heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Hakuna Mzalendo ndani ya CHADEMA wala mwenye uchungu na Taifa hili

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri hadi sasa wana CHADEMA watakuwa wameanza kufunguka akili na kuelewa mambo yalivyo juu ya unyonyaji mkubwa na ulaghai wanaofanyiwa na viongozi wao aina ya akina Heche. Wana CHADEMA watakuwa sasa Wameelewa kuwa hakuna mzalendo ndani ya CHADEMA bali kuna matapeli...
  2. Zack Abdul

    Adui Anamlipia Heche Matibabu India?

    👉John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa matibabu yao. 👉Heche na familia yake wanaendelea kupata matibabu huku wakiwadanganya Watanzania kuwa...
  3. Tlaatlaah

    Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

    Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano? Nani anaweza kua changamoto zaidi...
  4. L

    Kuna Uwezekano Mkubwa Viongozi wa CHADEMA Wakiongozwa na Heche Walishazitafuna pesa za Michango na kuanza kuhaha kufidia . Ndio Maana wakasogeza mbele

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna watu wahatari na balaa linapokuja suala la pesa basi ni Viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unatakiwa uwaweke mbali na pesa ama harufu ya pesa basi ni viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unapaswa kutokuweka Imani yako linapokuja suala la pesa na harufu ya pesa...
  5. Zack Abdul

    Heche na DGIS: Mtafaruku CHADEMA!

    Hakuna aliyekuwa anajua hata kufikiri kwamba Heche anaweza akawa anazungumza na DGIS. Umeibuka mtafaruku mkubwa sana ndani ya CHADEMA, hadi mwenyekiti jana ameshindwa kula huko gerezani baada ya kusikia Heche kumbe ana mazungumzo ya siri na DGIS. Kweli CCM sio chama cha kuchezea.
  6. Zack Abdul

    Siri ya Heche na DGIS yatikisa CHADEMA

    Hakuna aliyekuwa anajua hata kufikiri kwamba Heche anaweza akawa anazungumza na DGIS. Umeibuka mtafaruku mkubwa sana ndani ya CHADEMA, hadi mwenyekiti jana ameshindwa kula huko gerezani baada ya kusikia Heche kumbe ana mazungumzo ya siri na DGIS. Kweli CCM sio chama cha kuchezea.
  7. M

    Heche ndio msaliti wa chadema

    Habari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu. Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na...
  8. The Palm Beach

    Situation Overview ya kisheria ya ushahidi wa Defence toka kwa shahidi DW5 Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Tanganyika Mh John Wegesa Heche

    By Advocate Paulo Boniventure; Shahidi wa 5 wa upande wa Defence (DW5) Mh John Wegesa Heche wa kesi ya tuhuma za uhaini wa maneno ya Mh Tundu Lissu - Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA alianza kutoa ushahidi wake kumtetea Mwenyekiti wake jana 9/9/2026... Ufuatao ni muhitastari (Situation Overview) ya...
  9. T

    Kwa ushahidi wa mh. Heche, naamini ukiwa CCM unabadilika na kuwa si binadamu kamili

    Ndugu wana jamiiforum natumaini mmekuwa mnafuatilia ushahidi wa Mh. Heche. Yaani nimetokea kuwaogopa sana CCM. Na kujiuliza maswali mengi, kama kweli ni binadamu kamili au unapokuwa CCM unageuka na kuwa katili kiasi hicho. Ukatili wa CCM hata akina Charles Taylor hawakufikia kiwango hicho...
  10. K

    Ingekuwa Sugu au Lema ndio wanashika nafasi ya Heche, siasa za Tanzania zingekuwaje?

