iran

  1. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yaweza kulipua kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow katika siku chache-Axios

    Marekani yatarajia kukishambulia kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow ndani ya siku chache, maafisa wa Israel waliiambia Axios, wakati rais wa Marekani anapima hatua za kijeshi katika mkutano wa ngazi ya juu wa usalama Jumanne. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo By Iran International, 10...
  2. hamis77

    JamiiForums Tanzania Mpango ni kuubadilisha utawala wa Iran

    Iran anatia huruma sometime, ila kwa upande mwingine kutetewa kimataifa inakuwa ni ngumu. Marafiki zake hawajitokezi hadharani, huenda wanamsaidia kwa siri, na rafiki yake mkubwa, vita vya Ukraine vinamweka bize. Kwanini inakuwa hivyo? kwasababu ya MENTALITY ya Iran ya KUIFUTA Israeli katika...
  3. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Iran kurusha video za rubani wa Israel waliyemdungua

    Iran wamesema nchi na dunia itashuhudia kupitia TV rubani wa kike wa f-35 akisema wapi ndege zao ziliongezewa mafuta kabla ya kuelekea Iran,pamoja na mengine Kumbe ndiyo maana israel imeshambulia TV ya serikali ya Iran,aibu ya f-35 na kupoteza soko
  4. Pearce

    JamiiForums Tanzania Hile generation ya vijana wa uamsho wa mapinduzi ya Iran inatokomea

    Baada ya Mapinduzi dhidi ya SHAH 1979, wengi vijana ambao walikuwa na hadhi ya militants ambao wengi baada ya 1990s walikuwa na vyeo vya juu katika Jeshi la kimapinduzi ya IRAN. Kizazi hicho kimeanza kufutika katika uso wa nchi badala ya ISRAEL. Kuanzia ajali ya Helicopter iliomuondoa IBRAHIM...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran ilisaidia Urusi kwenye vita vya Ukraine, sasa mbona inafanyiwa yote haya huku Urusi ikikaa mbali

    Sio siri, Iran inapigika haswa, uongozi wa kijeshi umefutwa, wanasayansi wamefagiwa, makambi ya kijeshi yamesambaratishwa, Israel imeteka anga, ndege zake zinaruka huku na ule zikipiga popote zinachagua kupiga, ilhali hii Iran moja ilijiingiza kwenye ugomvi wa Urusi na Ukraine, imekuaje...
  6. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Sababu za mgogoro wa Israel na Iran

    Mgogoro kati ya Iran na Israel ni wa muda mrefu na umechochewa na sababu kadhaa za kisiasa, kijeshi, kiitikadi na kijiografia. Hapa kuna sababu kuu zinazochochea mgogoro huu: 1. Tofauti za Kiitikadi na Kifalsafa Iran ni Jamhuri ya Kiislamu inayotawaliwa kwa msingi wa Uislamu wa Kishia (Shia...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya usalama Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao

    Wadau hamjamboni nyote, Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao Leo, saa 2:00 usiku Mamlaka ya usalama wa mtandao ya Iran imepiga marufuku maafisa kutumia vifaa vinavyounganishwa kwenye mtandao, ikionekana kuhofia kufuatiliwa au kudukuliwa na Israel. Kwa...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu mliopo Israel na Iran, ni vyema mkaondoka katika nchi hizo mapema

    Huyu jamaa alikuwa anatafutwa kuguswa kwa bahati nzuri ameguswa,
  9. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

    Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi. Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio. Tuombe amani Hali ni tete.
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Trump abadili msimamo, asema Iran iache kabisa mawazo ya nyuklia, hamna tena ruhusa kumiliki nyuklia ya nishati

    Kilichokua kinajadiliwa ilikua Iran ipunguze nyuklia au madini ya uranium, na kubaki na ya matumizi ya nishati tu, ila sasa inashurutishwa iache kabisa mawazo ya nyuklia, na mpaka sasa anga ya Irani imetekwa na Israel, ndege zinapiga zitakavyo...... US President Donald Trump said on Tuesday...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Aliyeteuliwa kama mbadala wa mkuu wa majeshi ya Iran naye aliuwa, itangazeni hiyo nafasi upya

