heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. Parabolic

    Heche: Napigwa vita kwa sababu nimekataa siasa za udalali

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama chake kinaendelea kukabiliwa na vita kali ya kisiasa kwasababu kimekataa katakata kushiriki katika "siasa za udalali". Akizungumza jana, Agosti 22, 2026, katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CHADEMA...
  2. R

    Hizi ndizo ziwe salamu zetu kila asubuhi ufunguapo JF. Salaam kutoka kwa Heche

    Hizi ndizo ziwe salamu zetu za kwanza wapenda haki , Amani na mageuzi kila ufunguapo JF. SOTE TUSEME AMEN
  3. R

    Wasira asema: Hatutamsamehe Lisu kesi itaendelea: logical deduction ni ipi? Msikilize Heche hàpa chini

    Hatitamsamehe Lisu, kesi itaendelea Kwahiyo nani anaudhibiti wa kesi?
  4. R

    Rais Samia: Sasa Dodoma umeme ni ware ware hakuna tena kukatika, Uhakika 24/7

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia Watanzania kuimarika kwa huduma ya nishati ya umeme nchini kufuatia kukamilika kwa miradi mikubwa ya miundombinu na usambazaji wa umeme. Akizungumza tarehe 22 Agosti 2026 wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Heche: CHADEMA kimepitia misukosuko mingi kipindi hiki, hatutarudi nyuma. Tutaenda nao wanavyotaka

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hawaogopi chochote na kwamba wataenda nao wanavyotaka, "sisi tunawaambia, tutaenda nao wanavyotaka" Aidha, Heche amesema tangu wamechaguliwa kuongoza chama hicho wamewekewa mizengwe mingi sana ikiwemo kufungiwa kwa zaidi ya siku 300 na...
  6. Waterloo

    John Heche: Hatutaipigia magoti Serikali hii dhalimu ya CCM

    "Wanachadema kafanyeni kazi, huu uamuzi umesikitisha lakini ni wa muhimu na wa kihistoria ambao huko mbeleni watu wengine wataangalia na kusoma majina yao, watajiuliza itakuwaje." Mhe. @HecheJohn John Heche na Tundu Lissu ni hardliners wa siasa za upinzani hapa nchini kwa sasa. Wacha tuone huu...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Heche: Samia alivunja utaratibu kuanzia ndani ya CCM "Haikutosha akamuweka Lissu ndani ili ajiweke madarakani"

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche leo Agosti 21, 2026 amesema Rais Samia Suluhu amejiweka madarakani kwamba hakuchaguliwa na Wananchi na alianzia ndani ya chama chake kwa kujiteuwa mapema kabisa bila hata bunge kuvunjwa, "amemuweka Lissu ndani ili ajiweke madarakani" Soma Pia...
  8. R

    Heche: Hii vita tumejiandaa kuipigana Samia anachotaka kufanya na serikali yake, Hatuko tayari kupiga magoti

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, leo Agosti 21, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutoa msimamo mkali wa chama hicho kufuatia hatua ya kuzuiliwa na kuwekwa ndani kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Tundu Lissu. Heche amesisitiza...
  9. Ngongo

    Kwanini Heche anashambuliwa na WanaCCM !

    Heshima sana wanajamvi, Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia upepo wa mashambukizi makali ya viongozi wa CCM wakimbagaza Makamu Mwenyekiti wa CDM Mh Heche. Ni kawaida katika medani za siasa viongozi kurushiana vijembe. Lakini kwanini Heche na si Sugu au viongozi wengine ?. Kwa maoni...
  10. Stuxnet

    Kauli ya Heche kukosoa Congo kuwekeza Tanzania ina ufinyu wa uelewa

    Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi. Kwa uwekezaji wa kutoka nje...
  11. The Burning Spear

    Heche ni mmoja tu lakini Wasira Kenani na hapi waingia studio kumjibu

    Niliwaambia Heche kashindikana baada ya interview clouds maCCM wanapigana vikubo kujibu mapigo. Haha ahanah a da huyu jamaa anawalaza na viatu asiee. .
  12. Chizi Maarifa

    CCM hatukutaka kabisa Lissu na Heche wawe wenyeviti. Hawa jamaa hawafai wataiua CHADEMA. Tunaona pengo la Mbowe.

    Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali. Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia...
  13. The Burning Spear

    Heche anatawala Interview ni zamu ya Chief Odemba kuingilia kati watoane Jasho

    Heche Ameshindikana. waandishi wa habari wengi wamezidiwa nguvu. Heche anajitawala utadhani yeye ndo anawahoji aha 😄 🤣 😂.. Asa tumwalike Chief odemba tuone kama ataweza kumkaba shingo heche.
  14. Waufukweni

    Heche: Mechi ya Simba na Yanga, watu wamevaa jezi zimeandikwa 'Mama, Mitano Tena' Tukisema wanatumiwa kisiasa tumekosea nini?

  15. zaza1

    Ujumbe kwa Heche

    Heche, kupambana kisiasa ni haki yako, na kukosoa mfumo ni sehemu ya demokrasia. Lakini siasa haipaswi kufika mahali ambapo furaha, maendeleo na maslahi ya Taifa yanafanywa kuwa mhanga. Kama kweli kuna kauli za kuzuia au kuhujumu mambo yenye maslahi mapana kwa Tanzania—ikiwemo michezo, Yanga...
  16. Waufukweni

    John Heche: CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema; “CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani, CHADEMA ndio Chama cha siasa kwakuwa huko field hatukutani na CCM bali vyombo vya Usalama” Video: Clouds Media Digital
  17. tucker carlson

    Heche: Mahakama ya Kenya, majaji hawateuliwi na Rais. Kazi zinatangazwa Live, Rais hana mamlaka ya kukataa

    Mwanasiasa John Heche amesisitiza haja ya kufanya mabadiliko ya kikatiba nchini ili kuimarisha uhuru wa vyombo vya sheria na mahakama, akitolea mfano mfumo wa teuzi za majaji nchini Kenya ambao unalinda uhuru wa mahakama dhidi ya kuingiliwa na muhimili wa dharura au mkuu wa nchi. Akieleza jinsi...
  18. R

    Heche: Dar es Salaam karibu kila sehemu imegeuzwa kuwa bandari kavu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema licha ya Serikali kujenga Bandari ya Kwala bado Jiji la Dar es Salaam sehemu nyingi kumegeuzwa kuwa bandari kavu (ICDs). "Kuna watu wanahujumu uchumi wa nchi. Kwa sababu kwa mfano, Dar es Salaam sasa hivi...
  19. K

    Je ccm ni genge linalomuogopa Heche kama nyuki wanavyomuogopa nhegele?

    Wadau za asubuhi? Naomba kuuliza je ccm na genge lao la watekaji, mauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta wanamuogopa Heche zaid ya nyuki Kwa nhegele? Maana Heche akitoa moja tu hilo genge lote utaliona linapuyanga hovyohovyo kama chizi aliyesahau njia.
  20. Huihui2

    Video: Heche kuna ujumbe wako hapa, acha kuropoka

    Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso. My take: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
Back
Top Bottom