    Natafakari hapa, Kwa hali ilivyo je wanasiasa kama vile Sugu au Lema wangeendelea kukomaaa kama aivyokomaa Heche Wegesa Kuna mwanasiasa yeyote ndani ya CHADEMA anaweza kuwa na msimamo kama Heche na Lisu
  11. Waufukweni

    Lissu: Nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapopatikana

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema yuko tayari kukaa gerezani hadi haki itakapopatikana, akizungumza mahakamani Septemba 2, 2026, katika mwendelezo wa kesi yake ya Uhaini. Lissu alikanusha kauli zinazodai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anazuiwa kutoka gerezani na Heche...
  12. Carlos The Jackal

    CHADEMA iwashughulikie Wanachama/Viongozi wanaojifanya kumtaka HECHE akubali MARIDHIANO , hawa ndio walipangwa kufanya Fujo siku ya Baraza Kuu

    Hawa wapumbavu hawatikiwi kuonewa huruma. Kwanini wasimtake LISSU mwenyewe kukubali MARIDHIANO ili aachiwe ??. Kwann badala yake wanalazimisha HECHE wewe ndio ukubali MARIDHIANO ?. Kwani ni Ofa ngapi ambazo LISSU kaletewa akiwa Jela ili awe Huru ?? Kama LISSU mwenyewe hajazikubali hizo...
  13. funaku

    Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara amuasa Heche kukaa meza ya maridhiano ili Lissu atoke

    Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana. My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
  14. instinct desire

    Kwahiyo John Heche ameitisha Press ili kumjibu Mzee Butiku, CHADEMA ina wahuni wengi sana

    Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa? Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu
  15. Parabolic

    Heche: Pressure iongezeke kuwafanya viongozi walio madarakani kufanya mabadiliko

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema kuna haja ya kuongeza msukumo kutoka kwa wananchi ili kuwafanya viongozi waliopo madarakani kutambua umuhimu wa kufanya mabadiliko ya Katiba. Heche amesema chimbuko la baadhi ya matatizo yanayotokea nchini...
  16. Mshana Jr

    John Heche moments special thread

    John Wegesa Heche ni mwanasiasa mashuhuri nchini Tanzania na sasa anahudumu kama Makamu Mwenyekiti (Bara) wa chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA. Anajulikana sana kwa hotuba zake zenye ushawishi mkubwa, uwezo wa kuhamasisha wananchi kuanzia ngazi ya chini, na harakati zake za dhati za kupinga...
  17. R

    Tundu Lissu: Heche ongeza moto wameanza kutoana maini

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, akiwa katika Chumba cha Mahakama kabla ya kesi kuanza leo Agosti 26, 2026, amesikika akimwambia Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, aongeze moto wa kazi
  18. Waufukweni

    John Heche: Tukisema msiue watu kwenye uchaguzi tunaonekana wanaharakati, hatuoni shida kuitwa wanaharakati

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amesema chama hicho kimeamua kuendelea kudai mabadiliko ya kweli badala ya kufanya siasa kwa ajili ya kuonekana pekee. Heche amesema wanapozungumzia masuala yanayowagusa wananchi na kudai mabadiliko, baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita...
  19. Parabolic

    Sheikh Mwaipopo: Heche badilisha siasa zako, kupinga Serikali ni sawa na kupigana na Mlima Kilimanjaro

    Mhadhiri wa Kiislamu na Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania, Sheikh Saidi Mwaipopo, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, kubadilisha mwelekeo wa siasa zake kwa kuacha siasa za kupambana na Serikali, akisema upinzani wa aina hiyo unaweza...
  20. lord atkin

    Kwenye hili John Heche na Tundu Lissu wamuunge mkono Wasira

    Hoja ya Steven Wasira kuwa kesi za jinai hazipaswi kuisha kwa busara na maridhiano ni ya kuungwa mkono na kila anayeamini katika utawala wa sheria. Kama DPP amefungua kesi kwa maslahi ya umma ili kupambana uhalifu kwanini kesi hiyo iishe kwa maridhiano kati wa mtuhumiwa na serikali?. Hakuna...
Back
Top Bottom