    Kila anayechukua huo wadhifa analiwa, tangazeni hiyo nafasi tena, wanawahishwa kwa mabikira.... Ayatollah tunamsaza tu ili atie saini mkataba wa kuisahau nyuklia, la sivyo tungekua tushamla na lile gauni lake ==================== The IDF on Tuesday assassinated the replacement Iranian Khatam...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Iran dhidi ya Israel kunatupa mafunzo yafuatayo;

    Mpo salama! Tunajua kabisa Iran inaonewa na kudhulumiwa lakini ndivyo mambo ya falme na tawala za dunia zilivyo. mdogo kumtii Mkubwa. Na kama mdogo akikaidi basi njia zozote hata zisizo halali hutumika. Mwanadamu ni Mnyama aliyechangamka. Mifumo yake ya utawala haiko mbali na wanyama wa...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa vita swali : Wakudri na Vita ya Iran vs Israel/Marekani — Je, Wana Nafasi?

    Wakudri ni Nani na Wapo Wapi? Wakudri ni kundi la kikabila linalokadiriwa kuwa na watu milioni 30–40, wanaoishi hasa katika maeneo ya: Kaskazini mwa Iraq (Kurdistan ya Iraq), Kaskazini-magharibi mwa Iran,Mashariki mwa Uturuki na Kaskazini mwa Syria. WAKUDRI (Kurds), ambao kwa miongo mingi...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vita vya iran na israel umbali wa nchi hizo unafanywa teknolojia hivi TZ tutaweza.

    Nimetafakari sana jinsi wenzetu wanaweza kupiga kwa kutumia makombora kwenda kwenye kambi za kijeshi,wapi walipo viongozi na hapo vita hivi nchi zote sio karibu zote zipo mbali. Sasa hapa kwetu tuna uchumi mzuri kuliko marekani na ulaya ndio natafakari. Nimeona aina za makombora wanayotumia...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kupitia mtandao X iran imejibiwa na watumiaji wa naijeria

    Ndio maana kwa nchi yetu wanaogopa sana serikali.
  16. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Vita ya Israel na Iran .. tuna safari ndefu kama taifa

    Niliacha kufuatilia au kusikiliza hotuba za rais Samia au wateule wake baada ya kuona hajui anachoongea. Ukifuatilia vita hii utaamini maneno ya Donald Trump kwamba nchi zetu ni Shit-holes (mashimo ya uchafu) Hivi bara la Africa ( nchi zote 52) Zina uwezo kijeshi nusu ya inaonesha Iran au Israel?
  17. Canto

    JamiiForums Tanzania Je, Vita ya Israel na Iran Inaweza Kugeuka Vita ya Kidunia? – Uchambuzi wa Kijasusi

    Vita kati ya Israel na Iran sasa si tena mivutano ya chini kwa chini. Ni vita ya moja kwa moja, yenye mashambulizi ya makombora, drones, na mashambulizi ya anga yanayoathiri raia na miundombinu. Swali linalozidi kuulizwa sasa ni: Je, vita hii inaweza kusambaa hadi kuwa vita ya kidunia? Huu hapa...
  18. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump: Iran, Israel zinahitaji 'kupigana' kabla ya kupatana

    Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo zinashambuliana "kufikia makubaliano" ya kusitisha mapigano lakini amependekeza kuwa huenda nchi hizo mbili zinahitaji "kupigana" kwanza kabla ya kuafikiana.Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo...
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump aliiambia Israel isimuue kiongozi mkuu wa Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump amekataa mpango wa Israel wa kumuua Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, maafisa watatu wa Marekani wameambia mshirika wa BBC wa Marekani CBS News. Trump aliripotiwa kumwambia Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba kumuua Khamenei "si wazo zuri"...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Iran yatoa onyo la kuhama mara moja watangazaji wa vituo vya habari vya Israel vya N12 and N14

    Iran yatoa onyo la kuhama mara moja watangazaji wa vituo vya habari vya Israel vya N12 and N14, taarifa kamili hapo chini kwa kimomboIran issues evacuation warning for Israeli news channels after broadcaster attack: state TV By AFP Today, 10:06 pm 1 Iran has issued evacuation warnings for...
Back
Top Bottom