Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.
Wanaukumbi.
Chadema mmepata nafasi ya kusikilizwa malalamiko yenu mnaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote.. haya tumewasikia na tunawapa angalizo kuwa itafika 2030 hakuna cha maridhiano na Lissu, ataendelea kuwa jela na hakuna kitu mtafanya.
Hamtaki maridhiano Lissu...
Heche anaitumia Chadema iliyoundwa kwa jasho na damu na Mbowe kwa lengo la kujinufaisha huku akijifanya mpambanaji kumbe ni bonge la Tapeli na mla Rushwa mkubwa
Na Mwandishi Wetu
Wakati Freeman Mbowe alipokuwa gerezani, Tundu Lissu akiwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA alifanya jitihada za kuhakikisha Mwenyekiti anapata uhuru. Alihutubia Bunge la Ulaya pamoja na kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan katika jitihada za kutafuta maridhiano ya kumuwezesha...
Kuna shangingi wa kisiasa anataka ligi na Heche. Anadhani kwa maneno Yake ya kishangingi ataweza kuipasua gnome ya CHADEMA.
Tundu Lissu kisha sema yupo tayari kulipa gharama, hata kama mtaamua mumnyonge Leo, Yuko tayari, lakini si kumpigia magoti kinyago yoyote au mwanasesere yeyote. Huu ni...
Ni Ile ya kudai kuwa "Lissu aliandika barua kuomba maridhiano fake ,barua ilipomfikia Heche akaichana".
Kwa maoni yako huu ni uchochezi kuleta chuki ndani ya jamii au ndio uhuru wa kutoa maoni?
Mnaowajibu Mkubwa sana , nyinyi ninawaelewa vizuri, Ukuu wa Akili zenu ni hazina kwa Chama.
Mara chache niliofanikiwa Kuzungumza nanyi kama mdogo wenu, nimegundua Akili zenu ni Uhalisia wa maono na Principles za Mwenyekiti TUNDU LISSU.
Ni wakati wa kumkumbatia Mh HECHE, HECHE anahitaji kua...
But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
chadema
furaha
hadharani
heche
john
john heche
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekiti wa chadema
mpaka
mwanachama
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
pekee
taifa
umma
Mwezi wa 4 mwaka 2025. Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam.
Bwana Jumanne Muliro aliongea na vyombo vya habari, akaeleza kwamba ana taarifa ya watu kwenda mahakamani Kisutu kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wetu Tundu Lissu na kwamba watu hao wamejipanga kufanya fujo mahakamani na...
Na Nulphin Charles, Katibu BAVICHA Serengeti
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Sikuwahi kutegemea kuwa ipo siku Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ataamua kumtumia mwanaharakati kama Mange Kimambi kumshambulia mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Kamanda Godbless Lema. Sina budi kukubaliana...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure, amesema Chama hicho kinahitaji maridhiano ya haki na si maridhiano ya ulaghai wala kitapeli, akisisitiza kuwa hadi sasa mazingira ya maridhiano hayo bado hayajapatikana na kwamba wasemaji kuhusu maridhiano kutoka katika Chama hicho ni Makamu...
Jana ktk hotuba yake ya kuwaombeleza October 29 alitoa mfano wa mateso waliopata Isreal kutoka kwa wazunguu.
Mashallah kwa bahati hakusema kwamba yametoka kwa waarabu , kasema kwa wazungu. Angalikuwa Lema ashawataja waarabu, lkn Heche kawataja wazungu
Alichokosea aliposema licha ya mateso hayo...
Huwezi sifiwa na CCM kama hawana Masilahi nawewe.
Huwezi kutaka huruma za CCM badala ya Utawala Bora wa Sheria , Ukweli, UWAZI, Uwajibikaji .
LEMA Tumekupuuza !!.
Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu.
Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa...
Mtanange unaendelea, Nani ataacha Ndala?
Je Lema atapoteza ushawishi wake ndani ya Kamati kuu? Ni Hapana anaungwa mkono ma wengi kuliko heche
Je Yule anaeuza habari kwa Yule Dada?
Je yule Dada anachezewa akili na Vijana wa bawa?
Haha, Chadema wasipotegua huu mtego Rasmi inaenda kwa Cuf...
John Heche, Tabora
Haya tunayodai wengine kina Kabila wanayatafutia wakiwa misituni. Sisi ni chama cha amani lakini bado mnatuwinda, mnatuua!
#################
Maoni yangu
SERIKALI NA WATANGANYIKA
Mmewahi kujiuliza, hivi huko Congo, Sudan, Somali, nk nk nk
Silaha zilifika fikaje kwenye...
Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure.
Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
Pharis tumemsikia anasema Heche ni mwizi.
Heche hafai kuwa keep ongozi wa nchi hii.
Nani amemwambia Pharis Heche amekaribia kuwa kiongozi wa nchi hii?
Heche sasa hivi anasota waya.
Heche anawayawaya wakati tunasubiri hukumu ya Mahakama Nov 6.
Heche wanasema alikuwa house boy wa Mbowe.
Hata...
Hivi ni kwa nini CCM wasijibu hoja za CHADEMA? Wanachoogopa ni nini?
1.Heche ametoa madai mazito sana kuhusu mikataba ya rare earth elements. CCM kimya
2.Heche ametoa madai ya kuua viwanda na badala yake fedha yetu kupelekwa nje. CCM kimya.
3. Heche ametoa madai ya kuwa Bi hakuchaguliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.