kivita na katika kuchukua anga la nchi...
  10. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Iran yawakamata na kuwanyonga washukiwa kufuatia mzozo wa Israel

    Mamlaka ya Iran imewakamata na kuwanyonga watu kadhaa wanaoshukiwa kuwa na uhusiano na mashirika ya kijasusi ya Israel, kutokana na vita vya hivi majuzi kati ya nchi hizo mbili. Hatua hiyo inawadia baada ya kile maafisa wanaelezea kama kuingiliwa kwa huduma za usalama wa Iran na maajenti wa...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yenyewe imekiri manyuklia yao yalipigwa na kuharibiwa mbaya mno, sasa mnaopinga humu mnatumia nini

    Serikali ya Iran imekubali manyuklia yamesambaratishwa, ila makobaz humu JF yameshupaza na kutokwa mishipa utosini yakipinga kwamba hamna kilichotendeka kwenye hivyo vinu.... Mkibisha sana tutarudi humo na kupiga tena, mjue kilichopo sasa hivi ni ceasefire, ifahamike ceasefire ni kusitisha vita...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Markani yaihonga Iran mabilioni ya dola ili irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya mradi wa Nyukilia

    Gazeti maarufu la Israel limetonya kuwa Marekani kupitia channels zake za "behind the scenes" imeihonga Iran mabilioni ya dola ili kuifanya Iran irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya Nyukilia. Mahela hayo yanakusudiwa kuishawishi Irani iaachane na madai ya haki yake ya kuenrich Uranium...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Lijue kombora la Iran linalofika Israel kwa dakika 7 tu

    Sajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7' Chanzo cha picha: Getty Images Maelezo ya picha: Jaribio la kwanza la mafanikio la kombora hili lilifanyika mwaka 2008 Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Israel imefanya pigo kubwa katika sehemu nyeti za IRGC.Akiwa amelegea, sasa ni wakati wa wana Iran wamrudishe simba wa uajemi katika bendera yao.

    UTAPELI WA ITIKADI KALI: IRAN YA UKWELI: Majenerali chali Nyuklia chali Mifumo ya kifedha chali Mitambo ya silaha chali Wanasayansi wa nyuklia chali Trust ya wananchi chalii
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

    Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa. kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa ujumbe wake wa kwanza wa njia ya video tangu Marekani iliposhambulia nchi yake na Iran

    Wanakumbi. Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa ujumbe wake wa kwanza wa njia ya video tangu Marekani iliposhambulia nchi yake na Iran kusitisha mapigano na Israel. Habari za kutolewa kwa ujumbe huo zilianza kumiminika kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya...
  17. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Kwa tulioenda shule, hii kauli ya Trump ilikuwa ya mzaa saana kwa Iran

    "TRUMP JUST NOW: “ISRAEL was REALLY HIT HARD. Boy, those ballistic missiles took out a lot of buildings!” ...ikiwa alisema kwa dhihaka (sarcastically), basi ni kweli — ni mzaha wa kejeli kwa Iran, na inaonekana kulenga kubeza au kupuuza mafanikio ya shambulizi la Iran dhidi ya Israel. 🧠...
  18. ITR

    JamiiForums Tanzania Sekta ya kitekinolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kutokana na mashambulizi ya Iran

    Sekta ya kiteknolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kufuatia Iran kuvishambulia na kuviharibu vituo na taasisi mbalimbali za kisayansi na kitafiti za Israel. Aidha vita hiyo imeigharimu Israel zaidi ya$10bilion katika kushambulia na kujilinda pia sarafu ya Israel ilianguka kwa...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maeneo ambayo yamepigwa kwa uhakika na Iran

    Wanaukumbi. ⚡️🇮🇷JUST IN: Infographic of Iran’s strikes and targets during the 12 day war with Israel: Strategic assets Iran targeted: • Al-Jalil Base; Military base in the north • Haifa Port • Haifa Power Plant • Haifa Oil Refinery • Tel Nof Airbase • Mossad HQ • Kiryah Base, Military command...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Je, Russia hana ubavu kama Iran?

    Vita ya IRAN imechukua wiki moja kuisha kutokana na mashambulizi makali ya Iran Marekani ameona aingilie kati kuomba Casefire why not RussiaUjraine War?Kwa upande Russia ni miaka kadhaa mpaka sasa Operesheni haijaisha kitu ambacho kinatia shaka.
Back
Top Bottom